St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Inakuwaje hizo coins zinapanda thamani hivo? Hakuna udaku kweli kwenye hayo mambo? Hizo coins zinazalisha nini hasa mpaka thamani yake inapanda hivyo?
Je wachina ni wajinga kukataa hizo coins na kuzipiga marufuku??
Nakupa ukweli hapa Doge coin na Shiba inu Tweets ya Elon Musk au Michael Cuban na Snoop dog tu wanaipeleka juu. Kwahio hizo coin mpaka sasa Tweeter za hao niliotaja ndio wanazipazisha. Kwahio kwenye wendaazimu nawe unaweza kuwa mwendazimu na kwenye hela nawe utakuwa na hela.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]