Watanzania hawawezi kuandika

Watanzania hawawezi kuandika

That’s not the essence of writing ability (it’s grammar) not the measure of presenting an argument as accepted academically.

Nakuletea mfano wa hovyo kwa watu wanao tafuta tuzo kwenye jukwaa lao (nitakae mleta anune tu).
Si useme tu ni mimi banaaa! 😡😡😡😡😡
 
Pyeeeee kamfundishe BEBERU ntakuwekea TUKI hapa macho yakutoke Neno baada ya Neno usifikiri naokoteza km wewe yote ni sasa inategemea limetumika Wapi na Vipi

SIO na NDIO | NO & YES

Sitaki kukuaibisha km mwenzio

Nimekuheshimu sana unanikosoa au unajikosoa?
Unakosea sana.

Kama sio na ndio ni yes na no, unazipachikaje kwenye sentensi kama ulivyofanya hapo juu na bila kupatanisha sarufi?

Nisaidie kutafsiri zile sentensi zako za awali kwa Kizungu, ili nione kivipi sio na ndio zinakuwa yes na no.

Umeongelea mimi kuaibika kwa sababu tu ya kukosolewa??? Una hakika hauumwi kweli wewe???
 
Unakosea sana.

Kama sio na ndio ni yes na no, unazipachikaje kwenye sentensi kama ulivyofanya hapo juu na bila kupatanisha sarufi?

Nisaidie kutafsiri sentensi zako za awali kwa Kizungu, ili nione kivipi sio na ndio zinakuwa yes na no.

Umeongelea mimi kuaibika??? Una hakika hauumwi kweli wewe???
Neno SIO na Neno SIYO yote ni sahihi inategemea unayatumia vipi, wapi na ukimaanisha Nini

Hapo tumeelewana kwanza?
 
Awawezi, ata, awatambui, wanazoabdika.

Hayo nimakosa baadhi Kwenye uandishi wako wa maada uliyoleta hapo juu.

Ukiwa unafanya ukosoaji jitahidi angalau ukidhi usahihi angalau wa 95% yakile unachokosoa.

Wewe pamoja na sisi watanzania unaotuzungumza wote hatujui kuandika vizuri.

Punguza kukurupuka.
Anathibitisha point yake.
 
Mmeshindwa kuelewa mada na sidhani kama ni sahihi kuleta bandiko la mtu from ‘stories of change’ kama case study.

Uandishi una structure na arguments presented inatakiwa uwe una-literature review, theory, analyse current position, evaluate the merit of your point and sum up.

That’s the chronological order hata unaposoma ‘broadsheet newspaper’ awawezi weka ma-academic reference kwenye gazeti but kuna structure kwenye story.

90% ya uandishi mule kwenye ‘stories of change’ don’t follow the convention of writing, worst people write about issues ambazo not well researched and have little understanding about the topic themselves it’s appalling.

Kwenye uandishi spelling na grammar ni sehemu ndogo in the marking, sio muhimu hivyo kama mnavyodhani.
 
Your article itself has a lot of grammatical errors.
How many times do I have to explain my self, grammar is not the issue of concern raised; rather how ideas and arguments are presented in topics.

Tunaongelea habari za shindano la ‘stories of change’ ata mmeenda kusoma hizo proposal zenyewe zinazoandikwa mule.
 
How many times do I have to explain my self, grammar is not the issue of concern raised; rather how ideas and arguments are presented in topics.

Tunaongelea habari za shindano la ‘stories of change’ ata mmeenda kusoma hizo proposal zenyewe zinazoandikwa mule
Yes nimesoma....! Let me give you an example kuna moja

Vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vikali, kuinusuru Tanzania tuitakayo​

Hapo amestate the problem kwenye utangulizi, ametoa research from (WHO) na (DCEA), to support kuwa tatizo lipo...amendelea kutoa side effects both kwa individual, family and society at large. Ameendelea kwa kutoa possible solution and lastly akatoa views zake kwenye conclusion what should be done. I guess this is a proper writing. Ukiisoma it's not that bad of an article ame flow na ideas and proper arguments on the selected tittle.
 
You are screwed in your own thread, umefeli sana na thead yako ya nchongo "uwezi" kusikilizwa
 
Yes nimesoma....! Let me give you an example kuna moja

Vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vikali, kuinusuru Tanzania tuitakayo​

Hapo amestate the problem kwenye utangulizi, ametoa research from (WHO) na (DCEA), to support kuwa tatizo lipo...amendelea kutoa side effects both kwa individual, family and society at large. Ameendelea kwa kutoa possible solution and lastly akatoa views zake kwenye conclusion what should be done. I guess this is a proper writing. Ukiisoma it's not that bad of an article ame flow na ideas and proper arguments on the selected tittle.
Kwanza kabisa nimesema asilimia kubwa ya proposal ndio hazijaandikwa kwa kuzingatia structure not all of them.

Pili regarding the same article kwa ku-scan reading, mwandishi ameonyesha key problem ni idleness hasa kuelekea kwenye kamali.

That’s not new knowledge kamari na umaskini ni damu-damu. How do you solve the main problem bila ya ku-propose mbinu za kuwatafutia vijana ajira au kuonyesha mbinu ya kuvunja cycle? That being the key problem area.

Kama kamari ni tatizo solution ni kuongengeza kodi kama anavyotaka au serikali kupunguza kutoa vibali vya kamali (I agree kutaka kuona matangazo yanapungua) lakini uwezi kataza kabisa matangazo kama ni main source ya radio income. Vinginevyo na wenyewe itabidi wapunguze wafanyakazi na kutengeneza tatizo hilo hilo unalotaka kulipunguza. .

Iwapo wacheza kamali ni vijana hizo hela zao za mitaji watatoa wapi kama solution anayopendekeza, wakati watu wenyewe wanacheza kamali za buki mbili na kutegemea kutoboa na mkeka mrefu wanahela ya mtaji kweli.

Vipi kisungura wanakunywa kama option au ndio uwezo; what is safe substitute kwa hela hiyo hiyo kuzingatia rika hilo linahitaji social drink hasa weekends.

Much mention ya economic and health burden costs za madhara; hakuna solution ya msingi.

Kuna ideas nzuri sikatai but it lacks key answers kwenye solutions, na katumia muda mdogo sana ku-address poverty which is the key factor to the problem and how stop the cycle.
 
Academic writing, logical writing, argumentation writing; is not about misspelling (grammar matters) but logic of the argument is foremost.

Shida ni kwamba wengi wetu hatuna uelewa wa kujenga hoja kuonyesha position yetu given the global understanding.

Uwezi kujisbdikia upuuzi tu kutoka kichwani kwako without academic justification or understood practices.
IMG_20191016_184435.jpg
 
Awawezi, ata, awatambui, wanazoabdika.

Hayo nimakosa baadhi Kwenye uandishi wako wa maada uliyoleta hapo juu.

Ukiwa unafanya ukosoaji jitahidi angalau ukidhi usahihi angalau wa 95% yakile unachokosoa.

Wewe pamoja na sisi watanzania unaotuzungumza wote hatujui kuandika vizuri.

Punguza kukurupuka.
hata mimi nimeshangaa mbona na yeye mwenyewe anayesema wenzake anafanya makosa?
 
Mmeshindwa kuelewa mada na sidhani kama ni sahihi kuleta bandiko la mtu from ‘stories of change’ kama case study.

Uandishi una structure na arguments presented inatakiwa uwe una-literature review, theory, analyse current position, evaluate the merit of your point and sum up.

That’s the chronological order hata unaposoma ‘broadsheet newspaper’ awawezi weka ma-academic reference kwenye gazeti but kuna structure kwenye story.

90% ya uandishi mule kwenye ‘stories of change’ don’t follow the convention of writing, worst people write about issues ambazo not well researched and have little understanding about the topic themselves it’s appalling.

Kwenye uandishi spelling na grammar ni sehemu ndogo in the marking, sio muhimu hivyo kama mnavyodhani.
Hapa umenena sasa! Sema ulianza na maneno makali saana kwenye andiko kuu!...
 
Back
Top Bottom