Si useme tu ni mimi banaaa! 😡😡😡😡😡That’s not the essence of writing ability (it’s grammar) not the measure of presenting an argument as accepted academically.
Nakuletea mfano wa hovyo kwa watu wanao tafuta tuzo kwenye jukwaa lao (nitakae mleta anune tu).
Usijambe tu tunakulaSi useme tu ni mimi banaaa! 😡😡😡😡😡
Hahaha. Am in stitches 😅🤣Usijambe tu tunakula
Hauchelewi kujamba nakujua weweHahaha. Am in stitches 😅🤣
Unakosea sana.Pyeeeee kamfundishe BEBERU ntakuwekea TUKI hapa macho yakutoke Neno baada ya Neno usifikiri naokoteza km wewe yote ni sasa inategemea limetumika Wapi na Vipi
SIO na NDIO | NO & YES
Sitaki kukuaibisha km mwenzio
Nimekuheshimu sana unanikosoa au unajikosoa?
Okay pata hiyo kabla hujalala maamaee ambrrrr mbrrr mbrrr mbrr mbrrrHauchelewi kujamba nakujua wewe
Jinga sana weweOkay pata hiyo kabla hujalala maamaee ambrrrr mbrrr mbrrr mbrr mbrrr
Kammon
Neno SIO na Neno SIYO yote ni sahihi inategemea unayatumia vipi, wapi na ukimaanisha NiniUnakosea sana.
Kama sio na ndio ni yes na no, unazipachikaje kwenye sentensi kama ulivyofanya hapo juu na bila kupatanisha sarufi?
Nisaidie kutafsiri sentensi zako za awali kwa Kizungu, ili nione kivipi sio na ndio zinakuwa yes na no.
Umeongelea mimi kuaibika??? Una hakika hauumwi kweli wewe???
Maybe useme HIVYOWanapewa tuzo pamoja na tunzo
tuzo n nrecognition na tunzo ni award
Anathibitisha point yake.Awawezi, ata, awatambui, wanazoabdika.
Hayo nimakosa baadhi Kwenye uandishi wako wa maada uliyoleta hapo juu.
Ukiwa unafanya ukosoaji jitahidi angalau ukidhi usahihi angalau wa 95% yakile unachokosoa.
Wewe pamoja na sisi watanzania unaotuzungumza wote hatujui kuandika vizuri.
Punguza kukurupuka.
How many times do I have to explain my self, grammar is not the issue of concern raised; rather how ideas and arguments are presented in topics.Your article itself has a lot of grammatical errors.
Yes nimesoma....! Let me give you an example kuna mojaHow many times do I have to explain my self, grammar is not the issue of concern raised; rather how ideas and arguments are presented in topics.
Tunaongelea habari za shindano la ‘stories of change’ ata mmeenda kusoma hizo proposal zenyewe zinazoandikwa mule
Kwanza kabisa nimesema asilimia kubwa ya proposal ndio hazijaandikwa kwa kuzingatia structure not all of them.Yes nimesoma....! Let me give you an example kuna moja
Vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vikali, kuinusuru Tanzania tuitakayo
Hapo amestate the problem kwenye utangulizi, ametoa research from (WHO) na (DCEA), to support kuwa tatizo lipo...amendelea kutoa side effects both kwa individual, family and society at large. Ameendelea kwa kutoa possible solution and lastly akatoa views zake kwenye conclusion what should be done. I guess this is a proper writing. Ukiisoma it's not that bad of an article ame flow na ideas and proper arguments on the selected tittle.
Academic writing, logical writing, argumentation writing; is not about misspelling (grammar matters) but logic of the argument is foremost.
Shida ni kwamba wengi wetu hatuna uelewa wa kujenga hoja kuonyesha position yetu given the global understanding.
Uwezi kujisbdikia upuuzi tu kutoka kichwani kwako without academic justification or understood practices.
hata mimi nimeshangaa mbona na yeye mwenyewe anayesema wenzake anafanya makosa?Awawezi, ata, awatambui, wanazoabdika.
Hayo nimakosa baadhi Kwenye uandishi wako wa maada uliyoleta hapo juu.
Ukiwa unafanya ukosoaji jitahidi angalau ukidhi usahihi angalau wa 95% yakile unachokosoa.
Wewe pamoja na sisi watanzania unaotuzungumza wote hatujui kuandika vizuri.
Punguza kukurupuka.
Hapa umenena sasa! Sema ulianza na maneno makali saana kwenye andiko kuu!...Mmeshindwa kuelewa mada na sidhani kama ni sahihi kuleta bandiko la mtu from ‘stories of change’ kama case study.
Uandishi una structure na arguments presented inatakiwa uwe una-literature review, theory, analyse current position, evaluate the merit of your point and sum up.
That’s the chronological order hata unaposoma ‘broadsheet newspaper’ awawezi weka ma-academic reference kwenye gazeti but kuna structure kwenye story.
90% ya uandishi mule kwenye ‘stories of change’ don’t follow the convention of writing, worst people write about issues ambazo not well researched and have little understanding about the topic themselves it’s appalling.
Kwenye uandishi spelling na grammar ni sehemu ndogo in the marking, sio muhimu hivyo kama mnavyodhani.