Watanzania hatujachelewa; tuwekeze kwenye Cryptocurrencies!

Watanzania hatujachelewa; tuwekeze kwenye Cryptocurrencies!

Daah pole sana,mi Doge kipindi akiwa $0.004...nilitaka ninunu za $100...leo Doge yupo $0.28...imemove zaidi ya mara 70
Dogecoin ni kama coin mama when it comes to meme coins, ila kitu sipendi hizi meme coins unakuta mtu au kundi la watu wachache wamehold % kubwa ya tokens! Siku wakiuza coin zao ni kilio kikubwa!

Ila we have to take risk no way!
 
Nakupa majina ya coin ya ziana Saitama na Safemoon. Mwakani utanishukuru sana.

Angalizo kabla hujanunua fanya research yako mwenyewe na unapo nunua jiaminishe kuwa upo tayari kununua.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Yaaah saitama i agree na inaonekana itafwata njia ya shiba...ila tatizo jinsi ya kuinunua naona ni complicated process... embu tupe ABC ya njia rahisi ya kununua hii coin?
 
Nimeona Floki Inu mpya juzi imepanda kama 130% na jana mpaka mwisho natazama ilipanda 30%. Hii ni vipi wakuu

Ila mimi sijanunua crypto yoyote hadi sasa
Nakushauri utenge muda ujifunze, kila kitu kipo online/youtube, ni wewe na muda wako tu. Na usijiloge ukaambiwa uwekeze kwa mtu. Itakula kwako.
 
Nakushauri utenge muda ujifunze, kila kitu kipo online/youtube, ni wewe na muda wako tu. Na usijiloge ukaambiwa uwekeze kwa mtu. Itakula kwako.
Nishasoma na nazidi kusoma. Ila nikiingia ndio nitasoma zaidi, since 2019 nasoma hayaishi na hizi mambo zinabadilika sana. Knowledge yake inageuka haraka
 
Kwa mtazamo wangu...

1. Matic Polygon

2. Enjin

3. Zilliqa

4. DAG Coin (hii sijaifwatilia sana ila inaonyesha ina potential).

Lastly, kuna hii inatwa eCASH (XECUSDT) iko kwenye very low point for now, kama unajua kufanya technical analysis fanya kwenye daily timeframe na h4 utaona kuna ka future kazuri kamejificha kwenye hii coin... japo ni risk kuinunua kwa sasa ila ukiweka hata tudola kadhaa badae inaweza kuwa na ROI nzuri sana...

NB: Mimi sio financial advisor so make sure umefanya research yako kabla hujawekeza your hard earned cash!
Ahsante sana mkuu,hamnaga experts kwenye coins ila kwa kupeana hints kama hizi ndio tunaweza kutoboa
 
Physical things kutoboa ni shida, case ya 1 kwa kilimo,mvua hazieleweki,soko nalo halieleweki,tozo kibao
Case ya 2 Biashara, Mtaji huna,majungu kibao,tozo kama zote hapo utatoboa tuache siasa wakuu...

Hii pia inaitaji mtaji ndugu kama iyo bitcoin moja tuu kwa sasa ni. Dollar 61255.88
 
Yaaah saitama i agree na inaonekana itafwata njia ya shiba...ila tatizo jinsi ya kuinunua naona ni complicated process... embu tupe ABC ya njia rahisi ya kununua hii coin?

Mimi nipo na Coinbase nime download coinbase wallet halafu nai convert kwa ethereum na kuinunua. Lakini unaweza kwenda na uniswap.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Karibuni $TREES token, iko na huge potential. Mi ndo Admin/moderator mkuu kwenye hiyo token Telegram na inapanda balaha
 
Tuko nyuma kwa sababu wengi hatufahamu, ingetolewa elimu ya hiki kitu gani, tungekuwa na investment base kubwa, basi kama taifa tungekuwa pazuri.
 
Mkuu umeandika point, tunakosa fursa nyingi, Jana nilitaka kununua account kwenye kampuni ya my forex fund, ksdi yang ya bank imegoma kusupport..had nitumie PayPal, crypto hizi sina uzoef nazo, hii fursa naona imenipita
Inabidi ujifunze kulipia kwa cryptos, ninavyojua payout zao zipo kwenye cryptos na deel hamna cards
 
Tuko nyuma kwa sababu wengi hatufahamu, ingetolewa elimu ya hiki kitu gani, tungekuwa na investment base kubwa, basi kama taifa tungekuwa pazuri.
Kwa dunia ya sasa elimu iko kila kona usingoje mtu, ingia google, youtube kuna kila kitu unachotaka kujifunza!!
 
Kuna kununu cryptocurrency ukaacha zipande lakini option nyingine una deposit kwenye kampuni utakuwa unalipwa asilimia kama faida kila siku hii ishuke ipande unapanda nayo na kuahuka nayo, anayetaka nimuelekeze kwenye kmpumi ninayo wekeza Mimi Inbox number ya WhatsApp.
 
Acheni Mambo ya makampuni na platform ni hatari ,watu wemepoteza pesa nyingi Sana....
 
Kuna kununu cryptocurrency ukaacha zipande lakini option nyingine una deposit kwenye kampuni utakuwa unalipwa asilimia kama faida kila siku hii ishuke ipande unapanda nayo na kuahuka nayo, anayetaka nimuelekeze kwenye kmpumi ninayo wekeza Mimi Inbox number ya WhatsApp.
Kuweni makini na hawa watu jamani mods sijui wamelala wapi
 
Kuna kununu cryptocurrency ukaacha zipande lakini option nyingine una deposit kwenye kampuni utakuwa unalipwa asilimia kama faida kila siku hii ishuke ipande unapanda nayo na kuahuka nayo, anayetaka nimuelekeze kwenye kmpumi ninayo wekeza Mimi Inbox number ya WhatsApp.
Hizo ishu za kulipwa asilimia kadhaa kama faida kila siku ni makampuni ya kitapeli na sio vizuri ukasambaza ishu za kitapeli kwenye huu uzi,ongelea legit information only zinazohusu crypto
 
Back
Top Bottom