Watanzania hawana imani na Waziri wa Nishati January Makamba, anapaswa kuachia ngazi, asipoachia Rais amuondoe

Huyo mwamba anataka kuendesha shirika kwa siasa kama awamu ile ambayo watu walifikia kugawana hela za michongo yani ESCROW! Umeme ulikuwa kero balaa kumbe ni juhudi za makusudi za watawala kutuangamiza.

Watanzania wa mwaka 2021 sio wale wa 2007 ambao unaweza kuwapiga sound za kishamba eti kuwa kiangazi ndio kimefanya umeme usiwe wa uhakika au service ya mitambo. Kinachofanya statement za utetezi huo ziwe ngumu ni vile JPM alipohakikisha umeme hauzimwi kipumbavu na kila ulipozimwa kulikuwa na sababu ya msingi! Kwa hizi kelele za sasa laiti kama hayati angekuwepo Waziri wa nishati angeshakuwa kapigwa chini!
 
Tz ya sasa hakuna kiongozi mzalendo wote ni wezi hivi unatengemea Makamba ajiuzulu au waziri wa kulimo pamoja nakuitwa nonsense hapa bila katiba mpya au sisi wana wa nchi hii kuchukua maamuzi magumu watafanya wanavyotaka kama alivyowahi kusema Kheri James cha kuwafanya hatuna
 
Mnawakumbuka waliobatizwa jina la Lumumba buku 7,
Naona kama kuna harufu ya Kalemani kuajiri vijana ili kuchafua hali ya hewa kwa mrithi wake,wapo wengi humu wanajikuta wametekwa na kuitikia mapambio kwa nyimbo wasizozijua,

Ni dhahiri kwamba kama unauwezo wa kuajiri vijana 20 humu mitandaoni wanatosha kabisa kuchafua hali ya hewa nchi nzima.

Plz kalemani pumzika kwa amani fanya mambo mengine tambua hujazaliwa uwe waziri wa nishati.
 
Mkuu kunamajitu ya kiitwa NONSENSE ni kawaida kabisa
 
Makamba ione hii kwenye faili lakie.hakika umeeleza vyema sana na juzi kaingia mkataba wa 30USD kwa kufunga tu software ya kawaida ambayo wataalam wtu wanaweza kuifanya .alipo maliza akakimbilia tweeter kwenda kutweent kwa mbwembewe kama vile hiyo software ni suluhisho la msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napata wakati mgumu kuamini kinachosemwa kuendesha mitambo bila kujali maintenance. Kwangu naona ni kichaka cha watu kujifichia. Kwani mwendazake angetawala miaka 10 mgao ungekuepo? Hao wanaosema walikuo wakiogopa utawala wangemuaminisha vipi kwamba hawakufanya maintenance bali waliendelea kuzalisha umeme kuepusha mgao? Salama yao ingekuaje mitambo ingeharibika?

Namnukuu mzee kikwete " Zakuambiwa changanya na zako "
 
Sina uhakika kama huyu bingwa anajua anachofanya na ninaanza kuamini anahusika kutopatikana kwa umeme, atueleze ukweli sio story za magufuli alikataza maintenance au hakuna crane ya kufanyia kazi
Hapo kwenye crain ndio kuna uozo kabisa. Huyo aliyepewa hiyo kazi alitarajia aifanyeje? Bila aibu waziri anatetea ujinga.
 
Kwani kipindi cha Magufuli aliwezaje kuhakikisha maji yapo in 24/7 na umeme! Hata kama ulikatika ila sio kwa style hii ya Makamba mpaka kutia watu hasara


Kwani mbinu zilizotumika ku-raise funds wakati ule zina- apply hata sasa?

Ukichimba sana huko itakuwa kama kukosa kumsitiri mtu vile!
 
Nenda kahamie Zambia.
 
Huna akili.
 
Tushushieni bei ya petrol kwani si mlisema January bei ingeshuka mbona badoooooo......
Mkasema mmeongea na wauza mafuta wenyewe mbona badoooooo......
Serikali tusaidieeee..... We can't breath Mrs.government!!!!!!
 
Katika mitandao ya kijamii waziri makamba ameonekana kutotisha katika wizara hiyo mara nyingi malalamiko yamekuwa mengi jinsi anavyoondesha wizara yake ilianza bwala la nyerere visingizio kuhusu ujazaji wa maji vilikuwa vingi hadi sasa bwawa hilo halijakamilika na maradi unasuasua , tozo ya tsh100/= hiyo ilifutwa na waziri huyo ndiye aliyesema raisi kamtuma kutekeleza na baadae raisi mwenyewe amerudisha tozo hiyo na huku ikisemekana kwamba sheria ya kupitisha tozo hiyo ilipitishwa na bunge ambazo fedha hizo zingeenda kufanya shughuli za serikali. Makamba tayari inasemekana kwamba alikodi software kutoka india $30milion hadi sasa hatujajuwa ukodishwaji huo unaisha lini na nini kilichopelekea kukodi software hiyo.

Aidha kinachoshangaza zaidi amejikita kwenye miradi ya gesi LNG huku miradi mingine kama bwawa la umeme mradi huo ukisusua .kufanya MHESHIMIWA RAISI KUKAA KIMYA KWA JAMBO HILO INAONESHA KUWA WAZIRI HUYO HAGUSIKI NA TAYARI KUNA MANENO KUTOKA KWENYE MEDIA MBALIMBALI ZIKISEMA KWAMBA KIJANA HUYO NA KUNDI LAO NDIO WATAKAOMPIGANIA RAISI 2025 KURUDI MADARAKANI NDIYO SABABU RAISI HASEMI CHOCHOTE KUHUSU WAZIRI HUYO.

Binafsi natoa ushauri kuwa raisi anawajibu wakuamua yeye mwenyewe bila kulazimishwa na mtu nink afanye kwa kelele zinazoandama wizara hiyo anayoiongoza january makamba kwani makamba hawezi kuamua mawazo ya watanzania milion 60.
 
Makamba mtu wa ovyo sana. Anaturudisha nyuma miaka 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…