Brightburn
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 348
- 688
Sitaki kuongelea bitcoin miaka 10 iliyo pita wala sitaki kuongelea the likes of etherium miaka kadhaa iliyo pita.
Kuna coin ambazo zina huge potential na mpaka sasa zina bei nafuu kweli kweli!
Mfano wa hizo coin (pamoja na bei tarehe ya leo 10/10/2021) ni kama ifwatavyo.
1. Matic Polygon (1.3 usd per coin)
2. Enjin (1.7 usd per coin)
3. Cardano (2.22usd per coin)
4. Fantom (2.22usd per coin)
5. Zilliqa (0.1 usd per coin)
Ziko nyingine nyingi lakini hizi ndio naona kidogo zina future nzuri.
Pamoja na kuwekeza kwenye fixed account au ununue hisa ni bora ukafikiria kuwekeza kwenye cryptocurrencies! Miaka mitano mpaka kumi from now unaweza jikuta uko sehemu ingine kabisa!
=========
NB1: Kuwekeza kwenye cryptocurrencies ni kama uwekezaji mwingine, kuna faida na hasara hivyo HAKIKISHA UNAFANYA TAFITI KUJIRISHA KABLA HUJAWEKEZA PESA YAKO.
NB2: Sitoi mafunzo wala huduma za cryptocurrencies na ndio maana nimesisita ufanye tafiti yako mwenyewe ili ujirishe.
Kila la heri Mtanzania mwenzangu!
Price Update: 01/11/2021
1. Matic Polygon (1.9 usd per coin)
2. Enjin (2.46 usd per coin)
3. Cardano (1.94 usd per coin)
4. Fantom (2.84 usd per coin)
5. Zilliqa (0.107 usd per coin)
Cardano pekee ndio imeshuka kidogo katika hizo sarafu ulizotaja! Respect mkuu, uko vizuri. Kama kuna watu walikuamini na kununua hizo Crypto, basi ungekuta leo hii wameshapiga pesa!!!