Hizo coin zinajihusisha na shughuli gani ya uzalishaji mpaka nyie mpate hela??
Yaani inakuwaje uweke million alafu baada ya muda upate faida ya million nyingine labda? Naomba mnijulishe nifanye maamuzi
Mkuu hizi coin unapata faida pindi thamani inapopanda ...
Mfano Bitcoin 1 mwaka 2010 ilikuwa sawa na $230, lakini Sasa hivi Bitcoin moja ni sawa na $57,000 kwa hiyo Basi Kama uliweza kununu Bitcoin enzi hizo ukahold kwa Sasa wewe ni millionea mzuri tu ,huo ni mfano .....
Kuna coin zina project nzuri tu ,yaani hizo coin Kama Shiba Inu,Tron ,Solana,umi ,....na coin nyingine mbalimbali zinategemewa kuja kupanda Bei ,kufika mwaka 2030 mtu aliyenunua hizo coin atakuwa mbali Sana ,kwani Bei yake ya Sasa haitakuwa sawa na ya mwaka 2030 kabisa ...
Mfano
kwa Sasa 1shiba inu=$0.0000345. Huu ni mwaka 2021
Kufika 2030 ,kutokana na project ya shiba inu ,inaweza kuwa 1 Shiba = $1.3
Aise mtu aliyenunua shiba 3000 akauza 2030 kwa hio Bei hapo juu hampo nae Tena meza moja ,...
Note usifikili 2030 ni mbali ,.........
Coin zinapanda vipi ...demand and supply of coin ndio inasababisha coin kupanda na kushuka ....
Coin inaweza kupanda mwezi huu ,mwezi ujao ikashuka ,ikapanda tana ,ila baada ya miaka 7 hio coin lazima itakuwa mbali kutokana na project za mafounder na developers wa hio coin ..,
Hivyo Basi coin zenye project kila mwaka lazima dhamani itapanda ,hii haijarishi watu wanafanya exchange kidogo au kwa wingi ....
Ukitaka kufanya hii biashara ,Soma kwanza ,kuwa na uelewa ,usikurupuke kutanguliza hela ,Soma ,elewa ,changanua Mambo ,usiwe na tamaa ,hii biashara haiitaji tamaa ni project ya muda mrefu ,yaani unajiaandalia kuwa millionea miaka 10 ijayo ,hapa ndipo watu wanafeli Kwan wanataka vitu vya fasta ........
Note ,kutrade crypto currency ndio unaweza kupoteza pesa lakin kuhold coin. Hautakuja kupoteza hela ,ni sawa na kununua mahindi kuweka ndani huku unasubili Bei ipande uuze ( ndio maana ya kuhold coin ),narudia Tena mtu ambaya ana trade crypto ndio mwenye possibility kubwa ya kupoteza kiasi kikubwa cha pesa ......