Watanzania hatujachelewa; tuwekeze kwenye Cryptocurrencies!



Hivi izi ni nzuri kwa long term investment au kama unafanya coin trading ya kila siku
 
Habari wapendwa hivi ukitaka ku sell crpto to cash yaani fiat money kwa apa tanzania mbona sioni option ya tsh .. au tumia currency ipo ili uipate ela cash..
 
SCAM ALERT!!!!
 
Wakuu mimi nauliza kuhusu hii USDT Mining site, kama kuna aliyewahi kuitumia.. uwezekano wa ku withdraw upo? Inaitwa Trc Areas, unalipia mining machine level flani yenyewe ndio inachimba hizo usdt!

 
Wakuu mimi nauliza kuhusu hii USDT Mining site, kama kuna aliyewahi kuitumia.. uwezekano wa ku withdraw upo? Inaitwa Trc Areas, unalipia mining machine level flani yenyewe ndio inachimba hizo usdt!

View attachment 2201461
Mkuu jaribu hata kwenda youtube ucheck michango ya wadau mbalimbali duniani.
 
Hizi ni kuwekeza kiasi ambacho unaona hutaathirika kama zitapotea. Yaani uwe kama umekwenda bar na kunywa bia au umefanya sherehe watu wakala. Usiwekeze fedha nyingi kwani Bitcoin ilikuwa ni zali ambalo sidhani kama kuna currecy nyingine inaweza ku-hit tena kiasi hicho. BTW mimi niko kwenye mitandao zamani sana na tangu bitcoin inaanza nilisoma habari zake nikapuuza. Ningepata akili ninunua hata 10 tu sasa hivi ningecheka.
 
Hapa kupigwa na kitu kizito kichwani ni nje nje.
 
Bado unaendelea kuzi-mine?
Yap bado nazi mine!
* Pi nina coins 4,348 (ni miaka 3 sasa)
*Bee coin 3,740
*Timestope 6,100
*HBCU 6,400

Kwenye hizi mambo inahitaji uvumilivu sababu ni projects za watu zinaenda kwa hatua. Na zote hizo nimesha pass KYC. nakua nafanya kama game kila siku na mine.

Lets hope for the best hakuna kitu rahisi..zikiwa successful kwenye market itakua vizuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…