Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Sikiliza Kalemani! Kama Kuna madili hukumalizia kuwa mpole tu! Hukuzaliwa kuwa Waziri!Kila kona manug'uniko ya watanzania ni juu ya dalili za wizara nyeti ya nishati na umeme kuwa na waziri ambae watu hawana imani nae. Tangu ateuliwe kuwa waziri basi taifa limekuwa na mauzauza tu juu ya upatikanaji wa umeme na hata uongozi na uendeshaji wa Tanesco...
Kama shida ya Umeme ilikuwepo ukiwa Waziri na haijawai kuondoka!
Makamba ndo waziri we endelea kunung’unika tu huko Chato