Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio nasema, mwizi hata mtaani kwenu muonee wivu tu, usimpige, nakuunga mkono, tuko pamoja kabisa, sibishi kitu.Sasa kama wewe tabia zako ni mwizi kwanini umsulubu mwizi mwenzio!!?
hoja ni uwepo wa watu waadilifu na sio idadi yao.Watu kama Nyerere wako wangapi kwenye jamii?
Naona kama umechangia nje ya mada, au?Ili ni kweli kabisa.
Hili ni tatizo kabisa.
Mtza kwa pesa za upigaji afai kabisa.
Unakamatwa na rushwa unatoa rushwa kesi inatupwa.
Ni nadra kukuta akufatiliaye eti umekwapua nae ukamp mgao wake akaendelea kukufatilia.