Watanzania hawana imani na Waziri wa Nishati January Makamba, anapaswa kuachia ngazi, asipoachia Rais amuondoe

Watanzania hawana imani na Waziri wa Nishati January Makamba, anapaswa kuachia ngazi, asipoachia Rais amuondoe

Kila kona manug'uniko ya watanzania ni juu ya dalili za wizara nyeti ya nishati na umeme kuwa na waziri ambae watu hawana imani nae. Tangu ateuliwe kuwa waziri basi taifa limekuwa na mauzauza tu juu ya upatikanaji wa umeme na hata uongozi na uendeshaji wa Tanesco...
Sikiliza Kalemani! Kama Kuna madili hukumalizia kuwa mpole tu! Hukuzaliwa kuwa Waziri!

Kama shida ya Umeme ilikuwepo ukiwa Waziri na haijawai kuondoka!

Makamba ndo waziri we endelea kunung’unika tu huko Chato
 
Yalishuka Tanzania tu au Hadi soko la Dunia?

Bei ya Mafuta soko la Dunia ikoje sasa?
Au ndo umezaliwa na kukulia chato tu hapo hujui mambo ya dunia huko?
Umeuliza kipi kilishuka bei umejibiwa! Hayo mambo ya kusema nilizaliwa chato sielewi yamekujaje.

Una hakika soko la dunia mafuta yanauzwa 2,510 kwa litre?
 
Umeuliza kipi kilishuka bei umejibiwa! Hayo mambo ya kusema nilizaliwa chato sielewi yamekujaje.

Una hakika soko la dunia mafuta yanauzwa 2,510 kwa litre?
Ndio nina uhakika Bei ya mafuta soko la Dunia Yamepanda sana!

Hadi juzi Rais wa Marekani Joe Biden ameamuru Marekani watoe reserve yao ili kuweza kupambana na mfumuko wa Bei ya Mafuta
 
Ndio nina uhakika Bei ya mafuta soko la Dunia Yamepanda sana!

Hadi juzi Rais wa Marekani Joe Biden ameamuru Marekani watoe reserve yao ili kuweza kupambana na mfumuko wa Bei ya Mafuta
Nioneshe ambapo bei ya litre soko la dunia ni 2,510 usiniambie habari za bidden!
 
Nioneshe ambapo bei ya litre soko la dunia ni 2,510 usiniambie habari za bidden!
Acha uvivu somaga


 
Muacheni January afanye kazi, kwani Cha maana alicho fanya huyo kalemani ni kipi, huyo kalemani si alikuta mipango mizuri iliyo kuwa ineanadaliwa na Sospeter Mhongo.
Au mna chuki, Kama si za kikanda Basi NI za kukabila.
Kama angeonyesha perfomance nzuri nani angekosa imani naye? Taifa linahitaji umeme wa uhakika, ameteuliwa na kuja na mauzauza kibao.
 
Sikiliza Kalemani! Kama Kuna madili hukumalizia kuwa mpole tu! Hukuzaliwa kuwa Waziri!

Kama shida ya Umeme ilikuwepo ukiwa Waziri na haijawai kuondoka!

Makamba ndo waziri we endelea kunung’unika tu huko Chato
Kwa nini usikae kimya ndugu?
 
Kila kona manug'uniko ya watanzania ni juu ya dalili za wizara nyeti ya nishati na umeme kuwa na waziri ambae watu hawana imani nae. Tangu ateuliwe kuwa waziri basi taifa limekuwa na mauzauza tu juu ya upatikanaji wa umeme na hata uongozi na uendeshaji wa Tanesco.
...
Ni kweli kabisa kwamba huyu dogo kwa wizara ya nishati Kashindwa kudeliver. Nashauri iundwe wizara ya upigaji na rushwa na huyu bwana ahamishiwe huko.
 
Hivi watu hawaoni ya kuwa January na uongozi mpya wa Wizara ya Nishati pamoja na TANESCO wapo katika nafasi walizo kuwanazo kwa muda mfupi uliopita! Katika kipindi kama hicho ni lazima tuwe wavumilivu na wapewe muda ili kuweka mambo sawa...
Kama alikuta mfumo mbovu kwanini ulikuwa matokeo mazuri kuliko wake. Hatupo hapa ku baby sit watu tunataka umeme habari za kupeana muda ni za 70,80 na 90s. Nyie wapumbavu mtasababisha machafuko nchi hii kwasababu hamtaki kuelewa jinsi kizazi kipya hakitaki ujinga.
 
Kila kona manug'uniko ya watanzania ni juu ya dalili za wizara nyeti ya nishati na umeme kuwa na waziri ambae watu hawana imani nae. Tangu ateuliwe kuwa waziri basi taifa limekuwa na mauzauza tu juu ya upatikanaji wa umeme na hata uongozi na uendeshaji wa Tanesco....
Samia hatamtoa lakini mbele ya safari Makamba atakuja kuwa mfungwa.
 
Mkuu, hivi tuseme ni muda gani hasa mtu akiaminiwa kufanya fulani ndipo watu wanaweza kumfanyia tathmini ya jumla? Hata kwa nafasi ya urais watu huanza kuangalia siku zake 100 za kwanza akiwa ofisini...
Nyie watu siyo result oriented, watu hawataki maneno wanataka umeme hamna mtu angelalamika hapa kama umeme ungekuwa wa uwakika.
 
Ww unaishi Tanzania ya uhamishoni? Au Tanzania ya vijijini kusiko na nishati ya umeme? Kumtetea Makamba eti ipo siku atafanya vizuri ni sawa na mashabiki wa Arsenal kuamini ipo siku tutamfunga Man United
Kumbe Frustration una akili ya kimpira mpira? Hapa siyo kwako nenda JUKWAA la michez ukakutane na akina Haji Manara.

Hapa utapata frustrations tu
 
Mkuu, mimi simtetei kwa kuwa muda utaingea. Kama wizara itamshinda muda ukifika itabidi aondolewe tu ili kupisha waziri mwingine mwenye uwezo wa kuiendesha wizara hii kwa ufanisi mkubwa.
Wizara ishamshinda. Wewe ni type ya watu mnakuta messages chafu kwenye simu ya mkeo lakini unasubiri akutwe anapigwa miti iliuamini.
 
Sahizi ishu ni kuwa fata ofisini huko huko na kuanza kuwatembezea vichapo kama wao walivyowafanya wamachinga!

Ishu ikienda viral pengine masikio yao yatasikia! Tunataka bei za vitu zishuke na usimamizi uwe mzuri! Viongozi wapuuzi waondolewe haraka sio kukumbatia mabomu
Nani wa kumuondoa mwenzie Sasa wakati wote nI wale wale
 
Mh. Makamba anatosha full stop tuwe wavumilivu ni zamu ya wengine nendeni mkachunge ng'ombe huko. Unafiki basiii!!!!.
 
Back
Top Bottom