Watanzania hatuelewi tunachotaka,ni roho mbaya tu

Kwani kwa Magufuli watu hawakutaka kuandamana mpaka jeshi wakaingizwa barabarani kufanya usafi,au wewe umeamua kumtumia Magufuli kama scapegoat maana ndo njia haitumiayo ibilisi Samia
Kuandamana na kutaka Kuandamana ni vitu viwili tofauti sawa!! Kama mnataka Kuandamana 9d ila kiuhalisia mkaacha Kuandamana mbona shega kabisa!!
 

Nenda kafie mbali huko
 
Baada ya uchaguzi wa 2020 kulikuwa na wito wa kuingia barabarani, ila ujasiri ilikuwa bado, na mbegu hii ya maandamano ilipandwa rasmi chini ya utawala wa dhalimu magu. Hili jishangazi limeiga tembo kunya, ndio maana limepasuka msamba.
Kuweni na subira sasa amalizie muda wake naamini kaitisha maridhiano na atafanya kweli, ile hali demokrasia kama utawala wa kikwete, samia anaenda kuirudisha!!
 
Tumia akili, usitumie tumbo. Tisa December 2025
 
Sasa kwanini sasa hivi watu wanapozungumzia kuhusu utekaji mnaleta hoja ya kwamba utekaji ulianza toka wakati wa Magufuli?

Hii nchi imekuwa ikiongozwa na chama kimoja tu hadi leo na miaka yote hiyo watanzania wamekuwa wakivumilia tu imefika mahali wamechoka inaonekana tunamchukia tu Samia.
 
Mkuu hakuna udini watu wamechoka tu, Kikwete mbona hakupitia misukosuko kama ya Samia kama issue ni dini?
 
Wakatoliki kipindi hiki cha Samia wanakabia kwa juu kuliko vipindi vyote ndio maana fikra kama hizo huibuka
Kwahiyo wanataka tuamini kwamba kama Samia ataachia ngazi na kuchukua mkristo kila kitu kitatulia hakutokuwa tena na maandamano?
 
Kwahiyo wanataka tuamini kwamba kama Samia ataachia ngazi na kuchukua mkristo kila kitu kitatulia hakutokuwa tena na maandamano?
Na hiyo ndio hoja ya Bakwata na masheikh na ndio mtazamo wao

Mfano mdogo ni kuwa rais angekuwa Nchimbi wanaona hizi kelele zisingekuwepo
 
‎Wanachofeli Gen Z.
‎
‎1.Kupata silaha za moto hapa mtakuwa mmemaliza mzizi wa fitina na hili litakokea kama kutakuwa na mgawanyiko jeshini na WA kina tesha watokee wagawie wananchi silaha.
‎
‎2.choma majengo yote ya wizara,hifadhi,migodi,Kambi za jeshi,CCP,bandari,Ikulu zote,vituo vikuu vya Kila mkoa.kimara pale choma mitambo yote ya Tanesco choma mawasiliano Treni ya umeme piga kiberiti ,
‎Ma generator ya bwawa la Nyerere piga kiberiti ,
‎
‎3.mimi nikishapata AK 47,72au 102 na SMG namalisha ishu zote
 
Hoja ni mbona kwa magufuli hamkufanya jaribio la kumpindua, ila kwa samia ndo mfanye?
Magufuli hakukuwa na utekaji wa kiwango cha samia pamoja na kwamba hata awamu ya magufuli utekaji ulikuwepo ila sio kwa kiwango cha huyu muhuni wa sasa, ingawa magufuli naye alipata kashkash lakini alicho weza magufuli ni kuwaunganisha wananchi na kuweza kuishi nao kitu ambacho huyu mama yenu kanyimwa kabisa hanancha kufariji wananchi , ufisadi mwingi, wahuni wametamalaki yani, utekaji holela mchana kweupe kabisa bila hofu wala woga
 
Baba yako akiwa muuaji jambazi nawe utafata hivo kwa kigezo baba yako ndo muasisi ? Tume piga kelele mara ngapi tukimwambia na hatusikilizi? Mzee kibao alipo fariki alijibu kifo ni kifo mbona alipo ambiwa kuhus Abdul akapaniki?
 
Kilimshinda nini baada ya kifo cha Magufuli, ama unadhani tumesahau maridhiano yake ya kitapeli na Mbowe na kikosi kazi?
Madhara ya mo29 yanakuja na maridhiano ya kweli so tumpeni nafasi arekebishe kwa ngwe yake hii ya mwisho!!!
 
Madhara ya mo29 yanakuja na maridhiano ya kweli so tumpeni nafasi arekebishe kwa ngwe yake hii ya mwisho!!!
Too late haaminiki tena. Akae pembeni tupate serekali ya mpito. Atajilaumu kwa kuwa mchelea mwana. Mauaji aliyofanya baada ya uchaguzi wa kishenzi hayakubaliki. Kama alikuwa anataka kufanya hivyo tulikubali hata wakae miaka miwii mbele tupate tume huru na katiba mpya, akaleta jeuri.
 
Utekaji kipindi cha magufuli unauona ni kiwango kidogo kwa sababu ni kipenzi chako, kiuhalisia magufuli namba yake ni kubwa kuliko samia, na kiukweli huu utamaduni ccm kauasisi magufuli, samia mnamchukia for nothing make mabaya ya magufuli samia kayafanya kwa uchache na mazuri ya magufuli kayafanya kwa wingi kumzidi. Cha ajabu leo magufuli kawa malaika halafu samia shetani, hapo naona harufu ya udini!!
 
Na hiyo ndio hoja ya Bakwata na masheikh na ndio mtazamo wao

Mfano mdogo ni kuwa rais angekuwa Nchimbi wanaona hizi kelele zisingekuwepo
Kwahiyo Rais angekuwa Nchimbi ndio wanaona kusingekuwa na vita ya kiuchumi wanayosema? Kusingekuwa na waandamanaji kutoka nchi jirani?

Wao Bakwata wajue tu kwamba kwenye suala la kukataliwa kwa Samia mpaka sasa yamehusishwa mengi tu. Tushasikia hadi ya jinsi yake na uzanzibari wake.
 
Ndio maana ya demokrasia ikiwemo Uhuru wa fikra na kutoa maoni kwangu mimi naona hawana kosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…