Blockchain technology ni high advanced codes...sio kama kutengeneza blogsKwanini tusiwekeze kwenye kutengeneza Coin yetu iitwe #UswazinaCoin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blockchain technology ni high advanced codes...sio kama kutengeneza blogsKwanini tusiwekeze kwenye kutengeneza Coin yetu iitwe #UswazinaCoin
Mkuu pia nami namine hii coin,baada ya kupitia "whitepaper"...ingia link hapo chini uanze kumine,kabla hawafika kwenye minenet maana mining rate inaweza kuwa zero.Mkuu Upepo wa Pesa vipi naomba nipate mawazo yako kuhusu hii coin ya kuitwa pïcoin vipi una idea nayo?
Vipi unaonaje mtazamo WAKO future yake ni promising Au vipi?
Kulikuapo na kampuni moja pale posta linajiusisha na hayo mambo BOT waliwapiga marufuku.B.O.T tatizo lake nini hapo?,mkuu?
Itakuja kuruhusiwa kipindi BTC yupo usd 500,000Kulikuapo na kampuni moja pale posta linajiusisha na hayo mambo BOT waliwapiga marufuku.
Vilevile hapa bongo hakuna bidhaa au huduma ambayo inruhusiwa kuuzwa kwa mfumo huo.
Goverment kukosa exposure kwenye technology inaturudisha nyuma sana. wakati ethereum 1 ilipokua TZS 80,000/= nilitaka kununua za 1.5M, kwa bahati mbaya nilishindwa kuvalidate my Identity kwa sababuItakuja kuruhusiwa kipindi BTC yupo usd 500,000
XEC usd 1...suala la muda tu
Daah pole sana,mi Doge kipindi akiwa $0.004...nilitaka ninunu za $100...leo Doge yupo $0.28...imemove zaidi ya mara 70Goverment kukosa exposure kwenye technology inaturudisha nyuma sana. wakati ethereum 1 ilipokua TZS 80,000/= nilitaka kununua za 1.5M, kwa bahati mbaya nilishindwa kuvalidate my Identity kwa sababu
TZ hatupo kwenye recognized list.
Leo hii ethereum 1 ni around USD 4000+ imeniuma sana
Labda mama atatutoa matongotongoDaah pole sana,mi Doge kipindi akiwa $0.004...nilitaka ninunu za $100...leo Doge yupo $0.28...imemove zaidi ya mara 70
Duuh mkuu haya madini acha niyasave...
Mkuu mfano wa coins gani hizo,zina futures nzuri?
Watanzania tupo waoga, lakini Mimi naomba nikushirikishe uje uwekeze ninako wekeza Mimi , nimehangaika Sana Hadi kupata kampuni ambayo ni legit so ukitaka maelezo inbox uache namba yako ya WhatsApp Ili ujifunze kitu, risk inabaki kwa kampuni wewe unalipwa 10,% ya deposit yako. Unaweza ukawekeza kutumia sarafu nyingi tu Bitcoin na Ethereum ipo karibu niwekwekeza na nimelipwa kiwango Cha chini ni $50 tu.
Acha tu man! Hizi coin tatu hizi..Mtu angenunua MATIC tarehe uliyopost...leo angekua na faida ya zaidi ya 90%
Kwa mtazamo wangu...Mkuu mfano wa coins gani hizo,zina futures nzuri?
Technically au practically SHIBA kufika 1usd ni ngumu ukiangalia tokenomics na supply ya coin zake, ila inaweza panda japo kufika 1usd it will be a miracle (though it might be possible theoretically).Mkuu tupeane maujanja ya "projects" zitakazolipa hapo mbele...hao wadau tutakuja kuwauzia Shibacoin moja usd 1.2 2031 huko
Thats the price we pay for being Tanzanians, na sio hilo tu, paypal mpaka leo hatuwezi tumia na kuna fursa kibao zinahitaji paypal zinatupita kiutani utani tu!Goverment kukosa exposure kwenye technology inaturudisha nyuma sana. wakati ethereum 1 ilipokua TZS 80,000/= nilitaka kununua za 1.5M, kwa bahati mbaya nilishindwa kuvalidate my Identity kwa sababu
TZ hatupo kwenye recognized list.
Leo hii ethereum 1 ni around USD 4000+ imeniuma sana