Watanzania hatuna uzalendo wa kiwango hiki, bali naamini watu wana masilahi binafsi huko Ngorongoro na ipo siku ukweli utajulikana

Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma (Watanzania,hasa wa chama tawala, hawana huo uzalendo hata kidogo).

Ipo siku Watanzania mtaujua ukweli pale itapokuja kuundwa tume huru kuchunguza yaliyofanyika au vinginevyo hata kama itakuwa ni katika awamu zijazo.

Mfano mzuri miongoni mwa mingi iliyopo ni ile ya gesi huko Mtwara na nguvu kubwa iliyotumika wakati ule na leo tunaambiwa gesi si yetu bali ni ya mabeberu (as Magufuli once said).

Niambieni ni lini CCM wamewahi kuwa na uchungu na maliasili za nchi yetu kwa kiwango hiki tena katika zama hizi?Nitakuwa wa mwisho kuwaamini.

Time will tell.
Umegusa penyewe kaka. Hata Pori la Loliondo lilitolewa hivyo kwa OBC. Imagine unawazunguka wenyeji pande 3 za dunia kwa hifadhi. Halafu bado hapo ulipowaachia, unataka kuutwaa. Haingiii akilini. Magaharibi, kuna hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Kaskazini, kuna pori la Loliondo na OBC, Kusini Magharibi wanakutana na Pori la akiba la Maswa. Mashariki, wanakutana na milima ambayo by default ni reserve za misitu. Binadamu wamekuwa Wanyama.
 
Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma (Watanzania,hasa wa chama tawala, hawana huo uzalendo hata kidogo).

Ipo siku Watanzania mtaujua ukweli pale itapokuja kuundwa tume huru kuchunguza yaliyofanyika au vinginevyo hata kama itakuwa ni katika awamu zijazo.

Mfano mzuri miongoni mwa mingi iliyopo ni ile ya gesi huko Mtwara na nguvu kubwa iliyotumika wakati ule na leo tunaambiwa gesi si yetu bali ni ya mabeberu (as Magufuli once said).

Niambieni ni lini CCM wamewahi kuwa na uchungu na maliasili za nchi yetu kwa kiwango hiki tena katika zama hizi?Nitakuwa wa mwisho kuwaamini.

Time will tell.
[emoji871]Kama CCM haijawahi kuwa na uchungu na Maliasili za nchi hii!

[emoji871]Je hiyo Ngorongoro imetunzwa na kusimamiwa na nani mpaka leo?

[emoji871]Kwa nini usijiulize nguvu kubwa inayotumika kwa ajili ya tarafa moja tu ya Ngorongoro.
Nani yuko nyuma yao?

[emoji871]Ni kweli kuna CCM ambayo inakumbatia ufisadi katika miradi kadhaa na hilo kundi ndio chadema inalolifurahia zaidi.

[emoji871]Pale tunapopata viongozi wenye uchungu na nchi hii,wanaishia kuombewa wafe.

[emoji871]Sasa aliingia mama,mkacheka sana huku mkichoma nyama.

[emoji871]Alipofungwa Sabaya mkakusanyika kushangilia.

[emoji871]Alipokamatwa mwamba wa Machame,hapo mkamjua Mungu.

[emoji871]Kila jambo lina wakati wake.Acheni haki itendeke Ngorongoro.
 
Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma (Watanzania,hasa wa chama tawala, hawana huo uzalendo hata kidogo).

Ipo siku Watanzania mtaujua ukweli pale itapokuja kuundwa tume huru kuchunguza yaliyofanyika au vinginevyo hata kama itakuwa ni katika awamu zijazo.

Mfano mzuri miongoni mwa mingi iliyopo ni ile ya gesi huko Mtwara na nguvu kubwa iliyotumika wakati ule na leo tunaambiwa gesi si yetu bali ni ya mabeberu (as Magufuli once said).

Niambieni ni lini CCM wamewahi kuwa na uchungu na maliasili za nchi yetu kwa kiwango hiki tena katika zama hizi?Nitakuwa wa mwisho kuwaamini.

Time will tell.
Naweza kusema haya ni mawazo ya ki-jiniazi. Asante sana. Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote. Eti ''pangu pakavu'' kama kina Kitenge wawe wazalendo! Ni fursa ya kushibisha matumbo yao ndiyo imewafanya wanabwabwaja.
 
Hili unalolisema kuna siku litakuja kuonekana wazi kabisa...

Kwasasa acha tujipe muda huenda Watanzania tumeamua kuwa wazalendo sasa,, Jambo ambalo ni +ve kabisa..

Lakini wengi wa wadau wanaolizungumzia hili jambo hawana full details za ngorongoro,, ni wanafuata tu mkumbo wa wanasiasa waliotangulia kusema...

Acha inyeshe.....
 
Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma (Watanzania,hasa wa chama tawala, hawana huo uzalendo hata kidogo).

Ipo siku Watanzania mtaujua ukweli pale itapokuja kuundwa tume huru kuchunguza yaliyofanyika au vinginevyo hata kama itakuwa ni katika awamu zijazo.

Mfano mzuri miongoni mwa mingi iliyopo ni ile ya gesi huko Mtwara na nguvu kubwa iliyotumika wakati ule na leo tunaambiwa gesi si yetu bali ni ya mabeberu (as Magufuli once said).

Niambieni ni lini CCM wamewahi kuwa na uchungu na maliasili za nchi yetu kwa kiwango hiki tena katika zama hizi?Nitakuwa wa mwisho kuwaamini.

Time will tell.
Mbona hili lipo wazi sana mkuu, hilo eneo watu washachukua chao inatafutwa timing tu yakuwatimua wanyonge wakimasai paitwe falme za kiarabu.
Hii nchi watu ni wabinafsi sana. Wanaangalia matumbo yao tu hata km itatokea watu kufa kwao ni sawa tu.
 
Kwani katiba inasemaje kuhusu kugawa ardhi kwa wageni.....
 
Back
Top Bottom