Watanzania hawana imani na Waziri wa Nishati January Makamba, anapaswa kuachia ngazi, asipoachia Rais amuondoe

Watanzania hawana imani na Waziri wa Nishati January Makamba, anapaswa kuachia ngazi, asipoachia Rais amuondoe

Kwani amefanya makosa gani?

Hayatamfika kamwe , asilani, abadani!

Mnaongozwa na mihemko yenye kusukumwa na chuki na husuda tu!

Nimewauliza swali Kwa hiyo akirudishwa leo huyo Ngosha wenu kina cha maji kule kwenye mabwawa ya umeme kitajaa na umeme hautakatwakatwa tena?

Je Ngosha anaoweza kufanya huo muujiza?

Ningekuwa Karibu na Rais ningemshauri ameudishe huyo Ngosha wenu kwa wakati ule hata mvua bado hazijanyesha na kina cha maji kuongezeka kidogo halafu tuone Je mgawo wa umeme utakoma?
Sitaki kusikia habari ya Ngosha ksb siyo Baba yangu yule mimi nataka umeme na huyo mpumbavu wenu anahujumu nishati lazima atawekwa ndani mbele ya safari.
 
Umeme uta stabilize tu. Mpeni haki yake ya benefit of doubt mpaka baada ya muda fulani. Tumepitia kipindi cha ukame hadi maji ya kunywa yakawa shida, sembuse yakuzalisha umeme?Tatizo mmeanza kumlaumu kuanzia day one alipoteuliwa. Sasa hii inaonesha kuna chuki binafsi.

Eti wanashindwa kujiuliza iwapo waji ya kawaida hakuna sembuse upatikanaji wa umeme ambao unategemea uwepo wa maji mengi ili uzalishwe?

Hata haya wahana hawa jamaa!

Tumewastukia na chuki zao na husuda!
 
Sitaki kusikia habari ya Ngosha ksb siyo Baba yangu yule mimi nataka umeme na huyo mpumbavu wenu anahujumu nishati lazima atawekwa ndani mbele ya safari.

Amehujumu kivipi ?

Kwamba hutakikukubaliana na ukweli kuwa kumekuwa na tatizo la ukame kiasi cha kusababisha hata huduma ya maji ya kawaida kukosekana?

Na unajua kuwa umeme ya nchi hii huzalishwa kwa njia ya Maji ?
 
January Makamba hakuweza uwaziri wa wizara rahis kama ya mazingira na muungano chini ya rais mwelekezaji na mfuatiliaji.

Kweli watanzania tunaamin ataweza kwenye wizara ngumu chini ya rais ambaye haijui chin, sio mtanzania, ambae hana elimu yoyote ya uongozi, hafuatilii mambo. Haelewi nini watanzania wanataka. Mtu wa deal tu, anaeamini kuwa wazungu watakuja kutusaidia.

Ni kukubali tu kuwa tumepigwa na tujifunze na zaid sana tuelewe tunachotaka katika Nchi yetu.
 
Acha wivu wewe, hebu tueleza baya alilolifanya na lenye ushahidi mpaka sasa. Wewe sema humpendi tu. Yaani unamu evaluate mtu kwa mwezi mmoja au miwili kisha unakuja na generalization eti hafai, serious? Hii si haki. Bila shaka ulitaka wale unaowashabikia ndio wateuliwe. Vumilia tu maumivu ndugu.
Ubaya wa kudandia mada za wanaume.
 
Binafsi hata mimi sifurahishwi na kitendo cha kukosekana kwa huduma ya umeme wakati wote pamoja na maji.

Kama ni kuwalaumu na kuwakomalia walopelekea kushindwa kujiongeza na kuwa na vision Nzuri ya kuondoa tatizo hilo ni Viongozi wa serikali na bunge na sio Januari ambae kwenye hiyo Wizara kaletwa juzi tu.

Serikali na bunge watuambie Kwanini wananunua ndege badala ya kuwekeza kwenye huduma za msingi za maji ambao ni uhai wa binadamu yeyote na Umeme ambao ni nishati yenye economic impacts as well?

Je kipi kipaombele kati ya kununua ndege na kutoa huduma ya maji na umeme kwa wananchi?

Mkileta hoja ya namna hiyo nitawaelewa kuliko hizo personal attacks mnazomfanyia Januari hazisaidii.
 
Zambia mafuta ni kiasi gani kwa Lita?
 
Chuki kwa January Makamba ni kitu akikubaliki, shida ya umeme inaelezeka, mwacheni atumikie taifa, na kama alikuudhi kisiasa, basi sio peke yake, sasa wote utawafanya nini? Acha kumfitinisha yaani unaonyesha chuki yako kuwa ni ya tz, anafanya kazi vizuri, mama anamjuwa kuliko wewe, kwani walikuwa ofisi moja. Mbona ukumshikia bango 7ya, bashite kipindi kile, au walikufurahisha?
 
Kwa mwerevu ataelewa kwa hali ilivyo ya kimfumo pale kwa wakati huu wa ukame na maji kuisha hata angekuwepo Ngosha au yeyote Umeme ungekatwa tu.

Mjifunze kuangalia nje ya box.

Libaneni bunge wawakilishi wenu na Viongozi wakuu wa Serikali ambao ndio wanaopitisha maamuzi ya kuona kununua ndege ni muhimu zaidi kuliko kuimarisha huduma ya maji na umeme.

Waziri wa maji na nishati anaweza kuandaa bajeti kubwa lakini ikifika bungeni inakatwa,

Au ikapitishwa bungeni lakini wakati wakudai hela ya utekelezaji hapewi.

Ndio maana ni muhimu sana kujua kila Mwaka bajeti ya Wizara hasa zile nyeti zimetekelezeka kwa asilimia ngapi?

Kwa bahati mbaya waTZ wengi si wafuatiliaji wa mambo hayo muhimu sana.
 
Binafsi hata mimi sifurahishwi na kitendo cha kukosekana kwa huduma ya umeme wakati wote pamoja na maji.

Kama ni kuwalaumu na kuwakomalia walopelekea kushindwa kujingeza na kuwa na vision Nzuri ya kuondoa tatizo hilo ni Viongozi wa serikali na bunge na sio Januari ambae kwenye hiyo Wizara kaletwa juzi tu.

Serikali na bunge watuambie Kwanini wananunua ndege badala ya kuwekeza kwenye huduma za msingi za maji ambao ni uhai wa binadamu yeyote na Umeme ambao ni nishati yenye economic impacts as well?

Je kipi kipaombele kati ya kununua ndege na kutoa huduma ya maji na umeme kwa wananchi?

Mkileta hoja ya namna hiyo nitawaelewa kuliko hizo personal attacks mnazomfanyia Januari hazisaidii.
Makamba mwenyewe ni gwiji wa personal attacks....ukweli wenyewe ni kuwa Makamba hafai hata kuwa Katibu kata...mtu anayemteta hata rais wake hafai hata kidogo...ni aibu kwa taifa kwa mtu wa aina hii kuteuliwa kwa nafasi yoyote ile ya umma...ni aibu kubwa...
 
CCM ukoo wa panya. Baba, mama, watoto, wajomba na mashangazi wote wezi😂😂😂😂
 
Kila kona manug'uniko ya watanzania ni juu ya dalili za wizara nyeti ya nishati na umeme kuwa na waziri ambae watu hawana imani nae. Tangu ateuliwe kuwa waziri basi taifa limekuwa na mauzauza tu juu ya upatikanaji wa umeme na hata uongozi na uendeshaji wa Tanesco.

Kitendo cha watanzania kutokuwa na imani na waziri huyu ni sababu tosha kabisa ya kujiuzulu au kuwajibishwa maana ni muda mfupi tu ameprove failure

Mtangukilizi wake Dk Kalemani alisimamia vizuri Tanesco na kudhibiti ukatikaji hovyo wa umeme, pia aliwahakikishia watanzania kuwa mradi wa kuzalisha umeme wa JNHP utakuwa tayari ifikapo juni 2022.

Lakini tangu ateuliwe January Makamba kuwa waziri mradi wa JNHP umeanza kupata mauzauza, ujazaji maji kwenye mabwawa umechelewa kwa sababu zisizo za msingi, huku kukiwa na harufu ya ufisadi.

Nishati ya umeme ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu. Hii wizara haipaswi kuwa na waziri anayetiliwa shaka na umma kuwa mpiga madili.
Tushawachoka nyie wafuasi wa Dikteta kichaa, Sukuma Gang nendeni mkalimie kaburi la mungu wenu kichaa,

January bado yupo Sana,

Yaan kutwa mnatukana Samia mitandaoni,halafu mnataka afuate ushauri wenu kenge nyinyi
 
Hivi watu hawaoni ya kuwa January na uongozi mpya wa Wizara ya Nishati pamoja na TANESCO wapo katika nafasi walizo kuwanazo kwa muda mfupi uliopita! Katika kipindi kama hicho ni lazima tuwe wavumilivu na wapewe muda ili kuweka mambo sawa.

Unapo kabidhiwa uongozi wa wizara kubwa na nyeti kama hiyo ya nishati, ni vyema kiongozi mpya akajifunza kwanza kuhusu mambo ya "efficiency & productivity" ya mfumo alioukuta, nafikiri hiki ni kitu ambacho January amekuwa akikifanya. Pia anapaswa kufanya mabadiliko kwa tahadhari kubwa ili kuleta matokeo lengwa.

January aliukuta mfumo ambao unaendeshwa tu kwa amri tu za kisiasa bila kujali "technical environment" ili watu wapate umeme. Mfumo alioukuta haukujali kabisa kuhusu athari hasi na za muda mrefu kwa mitambo iliyolazimishwa kuendelea na uzalishaji pasipo kuzingatia tahadhari za kitaalamu.

Ni lazima kijana apewe "benefit of doubt" ili apate kutimiza yale aliyoyakusudia kuyafanya na timu yake. Hapo alipo yupo kwenye mipango ya muda mfupi, yaani STP ambayo matokeo ya ni magumu kuyaona. Isipokuwa akiingia katika MTP na hatimaye LTP watu ndipo wanaweza kumpa stahiki yake ya pongezi ama lawama.
Wenzio hiyo nafasi wanataka apewe msukuma mwenzao, wapuuzi hao
 
Sahizi ishu ni kuwa fata ofisini huko huko na kuanza kuwatembezea vichapo kama wao walivyowafanya wamachinga!

Ishu ikienda viral pengine masikio yao yatasikia! Tunataka bei za vitu zishuke na usimamizi uwe mzuri! Viongozi wapuuzi waondolewe haraka sio kukumbatia mabomu
Thubutuuuuuuuuuu,labda wazimbabwe sio wabongo
 
Hivi watu hawaoni ya kuwa January na uongozi mpya wa Wizara ya Nishati pamoja na TANESCO wapo katika nafasi walizo kuwanazo kwa muda mfupi uliopita! Katika kipindi kama hicho ni lazima tuwe wavumilivu na wapewe muda ili kuweka mambo sawa.

Unapo kabidhiwa uongozi wa wizara kubwa na nyeti kama hiyo ya nishati, ni vyema kiongozi mpya akajifunza kwanza kuhusu mambo ya "efficiency & productivity" ya mfumo alioukuta, nafikiri hiki ni kitu ambacho January amekuwa akikifanya. Pia anapaswa kufanya mabadiliko kwa tahadhari kubwa ili kuleta matokeo lengwa.

January aliukuta mfumo ambao unaendeshwa tu kwa amri tu za kisiasa bila kujali "technical environment" ili watu wapate umeme. Mfumo alioukuta haukujali kabisa kuhusu athari hasi na za muda mrefu kwa mitambo iliyolazimishwa kuendelea na uzalishaji pasipo kuzingatia tahadhari za kitaalamu.

Ni lazima kijana apewe "benefit of doubt" ili apate kutimiza yale aliyoyakusudia kuyafanya na timu yake. Hapo alipo yupo kwenye mipango ya muda mfupi, yaani STP ambayo matokeo ya ni magumu kuyaona. Isipokuwa akiingia katika MTP na hatimaye LTP watu ndipo wanaweza kumpa stahiki yake ya pongezi ama lawama.
Kama amri zinasaidia kutokukatia kwa umeme Bora zitumike
 
Unakomaa na mtu mpaka anaku cost political capital yako na focus yako kama Makonda alivyom cost Magu.

Mawaziri karibia 30 mmoja ndio jamii inasema hatoshi, wewe umekomaa nae, kwa nini usisikie kilio na ushauri wa umma kwa ujumla kwamba huyu waziri mmoja hatumtaki ?

January Makamba hakuweza uwaziri chini ya Magu, bosi mfuatiliaji na muelekezaji, haiwezekani akauweza chini ya bosi ambae haijui nchi, bosi offhanded, clueless, tone deaf and out of touch.
Huyo Magu aliongozwa na roho mbaya, udini na ukabila, Hana utukufu wowote huyo mungu wenu,

Acheni Samia apige kazi, mnamchukia Samia nadhani sababu labda ya dini yake (60%)
 
Ww unaishi Tanzania ya uhamishoni? Au Tanzania ya vijijini kusiko na nishati ya umeme? Kumtetea Makamba eti ipo siku atafanya vizuri ni sawa na mashabiki wa Arsenal kuamini ipo siku tutamfunga Man United
Huyo msukuma mwenzenu Kaleeemani alifanya lipi la maana?
 
MAJIBU YAKO
Paragraph 1.
Kila kitu mwanzo ni mzuri na mwanzo mtu hutenda kwa umakini na tahadhari kubwa. Huyo January kama unatarajia atakapokuwa mzoefu basi atafanya vizuri unajidanganya tu. Mtakuja na mada hapa kuwa anafanya kazi kwa mazoea na kiburi. Mara hamwogopi mama n.k. Makamba kama mchezaji anachezea jina tu ila kiukweli hana jipya. Na mwona kama ajibu tu ndani ya Simba .
Paragraph 2. Mabadiliko yoyote lazima yawe chanya na sio hasi. Yeye alitakiwa na tulitarajia ataboresha zaidi na zaidi kuliko mtangulizi wake. Amekuta vitendea kazi vilevile,raslimali watu na vitu vilevile. Yaani unamtetea na hili? Alisema maji shida hivyo vina vimepungua ndio sababu ya kupungua umeme. Baada ya mtera kuja na tamko Makamba alisema tumpe siku 2 tatizo la umeme litaisha. Siku mbili zimeisha saizi mwezi unakata. Hapa naweza sema makamba ni muongo au hajui nn anafanya au kinatakiwa kifanyike.

Paragraph 3.
Hakuna mtanzania anaependa kuishi kwa uwongo bali serikali yenyewe inawaaminisha watu kisha inawatoa kwenye reli na ndio maana tumebaki kwenye reli safari hii.
Kutuaminisha sababu za kukata umeme ni upungufu wa vyanzo vya umeme ni kutaka kutudanganya na kutuibia .In short mwambie makamba tumemshitukia na tumemkataa na tunachofanya cc ni kile kilichosemwa mtera kuwa makamba ni muongo.

Paragraph 4. Kwa kauli ya rais na Makamba mwenye hawajawahi kusema sababu ya kukata umeme ni mitambo kuchoka au transformer mbovu. Wote wamesema na tumesikia tatizo ni maji na hadi chopa tulimuona anapanda kwenda ila hawajawahi kutuonyesha akiwa huko field au akirudi au akija na mrejesho zaidi tu ya kusema baada ya kuumbuliwa na viongozi wa mtera kuwa yeye Makamba ndani ya siku mbili atakuja na jawabu la kudumu. Sina taarifa jibu hilo ametoa au laa. Nafikiri necta hawajarudisha majibu.

Paragraph 5.
Utakuwa wa kwanza kuchangia mada za kuhusu ubaya wa makamba otherwise wewe ndiye yeye Makamba.
Unamacho ila hauoni na unamasikio ila hausikii.
Unaona kabisa umeme unakata mda wote ila unasema unakata kwa ushauri wa watalamu na unasikia kilio cha wengi juu ya nishati ya uhakika ila unawapuuzia
Haya Wai Chatttle kafagilie kaburi
 
Back
Top Bottom