Watanzania hawana imani na Waziri wa Nishati January Makamba, anapaswa kuachia ngazi, asipoachia Rais amuondoe

Watanzania hawana imani na Waziri wa Nishati January Makamba, anapaswa kuachia ngazi, asipoachia Rais amuondoe

Haya maoni ya jamii umeyapima kivipi kuwa hayamkubali Januari? Maoni ya JF yaliyofunguliwa na wabaya wake siyo maoni ya wananchi
Watu wanataka umeme wa uhakiki mangi acha longo longo .hata bibi yule wa kijijini anajua kuwa kuna shida ya umeme na hiyo tofauti anaiona tu asubiri kuambiwa ni awamu ipi ilifanya yaliyo mazuri .vitu vinaoanda hivyo hovyo kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we jamaa ngoja ni kwambie tu makamba sio tu kwamba anazingua ila makamba Hana hata vigezo vya kuwa waziri wa nishati yaani mtu asome makablasha yake hoko Hafu umuweke kwenye sekta yeti inayohitaji maarifa as if Tanzania haijasomesha watu
Mradi wa matirioni unakuja kukwamishwa na vitu minor kama crane tu za 26t .bado tunaendelea na blaa balaa jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muacheni January afanye kazi, kwani Cha maana alicho fanya huyo kalemani ni kipi, huyo kalemani si alikuta mipango mizuri iliyo kuwa ineanadaliwa na Sospeter Mhongo.
Au mna chuki, Kama si za kikanda Basi NI za kukabila.
Mnapenda sana ngonjera kila saa mipango mipango mipango bila vitendo ni sufuri .wew ukiww na mipango ya kujenga ghorofa mika nenda rudi utakusaidia nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maoni ya jamii umeyapima kivipi kuwa hayamkubali Januari? Maoni ya JF yaliyofunguliwa na wabaya wake siyo maoni ya wananchi
Ukiwa na wabaya 1m halafu ukawa na wema 50elf, Basi jichunguze

Kwa hiyo wewe Unadhani yeye ananuksi siyo? Au unataka kulazimisha wote tupende upuuzi was kurudishwa kwenye majenereta siyo?

Au wewe ndo kamba? Jinga kabisa
 
Kila kona manug'uniko ya Watanzania ni juu ya dalili za wizara nyeti ya nishati na umeme kuwa na waziri ambae watu hawana imani nae. Tangu ateuliwe kuwa waziri basi taifa limekuwa na mauzauza tu juu ya upatikanaji wa umeme na hata uongozi na uendeshaji wa Tanesco.

Kitendo cha watanzania kutokuwa na imani na waziri huyu ni sababu tosha kabisa ya kujiuzulu au kuwajibishwa maana ni muda mfupi tu ameprove failure

Mtangukilizi wake Dkt Kalemani alisimamia vizuri Tanesco na kudhibiti ukatikaji hovyo wa umeme, pia aliwahakikishia watanzania kuwa mradi wa kuzalisha umeme wa JNHP utakuwa tayari ifikapo juni 2022.

Lakini tangu ateuliwe January Makamba kuwa waziri mradi wa JNHP umeanza kupata mauzauza, ujazaji maji kwenye mabwawa umechelewa kwa sababu zisizo za msingi, huku kukiwa na harufu ya ufisadi.

Nishati ya umeme ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu. Hii wizara haipaswi kuwa na waziri anayetiliwa shaka na umma kuwa mpiga madili.
Viongozi wa kitanzania ving'ang'anizi sana Hawako tayari kuachia madaraka hatakama jahazi linaelekea kuzama #ChawaMakamba
 
MAJIBU YAKO
Paragraph 1.
Kila kitu mwanzo ni mzuri na mwanzo mtu hutenda kwa umakini na tahadhari kubwa. Huyo January kama unatarajia atakapokuwa mzoefu basi atafanya vizuri unajidanganya tu. Mtakuja na mada hapa kuwa anafanya kazi kwa mazoea na kiburi. Mara hamwogopi mama n.k. Makamba kama mchezaji anachezea jina tu ila kiukweli hana jipya. Na mwona kama ajibu tu ndani ya Simba .
Paragraph 2. Mabadiliko yoyote lazima yawe chanya na sio hasi. Yeye alitakiwa na tulitarajia ataboresha zaidi na zaidi kuliko mtangulizi wake. Amekuta vitendea kazi vilevile,raslimali watu na vitu vilevile. Yaani unamtetea na hili? Alisema maji shida hivyo vina vimepungua ndio sababu ya kupungua umeme. Baada ya mtera kuja na tamko Makamba alisema tumpe siku 2 tatizo la umeme litaisha. Siku mbili zimeisha saizi mwezi unakata. Hapa naweza sema makamba ni muongo au hajui nn anafanya au kinatakiwa kifanyike.

Paragraph 3.
Hakuna mtanzania anaependa kuishi kwa uwongo bali serikali yenyewe inawaaminisha watu kisha inawatoa kwenye reli na ndio maana tumebaki kwenye reli safari hii.
Kutuaminisha sababu za kukata umeme ni upungufu wa vyanzo vya umeme ni kutaka kutudanganya na kutuibia .In short mwambie makamba tumemshitukia na tumemkataa na tunachofanya cc ni kile kilichosemwa mtera kuwa makamba ni muongo.

Paragraph 4. Kwa kauli ya rais na Makamba mwenye hawajawahi kusema sababu ya kukata umeme ni mitambo kuchoka au transformer mbovu. Wote wamesema na tumesikia tatizo ni maji na hadi chopa tulimuona anapanda kwenda ila hawajawahi kutuonyesha akiwa huko field au akirudi au akija na mrejesho zaidi tu ya kusema baada ya kuumbuliwa na viongozi wa mtera kuwa yeye Makamba ndani ya siku mbili atakuja na jawabu la kudumu. Sina taarifa jibu hilo ametoa au laa. Nafikiri necta hawajarudisha majibu.

Paragraph 5.
Utakuwa wa kwanza kuchangia mada za kuhusu ubaya wa makamba otherwise wewe ndiye yeye Makamba.
Unamacho ila hauoni na unamasikio ila hausikii.
Unaona kabisa umeme unakata mda wote ila unasema unakata kwa ushauri wa watalamu na unasikia kilio cha wengi juu ya nishati ya uhakika ila unawapuuzia
Mkuu, umeelezea kwa uchungu na hisia kali kuhusu waziri mwenye dhamana kuwa ndiye pekee ambaye anapaswa kubebe zigo la lawama kuhusiana na matatizo ya kihistoria yanayoikabili TANESCO. Lakini nafikiri ni vyema pia hata ungetoa ushauri nini hasa kinapaswa akifanye.

Je! Ni vyema kulazimisha umeme upatikane kwa njia yoyote ile pasipo kujali ushauri na mazingatio ya kitaalamu? Ama la, ni vyema pia kuzingatia ushauri na mazingatio ya kitaalamu kwa kukata umeme kwa muda ili kutafuta suluhisho la kudumu?

Stitch in time saves nine! Waziri inampasa alipitishe Taifa katika njia sahihi bila ya kujali nani anasema nini na yupo wapi. Ni ukweli uliokuwa bayana kuwa hawezi kumridhisha kila mtu.
 
Ukiwa na wabaya 1m halafu ukawa na wema 50elf, Basi jichunguze

Kwa hiyo wewe Unadhani yeye ananuksi siyo? Au unataka kulazimisha wote tupende upuuzi was kurudishwa kwenye majenereta siyo?

Au wewe ndo kamba? Jinga kabisa
Kwa hiyo kwa akili yako huu umeme tunaotumia unatoka Stiglers Gorge kule DIKTETA MAgufuli alikokata miti Milioni 26 yenye ukubwa DSM?

Kwa taarifa yako 60% ya umeme wa national grid unazakishwa Kinywrezi 1& 2 kwa gesi ya Mtwara aliyokuwa anaiponda Mwendazake
 
Hebu eleza ubaya wa makamba kwa ushahidi concrete sio kwa blah blah
Moja, umeme umeanza kukatika baada ya Makamba kuingia madarakani. Hiyo ni rebuttable presumption kwamba tatizo ni yeye.

Mbili, hajui, hajatulia akaisoma TANESCO, ama hasemi ukweli kuhusu kiini cha matatizo ya TANESCO. Alisema sababu za kukatika kwa umeme ni kukosekana kwa ukarabati wa mitambo, siku tatu baadae tukaambiwa tatizo ni mabadiliko ya tabia nchi. Wiki moja baadae bosi wake akasema tatizo ni ng'ombe za wasukuma na binadamu wakaidi. Wiki moja baadae tukaambiwa tabia nchi imetengemaa, mabwawa yamekaa sawa. Jana Dar es Salaam maji yamekatika kutwa. The leadership is clueless.

Tatu, hajui ama ali underestimate majukumu yake: alisema kama Waziri hataki kupelekewa matatizo ya umeme kwa sababu hataki TANESCO iingiliwe na wanasiasa. Siku hizi anazunguka kwenye mabwawa na karakana za TANESCO.

Nne, anafanya mzaha na teuzi za watendaji. Kamweka Mkurugenzi rafiki yake ambae hana background ya kumwezesha kuendesha taasisi ya kibiashara kubwa kuliko zote nchini. CEO wa Makamba, Chande Maharage, kasema kiini cha tatizo la TANESCO ni wafanyakazi kutolipwa kutokana na utendaji. Toka lini mshahara wa mtumishi wa umma ukabadilika kila mwezi based on performance ?

Tano, ni mzembe, anatupa excuses za hovyo na za kitoto kila wanaposhindwa kusimamia miradi. Makamba kasema Nyerere Hydropower haitakamilika kwa wakati kwa sababu vyuma ni vizito na crane hatuna. Atulie akasome mikataba kwanza, project planning ya contractor inasemaje, walikubaliana watatumia nini kubeba nondo za ujenzi, vichwa vya waponda zege ?

January Makamba does not know which end is up at Ministry of Energy. His boss is just as clueless, and Makamba knows the boss is a lightweight.
 
Maji ya kunywa tu huko dar ni ya mgawo ndo mupate maji ya kujaza bwawa! Mmeharibu mamilioni ya miti huko rufiji kisa Hilo bwawa lenu halafu mnamuomba mungu mvua sasa Hilo bwawa mtalijaza na mikojo yenu, nyie hamjui misitu huleta mvua ?mmeharibu mazingira kwa kukatakata miti kisa kujenga bwawa mna laana nyie watu!!! umeme wa kutegemea maji ni wa kizamani maana mvua zisiponyesha mtaja na nn Hilo bwawa la nyerere
 
Wizara ishamshinda. Wewe ni type ya watu mnakuta messages chafu kwenye simu ya mkeo lakini unasubiri akutwe anapigwa miti iliuamini.
😅😅😅😅😅😆 Haswa hujakosea, akili za wanaomtetea January ndio zinaakisi hilo hilo! Vilubwa kweli yani wanasubiria wakute video chafu za mke analiwa tigo wakati sms za mtongozo walishaziona.
 
Naona mnaanzisha nyuzi kibao za January Makamba kwa Nchi ya Tanzania yenye msururu wa kodi kwenye bidhaa zetu toka enzi na enzi mnamzungumzia Makamba wa leo.

Kwenye magari huko kuna kodi utadhani Wananchi wanaleta ndege bado wakileta hayo magari yaliyotumika kutoka Japan wanakutana na Ewura kuwapandishia bei kila mwezi...Zambia mafuta yapo bei nafuu kuliko Tanzania nadhani tumerogwa sio bure.
Sasa makamba na kodi vinahusianaje?
 
Maji ya kunywa tu huko dar ni ya mgawo ndo mupate maji ya kujaza bwawa! Mmeharibu mamilioni ya miti huko rufiji kisa Hilo bwawa lenu halafu mnamuomba mungu mvua sasa Hilo bwawa mtalijaza na mikojo yenu, nyie hamjui misitu huleta mvua ?mmeharibu mazingira kwa kukatakata miti kisa kujenga bwawa mna laana nyie watu!!! umeme wa kutegemea maji ni wa kizamani maana mvua zisiponyesha mtaja na nn Hilo bwawa la nyerere
Usiwe kama mkoonduw wewe jamaa! Bwawa linajengwa na sehemu ya kuhifadhia maji ili kusudi kipindi cha kiangazi flow iendelee kuwepo!

Umeme wa maji ndio umeme wa bei nafuu kama hujui sasa ni natural source of energy isio na madhara yeyote kwa jamii na mazingira kwa ujumla.

Kuhusu madhara miti inayokatwa Iringa kwa kuchana mbao kwa mwaka ni Mingi kuliko hio iliokatwa huko kwenye mradi wa JNHPP. Kwa eneo lililojengwa mradi limetumika almost 5% tu na 95% imebaki bila kuathiriwa! Sasa unaposema kiangazi kimesababisha na kukatwa miti 3000 unakuwa hueleweki na wakati mvua zinanyesha tayari!
 
kuongoza tanzania ni shughuli kweli sasa ubaya wa huyu waziri ni upi mnataka alete mvua mabwawa yajae au
Waziri hafai hajui kusimamia wizara hatutaki power cuts mitambo service haichukui mwaka mzima ila mbona umeme unakatika katika tu mwezi wa 3 huu?
 
Binafsi hata mimi sifurahishwi na kitendo cha kukosekana kwa huduma ya umeme wakati wote pamoja na maji.

Kama ni kuwalaumu na kuwakomalia walopelekea kushindwa kujiongeza na kuwa na vision Nzuri ya kuondoa tatizo hilo ni Viongozi wa serikali na bunge na sio Januari ambae kwenye hiyo Wizara kaletwa juzi tu.

Serikali na bunge watuambie Kwanini wananunua ndege badala ya kuwekeza kwenye huduma za msingi za maji ambao ni uhai wa binadamu yeyote na Umeme ambao ni nishati yenye economic impacts as well?

Je kipi kipaombele kati ya kununua ndege na kutoa huduma ya maji na umeme kwa wananchi?

Mkileta hoja ya namna hiyo nitawaelewa kuliko hizo personal attacks mnazomfanyia Januari hazisaidii.
Kwani kipindi cha Magufuli aliwezaje kuhakikisha maji yapo in 24/7 na umeme! Hata kama ulikatika ila sio kwa style hii ya Makamba mpaka kutia watu hasara
 
Amemteta wapi ?

Kuhusu jambo gani ?

Mnataka kuanza kumfitinisha na Rais ?

[emoji3][emoji3]

Yatawashinda [emoji108][emoji108]

Mpewa hapokonyeki [emoji108]

Kama ni hivyo basi Januari he is a greater person.

Itakuwa Mwenyezi Mungu ameweka kitu kikubwa sana ndani yake ambacho wanajimu wanakiona na kukasirika kwa husuda!

Aisee angalieni nawashauri msijemkaugua!

Chuki, husuda, fitina huwa humuumiza mwenye kuzibeba moyoni.
Ukimuonea husda kilaza unakuwa zaidi ya punguwani! Mtu aliyeiba paper o’level na kuishia kubebwa kuwa muandika makala za raisi ikulu ndio nimuonee wivu kweli! Mtu ambaye maisha yake yanategemea mbeleko ya jina la baba yake tu?
 
Back
Top Bottom