Watanzania hampo kwenye vyuo bora ukanda huu. Kenya na Uganda zaongoza

Watanzania hampo kwenye vyuo bora ukanda huu. Kenya na Uganda zaongoza

Hili nalo halina ubishi, sio kwa sampuli yao ile ya maprofesa ndomboloo, sijui kina Palamagamba. Wasomi lakini wakifungua midomo yao hata drop out wa darasa la kwanza anabaki mdomo wazi. Bila kumsahau yule mwanakemia wao na ile PhD yake ya kimagumashi.
Hahaha, huwezi pata PhD ya Kemia Kimagumashi mzee. Lazima uwe vizuri upstairs. You can do magumashi huko kwenye Law and the like , never Science.
 
Unajua hata Jf yenyewe imetengenezwa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi ndio maana inakuja hapa kutamba na isitoshe hata wamiliki wa Jamiiforums wametokea pande za Nakuru [ale na shule ya msingi walisoma Kakamega.
 
Unajua hata Jf yenyewe imetengenezwa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi ndio maana inakuja hapa kutamba na isitoshe hata wamiliki wa Jamiiforums wametokea pande za Nakuru [ale na shule ya msingi walisoma Kakamega.
Unasema?
 
Hizo huwa mnatutajia humu akina UDSM sijui UDOM hawapo hawatambuliki wala kusikika, ndugu zetu hata sayansi naona mnitelekeza kwa kauli za kuponda chanjo ya korona huku mkiendelea kupokea chanjo ya maradhi mengine kutoka kwa hao hao mabeberu.

The University of Nairobi has been ranked the top institution in East Africa and 13 in Africa by a new Webometrics Ranking.

Makerere University in Uganda was ranked 14th in Africa right behind UoN in East Africa, with Egerton University in Kenya ranking 37th in Africa and third in the region.

Eight Kenyan universities made it to the top 200 list in the new ranking of universities in Africa released this week. Kenyatta University is third in Kenya and 40 in Africa.

Moi University and Jomo Kenyatta University of Science and Agriculture (JKUAT) are position four and five in the country respectively. In the continent, they are ranked number 50 and 51 respectively.

Technical University of Kenya (TUK) was position 147 in Africa and sixth in Kenya. Maseno University follows closely at position seven in the country and 157 in the country. Strathmore took position eight in the country being the only private university in the top 200.

Masinde Muliro University of Science and Technology ranked number 218 in Africa and ninth in Kenya as University of Embu 229 in Africa summing up the top 10 list in Kenya

Ukitaka ujue kwanini havitambuliki na haviwezi kusikika waangalie wachache tu waliopata PhD tulio nao kwenye uongozi tabia zao, maamuzi yao kwenye maswala ya kiuongozi na kisiasa, carreer background zao kama zina utafiti na utoaji wa ripoti za utafiti... utajua ni matunda au ni nini. ukitaka usikie matunda ya vyuo kutokana na production ya miaka ni awle watu wanacho kichangia katika dunia, nchi na maeneo mbali mbali ya sasa hivi. majengo ya vyuo hayawezi kukitambulisha chuo hata siku moja.
 
Unajua hata Jf yenyewe imetengenezwa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi ndio maana inakuja hapa kutamba na isitoshe hata wamiliki wa Jamiiforums wametokea pande za Nakuru [ale na shule ya msingi walisoma Kakamega.
He watumiaji wengi ni raia wa kisii na moyale
 
Niko kalemii-Congo apa nafurahia lingara ya hawa wenyeji ,wanapiga pia kiswahili japo sio kwa lafudhi nzuri.ila wanapenda Sana hii Lugha ,sijutii sababu kiingereza nakitumia kwa kazi na issue ndogondogo mambo mengine Swahili Kama kawa.sasa wewe icho kiingereza unachojua kina kupa pesa ngapi per month?Au ndo inakufanya uwe royal family basi

Kwanza kingereza ni mtaji huko Bongo, yaani kuna watu wanapiga hela Tanzania kwa kujua kingereza, dah wakati kwetu huku tunakitumia hadi chekechea mpaka tumekinai.
Nilipata umuhimu wa kingereza baada ya kuja Bongo, nikakuta mamilioni ya watu wasioujua English ila wanaitegemea kwenye baadhi ya mambo, sasa hapo unachangamkia fursa.
 
Ukishabanwa sana unaleta ile Video ya Ombaomba[emoji3]

Yeah hao omba omba ni kero na donda ambalo haliponi, wazembe sana nyie watu na nitaendelea kuwaletea video zao hadi siku mtakubali kubadilika na kufanya kazi.
 
Umeme wa sasa licha ya kuwa mnazalsha mdogo sana ukilinganisha na wetu, lakini bado hamuutumii, unasalia mwingi ilhali full mgao kote kote, huwa naona nyuzi za Watz wakilalamika kukatikiwa na umeme kila siku.
So unataka kusema kunyaland umeme uwa aukatiki!?
 

Attachments

  • 2679309_IMG_20210130_121250_189.jpg
    2679309_IMG_20210130_121250_189.jpg
    91 KB · Views: 1
So unataka kusema kunyaland umeme uwa aukatiki!?

Sio kwa namna huwa mnakatikiwa, yaani kwenu huko kila siku na kuna baadhi ya mikoa umeme kwao ni kama anasa, kuupata ni kwa mbinde. Niliishi Morogoro nikashhudia wanavyoteseka kwa umeme kukatika kutwa yote na kila siku mpaka unashindwa hivi ni nchi ya watu gani hawa.
 
Naona umeamua kutokelezea na akili za makada was sisiemu. Bure kabisa, eti uchumi wa Kenya haukui? Tena Kenya inaenda kuwapiga double kwenye GDP. Miradi mmetekeleza mingapi hadi ikaisha ukilinganisha na Kenya? Umesahau zile 1.5T alizotafuna jiwe? Hebu rudi Lumumba ukaimbe sisiemu mbere kwa mbere ukimsifia Jiwe kwa miradi yake mikubwa ya maendeleo kule jamhuri mpya ya Chato.
wewe umesikia 1.5trn ukatoka ndani na chupi mkononi unaishadadia,unajua hiyo ni pesa inafananaje[emoji38][emoji38][emoji38].

au unadhani ni kama pesa yenu hiyo yenye nguvu ya upepo!!!
 
Back
Top Bottom