Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
- Thread starter
- #81
Tunajitahidi tunapo pata nafasi si mbaya kushare tunayo jua. Hata kama si leo basi miaka kadhaa ijayo tunacho share leo kitanufaisha watu!Mkuu nakufatilia sana nyuzi zako,unajitahidi sana kuwasanua wabongo kuhusu haya mambo,wabongo wanapenda umbeya kuliko elimu
Leo hii kijana wa chuo,anapenda sana anasa,wakati ana uwezo wa kununua hata Tron 100,akaziweka tu kwa miaka 10
BTW thanks!