Watanzania hawajahuzunika na Kipigo cha DRC, Kwanini?

Bora CHADEMA wapumbavu kuliko CCM matahira. Na Leo mmenyooshwa na Waziri Mkuu wenu akiwepo. Bravo DRC
Ningelikuwa na maamuzi ya mwisho nchi hii UNGELIPOTEA katika dunia hii, because treason should be treated as such!
 
Labda wewe
Tumehuzunika sana tulitegemea kupata angalau sare
 
Ila mpira siku hizi umebadilika sana hv Ghana ndo wakufungwa na sudani goli mbili. Ivory cost wakuingaishwa na Sera lione?
 
Kila kitu kimekaa kimchongo mchongo kwenye hiyo timu, kuanzia kocha wachezaji mpaka wasimamizi wao!! WANATUMIA JINA LA TAIFA LAKINI NI PANGO LA WALANGUZI!!!
Ila kocha mle hamna muzeye na Julio juu. Hawa wamepata mafanikio wapi mpaka kupewa timu ya taifa?
 
Hiyo siyo timu ya Taifa tena bali ni mali binafsi ya mwenyekiti wa CCM sasa ikifungwa atajua yeye mweyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…