Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Ikimpendeza Rais amhamishie Januari Wizara mambo ya nje patamfaa zaidi kwa kuzingatia uzoefu alonao wa miaka mingi juu ya mambo yale.
Hapo Tanesco ishakuwa nongwa na kwa kuzingatia mikingamo ya yule alotolewa na wale mahasimu pamoja na mahasidi na hivi na vile.
Ikimpendeza Rais afanye marekebisho madogo ya baraza la mawaziri kwa kufanya minor recategorization.
I prophecies it to be done [emoji123] in Jesus Name.