Watanzania hatuelewi tunachotaka,ni roho mbaya tu

Baada ya kukiri kuwa kuna utekaji, uminywaji wa demokrasia, mauaji ambavyo vilianza tangu awamu ya jpm( kwa andiko lako). Nilitegemea ungeusihi na kuushauri uongozi wa sasa uachane na mabaya yote uliyoyarithi toka awamu zilizopita badala yake uchukue yale mazuri uyaendeleze zaidi. Wewe umeshawahi kutekwa, mwanao ameshawahi kutekwa akafirwa akaachiwa? Una mwana familia yeyote aliedhurumiwa uhai na watawala. Mazuri ya utawala yatasifiwa penye madhaifu watasemwa sauti zitapazwa tu, hii nchi yetu wote
 

Uko sana sana kwenye baadhi ys maelezo yako. Huu uhayawani wa kiuongozi muasisi wake ni dhalimu magu. Na huyu Samia kaiga tembo kunya, matokeo yake kapasuka msamba. Hata magufuli angekuwepo haya maandamano yangetokea tu. JK pamoja na use@nge wake mwingi, bado alikuwa na nafuu kwenye demokrasia.
 
We ni mwana familia una mashaka na ulaji wenu kutoweka? Mmevuna sana wandugu muwe na aibu kidogo! Mbona unapanic wakati mzigo bado mnao mkubwa tu wa kutosha vizazi kadhaa? Tuliza mawenge watu wanataka nchi yao kijana
 
Kwenye huo Ujinga Kuna hoja Gani?? Kwa hiyo kama utekaji na wizi wa uchaguzi ulianza na JPM watu wachukulie jambo la kawaida?? Au wivu wa wa Tanzania ni kutaka waliotekwa warudishwe,?? Na utekaji ukome?? Mpuuzi Sana wewe
Hoja ni mbona kwa magufuli hamkufanya jaribio la kumpindua, ila kwa samia ndo mfanye?
 
Iwapo wewe ni Great Thinker kwa first impression,unawadhalilisha hao ambao unajinadi ni miongoni mwao,ama kwa tafsiri wale watekaji na wauaji ndiyo unaowapa hiyo daraja kwa mazingira yako?
 
Ahahahah na hili la kuua watu waliokaa majumbani mwao pia karithi kwa Magufuli wewe mfuasi wa Yesu kama ulivyojiita🤣🤣🤣
 
Umeandika vizuri ila nikuongezee kitu

TATIZO SIO WATANZANIA HAWAJUI WANATAKA NINI AU RAISI NI MBAYA ILA TATIZO NI MFUMO NDIO MBOVU

Yani mfumo ukiwekwa sawa nchi hii hata kilaza anaweza kuendesha nchi kwa weledi kabisa
 
Uko sahihi , JPM ndo alovuruga hii nchi, Samia tried to fix it, but they forced her into the corner and left her with no choice
 
Kuna mwananchi anaweza kupindua serikali?? Mbona kama hamkusoma kabisa?? Hoja ni Kwamba shauri Serikali ikomeshe hayo na itende haki Kwa Kila MTU!! acha kuonekana mjinga bila sababu
Yote hayo samia kasema haya tukaeni tufanye maridhiano, lkn vichwa ngumu wabishi kuelewa!!
 
nadhani location yako itakuwa inasoma dodoma milembe
 
Ujinga ni kumtegemea mtu mmoja kwa jina na raisi alete mabadiliko nchi nzima

Raisi sio mtu bali ni taasisi na siku zote taasisi hufanya vizuri kama kuna mfumo mzuri wa kiutawala na kiuongozi mfumo ukiwa mbovu taasisi inakuwa mbovu pia

Sasa nchi hii watu wanataka mtu mmoja kwa jina la raisi apambane pekeake dhidi ya mfumo mbovu ndio wamuone shujaa badala ya kudai mfumo mzuri amabao hata asipokuwepo rais (mtu) kwenye kiti cha uraisi kwa maana hata likiwekwa roboti nchi iwe inaenda vizuri tu

Jpm kilichomuua ni sifa zake za kutaka kusifiwa na watu ilhali anaona mfumo wa utawala ni mbovu kuanzia chini hadi juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…