Watanzania hawana imani na Waziri wa Nishati January Makamba, anapaswa kuachia ngazi, asipoachia Rais amuondoe

Haya maoni ya jamii umeyapima kivipi kuwa hayamkubali Januari? Maoni ya JF yaliyofunguliwa na wabaya wake siyo maoni ya wananchi
Ww unaishi Tanzania ya uhamishoni? Au Tanzania ya vijijini kusiko na nishati ya umeme? Kumtetea Makamba eti ipo siku atafanya vizuri ni sawa na mashabiki wa Arsenal kuamini ipo siku tutamfunga Man United
 
Nje ya nafasi ya kisiasa wizara ya nishati makambo siyo fani yake. Yaani kwenye nchi hii kisiasa hata mwalimu wa kiswahili anaweza kupewa vifaa vya kumfanyia upasuaji mjamzito na akaua na watu mkasema bado mgeni, anasiku chache n.k. Mnacheza na roho za watu mwambieni mama amefeli pakubwa.
Mkuu, hivi tuseme ni muda gani hasa mtu akiaminiwa kufanya fulani ndipo watu wanaweza kumfanyia tathmini ya jumla? Hata kwa nafasi ya urais watu huanza kuangalia siku zake 100 za kwanza akiwa ofisini.

Mimi kwa upande wangu naona watu wengi wenye kumkosoa January, wanatamani afanane kiutendaji na waziri aliyemtangulia. Hiki ni kitu ambacho hakiwezekani. January ana "approach" ambayo ni tofauti kabisa na ile ya Kalemani.

Watanzania wengi wanapenda kuyasikia yale ambayo hupenda kuyasikia hata kama ni ya uongo. Lakini hawaupendi ukweli mchungu. Mtambo na mashine yoyote ile inayotumiwa kwa muda fulani inabidi ifanyiwe "service & maintenance" mara kwa mara ili iweze kuwa na ufanisi.

Huwezi kuacha kuzingatia ushauri wa kitaalamu na kupuuziac kufanya hivyo eti kwa kuwa watu wana shida ya umeme na wala kiongozi hataki kusikia suala la umeme kukatika. Kama umeme unakatwa kwa kuwa miundombinu ni chakavu na mashine hazifanyiwa "service" kwa muda mrefu, hakuna ujanja hapo, ni kuukata tu.

Ijapokuwa, taarifa zitoke kwa wakati kuhusu nini hasa kinachoendelea. Mimi binafsi nachelea kukimbilia kumtupia lundo la lawama waziri katika muda mchache aliokaa katika nafasi hii.
 
Wewe ni mse*nge hatatoboa kwa ujinga huu wa sgr

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwenye hiyo jamii yenu ya LGBTQ hivi hamfundishwi jinsi ya kubishana kwa kujenga hoja zaidi ya kupewa misaada ya vilainishi? Tambua tu ipo siku ya hukumu itakuja mbele ya Mola kwa kukubali kutumika vibaya na kupumuliwa kisogoni.
 
Unakomaa na mtu mpaka anaku cost political capital yako na focus yako kama Makonda alivyom cost Magu.

Mawaziri karibia 30 mmoja ndio jamii inasema hatoshi, wewe umekomaa nae, kwa nini usisikie kilio na ushauri wa umma kwa ujumla kwamba huyu waziri mmoja hatumtaki ?

January Makamba hakuweza uwaziri chini ya Magu, bosi mfuatiliaji na muelekezaji, haiwezekani akauweza chini ya bosi ambae haijui nchi, bosi offhanded, clueless, tone deaf and out of touch.
Hebu eleza ubaya wa makamba kwa ushahidi concrete sio kwa blah blah

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kuwa smart kichwani lakini ukaangushwa na yule uliyempa nafasi kuyaendesha na kuyaongoza maisha yako

Hawa watu; January, Tundu na Zito wanaangushwa na wanayemtumikia

Ni mapacha watatu wenye akili nyingi sana katika uharibifu, ubadhirifu, ubinafsi.... na mengine yanayofanana na hayo
 
Mkuu, hivi tuseme ni muda gani hasa mtu akiaminiwa kufanya fulani ndipo watu wanaweza kumfanyia tathmini ya jumla? Hata kwa nafasi ya urais watu huanza kuangalia siku zake 100 za kwanza akiwa ofisini.

Mimi kwa upande wangu naona watu wengi wenye kumkosoa January, wanatamani afanane kiutendaji na waziri aliyemtangulia. Hiki ni kitu ambacho hakiwezekani. January ana "approach" ambayo ni tofauti kabisa na ile ya Kalemani.

Watanzania wengi wanapenda kuyasikia yale ambayo hupenda kuyasikia hata kama ni ya uongo. Lakini hawaupendi ukweli mchungu. Mtambo na mashine yoyote ile inayotumiwa kwa muda fulani inabidi ifanyiwe "service & maintenance" mara kwa mara ili iweze kuwa na ufanisi.

Huwezi kuacha kuzingatia ushauri wa kitaalamu na kupuuziac kufanya hivyo eti kwa kuwa watu wana shida ya umeme na wala kiongozi hataki kusikia suala la umeme kukatika. Kama umeme unakatwa kwa kuwa miundombinu ni chakavu na mashine hazifanyiwa "service" kwa muda mrefu, hakuna ujanja hapo, ni kuukata tu.

Ijapokuwa, taarifa zitoke kwa wakati kuhusu nini hasa kinachoendelea. Mimi binafsi nachelea kukimbilia kumtupia lundo la lawama waziri katika muda mchache aliokaa katika nafasi hii.
we jamaa ngoja ni kwambie tu makamba sio tu kwamba anazingua ila makamba Hana hata vigezo vya kuwa waziri wa nishati yaani mtu asome makablasha yake hoko Hafu umuweke kwenye sekta yeti inayohitaji maarifa as if Tanzania haijasomesha watu
 
Nchi zingine mbona wanaservice na umeme haukatwi kila siku.Shida watu wanahoji ni hivi inamaana kama wao kuingia tu kila kitu kikawa kibaya hadi crane ya kunenyua tani 29 inabidi inagizwe nje wakati crane nchini zipo harfu unasema tumpe mda.Mtu wa kumpa mda ni yule unakuta ameingia mambo yakiwa mabaya hivo anatakiwa kurehekebisha.Lakini yeye amekutana mambo kwa wananchi yalikuwa mazuri ila sasa wao wameharibu harafu wanasingizia visivyowezekana..eti mashine hazikuwahi kukarabatiwa na nyie watanzaniq mnakubali na kutetea.Je unajua maana ya corrumption syndicates?je unajua Tanzania ni watu gani wanaendesha nchi kwa kuibia nchi?Je unajua unajua ni watu gani walimuua magufuri na wako na sasa ndo wanaendesha nchi ikiwemo kuendesha kukta umeme ili wafanikiwe mambo yao?Tafakari

Huwezi kuacha kuzingatia ushauri wa kitaalamu na kupuuziac kufanya hivyo eti kwa kuwa watu wana shida ya umeme na wala kiongozi hataki kusikia
 
January akitaka kulinda heshima yake ajiudhuru kwenye hiyo nafasi.
Kama hajui kawekwa kwenye mtego hatari wa kumalizwa kabisa.ili akose ushawishi.
 
Nchi zingine mbona wanaservice na umeme haukatwi kila siku.Shida watu wanahoji ni hivi inamaana kama wao kuingia tu kila kitu kikawa kibaya hadi crane ya kunenyua tani 29 inabidi inagizwe nje wakati crane nchini zipo harfu unasema tumpe mda.Mtu wa kumpa mda ni yule unakuta ameingia mambo yakiwa mabaya hivo anatakiwa kurehekebisha.Lakini yeye amekutana mambo kwa wananchi yalikuwa mazuri ila sasa wao wameharibu harafu wanasingizia visivyowezekana..eti mashine hazikuwahi kukarabatiwa na nyie watanzaniq mnakubali na kutetea.Je unajua maana ya corrumption syndicates?je unajua Tanzania ni watu gani wanaendesha nchi kwa kuibia nchi?Je unajua unajua ni watu gani walimuua magufuri na wako na sasa ndo wanaendesha nchi ikiwemo kuendesha kukta umeme ili wafanikiwe mambo yao?Tafakari
Alooooooooooo
 
we jamaa ngoja ni kwambie tu makamba sio tu kwamba anazingua ila makamba Hana hata vigezo vya kuwa waziri wa nishati yaani mtu asome makablasha yake hoko Hafu umuweke kwenye sekta yeti inayohitaji maarifa as if Tanzania haijasomesha watu
Mkuu, mimi simtetei kwa kuwa muda utaingea. Kama wizara itamshinda muda ukifika itabidi aondolewe tu ili kupisha waziri mwingine mwenye uwezo wa kuiendesha wizara hii kwa ufanisi mkubwa.
 
Muacheni January afanye kazi, kwani Cha maana alicho fanya huyo kalemani ni kipi, huyo kalemani si alikuta mipango mizuri iliyo kuwa ineanadaliwa na Sospeter Mhongo.
Au mna chuki, Kama si za kikanda Basi NI za kukabila.
 
Nchi zingine mbona wanaservice na umeme haukatwi kila siku.Shida watu wanahoji ni hivi inamaana kama wao kuingia tu kila kitu kikawa kibaya hadi crane ya kunenyua tani 29 inabidi inagizwe nje wakati crane nchini zipo harfu unasema tumpe mda.Mtu wa kumpa mda ni yule unakuta ameingia mambo yakiwa mabaya hivo anatakiwa kurehekebisha.Lakini yeye amekutana mambo kwa wananchi yalikuwa mazuri ila sasa wao wameharibu harafu wanasingizia visivyowezekana..eti mashine hazikuwahi kukarabatiwa na nyie watanzaniq mnakubali na kutetea.Je unajua maana ya corrumption syndicates?je unajua Tanzania ni watu gani wanaendesha nchi kwa kuibia nchi?Je unajua unajua ni watu gani walimuua magufuri na wako na sasa ndo wanaendesha nchi ikiwemo kuendesha kukta umeme ili wafanikiwe mambo yao?Tafakari
Mkuu, hivi unatambua dhana nzima ya "collective responsibility"? Anachokifanya waziri ndicho ambacho ni msimamo wa Baraza la Mawaziri. January ni lazima apambane sana, kwa kuwa kila anachokifanya kitatolewa kila aina ya kasoro hofu kubwa ni kinyang'anyiro cha nafasi ya urais kwa siku zijazo.

Hofu inaanzia endapo nyota yake itazidi kung'aa kama atafanikiwa kuiendesha wizara hii kwa mafanikio makubwa. Najua wengi bado hawajamsamehe kwa kuwa faragha yake iliingiliwa na kusikika akimsengenya bosi wake iliyepita.
 
Mkuu, hivi tuseme ni muda gani hasa mtu akiaminiwa kufanya fulani ndipo watu wanaweza kumfanyia tathmini ya jumla? Hata kwa nafasi ya urais watu huanza kuangalia siku zake 100 za kwanza akiwa ofisini.

Mimi kwa upande wangu naona watu wengi wenye kumkosoa January, wanatamani afanane kiutendaji na waziri aliyemtangulia. Hiki ni kitu ambacho hakiwezekani. January ana "approach" ambayo ni tofauti kabisa na ile ya Kalemani.

Watanzania wengi wanapenda kuyasikia yale ambayo hupenda kuyasikia hata kama ni ya uongo. Lakini hawaupendi ukweli mchungu. Mtambo na mashine yoyote ile inayotumiwa kwa muda fulani inabidi ifanyiwe "service & maintenance" mara kwa mara ili iweze kuwa na ufanisi.

Huwezi kuacha kuzingatia ushauri wa kitaalamu na kupuuziac kufanya hivyo eti kwa kuwa watu wana shida ya umeme na wala kiongozi hataki kusikia suala la umeme kukatika. Kama umeme unakatwa kwa kuwa miundombinu ni chakavu na mashine hazifanyiwa "service" kwa muda mrefu, hakuna ujanja hapo, ni kuukata tu.

Ijapokuwa, taarifa zitoke kwa wakati kuhusu nini hasa kinachoendelea. Mimi binafsi nachelea kukimbilia kumtupia lundo la lawama waziri katika muda mchache aliokaa katika nafasi hii.
MAJIBU YAKO
Paragraph 1.
Kila kitu mwanzo ni mzuri na mwanzo mtu hutenda kwa umakini na tahadhari kubwa. Huyo January kama unatarajia atakapokuwa mzoefu basi atafanya vizuri unajidanganya tu. Mtakuja na mada hapa kuwa anafanya kazi kwa mazoea na kiburi. Mara hamwogopi mama n.k. Makamba kama mchezaji anachezea jina tu ila kiukweli hana jipya. Na mwona kama ajibu tu ndani ya Simba .
Paragraph 2. Mabadiliko yoyote lazima yawe chanya na sio hasi. Yeye alitakiwa na tulitarajia ataboresha zaidi na zaidi kuliko mtangulizi wake. Amekuta vitendea kazi vilevile,raslimali watu na vitu vilevile. Yaani unamtetea na hili? Alisema maji shida hivyo vina vimepungua ndio sababu ya kupungua umeme. Baada ya mtera kuja na tamko Makamba alisema tumpe siku 2 tatizo la umeme litaisha. Siku mbili zimeisha saizi mwezi unakata. Hapa naweza sema makamba ni muongo au hajui nn anafanya au kinatakiwa kifanyike.

Paragraph 3.
Hakuna mtanzania anaependa kuishi kwa uwongo bali serikali yenyewe inawaaminisha watu kisha inawatoa kwenye reli na ndio maana tumebaki kwenye reli safari hii.
Kutuaminisha sababu za kukata umeme ni upungufu wa vyanzo vya umeme ni kutaka kutudanganya na kutuibia .In short mwambie makamba tumemshitukia na tumemkataa na tunachofanya cc ni kile kilichosemwa mtera kuwa makamba ni muongo.

Paragraph 4. Kwa kauli ya rais na Makamba mwenye hawajawahi kusema sababu ya kukata umeme ni mitambo kuchoka au transformer mbovu. Wote wamesema na tumesikia tatizo ni maji na hadi chopa tulimuona anapanda kwenda ila hawajawahi kutuonyesha akiwa huko field au akirudi au akija na mrejesho zaidi tu ya kusema baada ya kuumbuliwa na viongozi wa mtera kuwa yeye Makamba ndani ya siku mbili atakuja na jawabu la kudumu. Sina taarifa jibu hilo ametoa au laa. Nafikiri necta hawajarudisha majibu.

Paragraph 5.
Utakuwa wa kwanza kuchangia mada za kuhusu ubaya wa makamba otherwise wewe ndiye yeye Makamba.
Unamacho ila hauoni na unamasikio ila hausikii.
Unaona kabisa umeme unakata mda wote ila unasema unakata kwa ushauri wa watalamu na unasikia kilio cha wengi juu ya nishati ya uhakika ila unawapuuzia
 
Sahizi ishu ni kuwa fata ofisini huko huko na kuanza kuwatembezea vichapo kama wao walivyowafanya wamachinga!

Ishu ikienda viral pengine masikio yao yatasikia! Tunataka bei za vitu zishuke na usimamizi uwe mzuri! Viongozi wapuuzi waondolewe haraka sio kukumbatia mabomu
Kipi kiliwai kushuka Bei kipindi cha Marehemu wenu?
 
Back
Top Bottom