Watanzania huu ndio wakati wa kuchuja ngano na Magugu. Wanaoliibia taifa letu wanatamba hadharani. Mbona huu ndio wakati wa kuwakataa

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Tozo za kila namna. Mbona huko nyuma hakukuwa na tozo.

Mgao wa umeme. Mbona huko nyuma hakukuwa na mgao wa umeme?

Mbona hatuoni miradi mikakakati kama huko nyuma? Huu ndio wasaa wa kuchambua magugu na ngano na kufanya maamuzi.
 
Tozo za kila namna. Mbona huko nyukma hakukuwa na tozo.

Mgao wa umeme. Mbona huko nyuma hakukuwa na mgao wa umeme?

Mbona hatuoni miradi mikakakati kama huko nyuma? Huu ndio wasaa wa kichambua magugu na ngano na kufanya maamuzi.
Sijui utatumia njia gani kuwakataa, hawa hutufananisha na mbuzi kwa kutuambia tule nyasi! Wanatuambia tuwaachie nchi yao tuhamie Burundi! Wanajua wametudhibiti kisawasawa hatuwezi kufurukuta.
 
Tuhame?
 
Back
Top Bottom