Watanzania hatujachelewa; tuwekeze kwenye Cryptocurrencies!

Watanzania hatujachelewa; tuwekeze kwenye Cryptocurrencies!

Ni rahisi tu,MPESA/TIGOPESA au banki halafu rate kama za benki tu
Nielekeze mkuu kwa tigopesa,maana nimeadd kabisa tipesa kwente p2p as payment method,ila nimekwama kwenye deposit.
 
Huna haja ya kuadds chochote,nenda kwenye trade,kisha P2P,kisha bonyeza TZS,watakuja sellers mbali mbali kisha bonyeza buy kwa seller mwenye USDT unazotoka na mwenye rate ndogo,nipe feedback pia kwa hili
Nicheki pm mkuu
 
Ukipataza tatizo la kununua P2P na upo verifief, google hio kabisa...maana tatizo kubwa ni kutokua verified na passport
Nimeingia uliponielekeza,tz hamna mkuu,naona wengi ni Bank tu
 
Ukipataza tatizo la kununua P2P na upo verifief, google hio kabisa...maana tatizo kubwa ni kutokua verified na passport
.
Screenshot_20211104-081557_Binance.jpg
 
Asante. Ngoja nikanunue magunia ya SHIB, Stellar (XLM) na BTT na Vechain.

Sasa hivi nimeamua kuwa aggressive kwenye cryptocurrency.
Pamoja na hizo ila katika list yako usisahau kuweka pesa kidogo kwenye hizi coins..

1. Zilliqa (0.1 per coin)

2. Enjin (2.8 usd per coin)

3. Matic Polygon (1.98 usd per coin)

Hizi ni risky lakini si vibaya ukazifikiria..

1. XECUSDT au eCASH (Hii ni risk kuinunua kwa sasa maana iko kwenye downtrend structure ila naona muda wowote inaweza geuka na kwenda juu so sivibaya ukaweza tudola kadhaa kwenye hii coin pia).

2. REEF (0.03usd per coin)

Ni ushauri tu... usisahau kuchanganya na zako.
 
Kaka naomba maelekezo; hizi coins mnanunulia kwa App ama site? [emoji45][emoji45]
Pitia posts zote kwenye huu uzi kama hujaelewa pitia tena Kaa na daftari kila term ambayo hujawahi isikia google.........leta mrejesho
 
Hizi coins kila mtu anaweza kujianzishia ya kwake afu akapiga watu, mfano hii squid game crypto coin, jamaa wameanzisha coin yao watu wameweka hela wakapigwa na kitu kizito kichwani sasa wanalia.

Hizi coins kila mtu anaweza kujianzishia ya kwake afu akapiga watu, mfano hii squid game crypto coin, jamaa wameanzisha coin yao watu wameweka hela wakapigwa na kitu kizito kichwani sasa wanalia.

Upigwaji kila sehemu upo. Ndio maana tukasisitiza kabla mtu haja invest kwenye coins kwanza awe na ujuzi pili afanye reaserch ya kutosha ndio awekeze.

NB: Hii coin ilikua ni balaa... lakini kwa mtu mjuzi wala asingeshindwa kuona dalili!
 
Back
Top Bottom