Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 675
- 690
Kama mitambo ilikuwa inatii na kuwaka basi bora amri hiyo iendelee
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mitambo ilikuwa inatii na kuwaka basi bora amri hiyo iendelee
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ww unaishi Tanzania ya uhamishoni? Au Tanzania ya vijijini kusiko na nishati ya umeme? Kumtetea Makamba eti ipo siku atafanya vizuri ni sawa na mashabiki wa Arsenal kuamini ipo siku tutamfunga Man UnitedHaya maoni ya jamii umeyapima kivipi kuwa hayamkubali Januari? Maoni ya JF yaliyofunguliwa na wabaya wake siyo maoni ya wananchi
Mkuu, hivi tuseme ni muda gani hasa mtu akiaminiwa kufanya fulani ndipo watu wanaweza kumfanyia tathmini ya jumla? Hata kwa nafasi ya urais watu huanza kuangalia siku zake 100 za kwanza akiwa ofisini.Nje ya nafasi ya kisiasa wizara ya nishati makambo siyo fani yake. Yaani kwenye nchi hii kisiasa hata mwalimu wa kiswahili anaweza kupewa vifaa vya kumfanyia upasuaji mjamzito na akaua na watu mkasema bado mgeni, anasiku chache n.k. Mnacheza na roho za watu mwambieni mama amefeli pakubwa.
Kwenye hiyo jamii yenu ya LGBTQ hivi hamfundishwi jinsi ya kubishana kwa kujenga hoja zaidi ya kupewa misaada ya vilainishi? Tambua tu ipo siku ya hukumu itakuja mbele ya Mola kwa kukubali kutumika vibaya na kupumuliwa kisogoni.Wewe ni mse*nge hatatoboa kwa ujinga huu wa sgr
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hebu eleza ubaya wa makamba kwa ushahidi concrete sio kwa blah blahUnakomaa na mtu mpaka anaku cost political capital yako na focus yako kama Makonda alivyom cost Magu.
Mawaziri karibia 30 mmoja ndio jamii inasema hatoshi, wewe umekomaa nae, kwa nini usisikie kilio na ushauri wa umma kwa ujumla kwamba huyu waziri mmoja hatumtaki ?
January Makamba hakuweza uwaziri chini ya Magu, bosi mfuatiliaji na muelekezaji, haiwezekani akauweza chini ya bosi ambae haijui nchi, bosi offhanded, clueless, tone deaf and out of touch.
we jamaa ngoja ni kwambie tu makamba sio tu kwamba anazingua ila makamba Hana hata vigezo vya kuwa waziri wa nishati yaani mtu asome makablasha yake hoko Hafu umuweke kwenye sekta yeti inayohitaji maarifa as if Tanzania haijasomesha watuMkuu, hivi tuseme ni muda gani hasa mtu akiaminiwa kufanya fulani ndipo watu wanaweza kumfanyia tathmini ya jumla? Hata kwa nafasi ya urais watu huanza kuangalia siku zake 100 za kwanza akiwa ofisini.
Mimi kwa upande wangu naona watu wengi wenye kumkosoa January, wanatamani afanane kiutendaji na waziri aliyemtangulia. Hiki ni kitu ambacho hakiwezekani. January ana "approach" ambayo ni tofauti kabisa na ile ya Kalemani.
Watanzania wengi wanapenda kuyasikia yale ambayo hupenda kuyasikia hata kama ni ya uongo. Lakini hawaupendi ukweli mchungu. Mtambo na mashine yoyote ile inayotumiwa kwa muda fulani inabidi ifanyiwe "service & maintenance" mara kwa mara ili iweze kuwa na ufanisi.
Huwezi kuacha kuzingatia ushauri wa kitaalamu na kupuuziac kufanya hivyo eti kwa kuwa watu wana shida ya umeme na wala kiongozi hataki kusikia suala la umeme kukatika. Kama umeme unakatwa kwa kuwa miundombinu ni chakavu na mashine hazifanyiwa "service" kwa muda mrefu, hakuna ujanja hapo, ni kuukata tu.
Ijapokuwa, taarifa zitoke kwa wakati kuhusu nini hasa kinachoendelea. Mimi binafsi nachelea kukimbilia kumtupia lundo la lawama waziri katika muda mchache aliokaa katika nafasi hii.
Mkuu, hivi tuseme ni muda gani hasa mtu akiaminiwa kufanya fulani ndipo watu wanaweza kumfanyia tathmini ya jumla? Hata kwa nafasi ya urais watu huanza kuangalia siku zake 100 za kwanza akiwa ofisini.
Mimi kwa upande wangu naona watu wengi wenye kumkosoa January, wanatamani afanane kiutendaji na waziri aliyemtangulia. Hiki ni kitu ambacho hakiwezekani. January ana "approach" ambayo ni tofauti kabisa na ile ya Kalemani.
Watanzania wengi wanapenda kuyasikia yale ambayo hupenda kuyasikia hata kama ni ya uongo. Lakini hawaupendi ukweli mchungu. Mtambo na mashine yoyote ile inayotumiwa kwa muda fulani inabidi ifanyiwe "service & maintenance" mara kwa mara ili iweze kuwa na ufanisi.
Huwezi kuacha kuzingatia ushauri wa kitaalamu na kupuuziac kufanya hivyo eti kwa kuwa watu wana shida ya umeme na wala kiongozi hataki kusikia
January akitaka kulinda heshima yake ajiudhuru kwenye hiyo nafasi.
Kama hajui kawekwa kwenye mtego hatari wa kumalizwa kabisa.ili akose ushawishi.
AloooooooooooNchi zingine mbona wanaservice na umeme haukatwi kila siku.Shida watu wanahoji ni hivi inamaana kama wao kuingia tu kila kitu kikawa kibaya hadi crane ya kunenyua tani 29 inabidi inagizwe nje wakati crane nchini zipo harfu unasema tumpe mda.Mtu wa kumpa mda ni yule unakuta ameingia mambo yakiwa mabaya hivo anatakiwa kurehekebisha.Lakini yeye amekutana mambo kwa wananchi yalikuwa mazuri ila sasa wao wameharibu harafu wanasingizia visivyowezekana..eti mashine hazikuwahi kukarabatiwa na nyie watanzaniq mnakubali na kutetea.Je unajua maana ya corrumption syndicates?je unajua Tanzania ni watu gani wanaendesha nchi kwa kuibia nchi?Je unajua unajua ni watu gani walimuua magufuri na wako na sasa ndo wanaendesha nchi ikiwemo kuendesha kukta umeme ili wafanikiwe mambo yao?Tafakari
Mkuu, mimi simtetei kwa kuwa muda utaingea. Kama wizara itamshinda muda ukifika itabidi aondolewe tu ili kupisha waziri mwingine mwenye uwezo wa kuiendesha wizara hii kwa ufanisi mkubwa.we jamaa ngoja ni kwambie tu makamba sio tu kwamba anazingua ila makamba Hana hata vigezo vya kuwa waziri wa nishati yaani mtu asome makablasha yake hoko Hafu umuweke kwenye sekta yeti inayohitaji maarifa as if Tanzania haijasomesha watu
Mkuu, hivi unatambua dhana nzima ya "collective responsibility"? Anachokifanya waziri ndicho ambacho ni msimamo wa Baraza la Mawaziri. January ni lazima apambane sana, kwa kuwa kila anachokifanya kitatolewa kila aina ya kasoro hofu kubwa ni kinyang'anyiro cha nafasi ya urais kwa siku zijazo.Nchi zingine mbona wanaservice na umeme haukatwi kila siku.Shida watu wanahoji ni hivi inamaana kama wao kuingia tu kila kitu kikawa kibaya hadi crane ya kunenyua tani 29 inabidi inagizwe nje wakati crane nchini zipo harfu unasema tumpe mda.Mtu wa kumpa mda ni yule unakuta ameingia mambo yakiwa mabaya hivo anatakiwa kurehekebisha.Lakini yeye amekutana mambo kwa wananchi yalikuwa mazuri ila sasa wao wameharibu harafu wanasingizia visivyowezekana..eti mashine hazikuwahi kukarabatiwa na nyie watanzaniq mnakubali na kutetea.Je unajua maana ya corrumption syndicates?je unajua Tanzania ni watu gani wanaendesha nchi kwa kuibia nchi?Je unajua unajua ni watu gani walimuua magufuri na wako na sasa ndo wanaendesha nchi ikiwemo kuendesha kukta umeme ili wafanikiwe mambo yao?Tafakari
MAJIBU YAKOMkuu, hivi tuseme ni muda gani hasa mtu akiaminiwa kufanya fulani ndipo watu wanaweza kumfanyia tathmini ya jumla? Hata kwa nafasi ya urais watu huanza kuangalia siku zake 100 za kwanza akiwa ofisini.
Mimi kwa upande wangu naona watu wengi wenye kumkosoa January, wanatamani afanane kiutendaji na waziri aliyemtangulia. Hiki ni kitu ambacho hakiwezekani. January ana "approach" ambayo ni tofauti kabisa na ile ya Kalemani.
Watanzania wengi wanapenda kuyasikia yale ambayo hupenda kuyasikia hata kama ni ya uongo. Lakini hawaupendi ukweli mchungu. Mtambo na mashine yoyote ile inayotumiwa kwa muda fulani inabidi ifanyiwe "service & maintenance" mara kwa mara ili iweze kuwa na ufanisi.
Huwezi kuacha kuzingatia ushauri wa kitaalamu na kupuuziac kufanya hivyo eti kwa kuwa watu wana shida ya umeme na wala kiongozi hataki kusikia suala la umeme kukatika. Kama umeme unakatwa kwa kuwa miundombinu ni chakavu na mashine hazifanyiwa "service" kwa muda mrefu, hakuna ujanja hapo, ni kuukata tu.
Ijapokuwa, taarifa zitoke kwa wakati kuhusu nini hasa kinachoendelea. Mimi binafsi nachelea kukimbilia kumtupia lundo la lawama waziri katika muda mchache aliokaa katika nafasi hii.
Kipi kiliwai kushuka Bei kipindi cha Marehemu wenu?Sahizi ishu ni kuwa fata ofisini huko huko na kuanza kuwatembezea vichapo kama wao walivyowafanya wamachinga!
Ishu ikienda viral pengine masikio yao yatasikia! Tunataka bei za vitu zishuke na usimamizi uwe mzuri! Viongozi wapuuzi waondolewe haraka sio kukumbatia mabomu
Mafuta tulinunua 1,500Kipi kiliwai kushuka Bei kipindi cha Marehemu wenu?