Watanzania huyu Msanii Madebe 'Nabii Mswahili' amewakosea nini? Kwanini mmempuuza sana? Ana kosea wapi? Kwanini asogei?

Watanzania huyu Msanii Madebe 'Nabii Mswahili' amewakosea nini? Kwanini mmempuuza sana? Ana kosea wapi? Kwanini asogei?

Ukiwa humuelewi madebe basi utakuwa una ugonjwa wa akili sababu wenye akili timamu hufaidika na fasihi zake mie namfatilia sana hasa movie yake inaitwa matusi iko vyema sana

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Nina wasiwasi wewe na madebw Kama mko sawa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nimepata kumuona mara kadhaa kwenye basi nikiwa safarini

Kwanza UCHAFU
Ndio unaweza kuigiza uchafu lakini sasa isiwe kila filamu wewe mchafu tu

PILI MISEMO YA HOVYO
Wakati mwingine anakua analazimishia misemo yenye dharau na kejeli ambayo haina maana...... mfano kusema walimu ni wale waliofeli mitihani

Kikubwa abadilike kama anakipaji kweli.....hizi character za kujirudia kila filamu zinataka kipaji kweli kweli na uwe mbunifu wa hali ya juu kama akina mr Bean
Sasa yeye kila filamu mchafuuuu kila filamu ni misemo tuu.......hana jipya
 
Umeongea ukweli ,kuna jamaa anaitwa sacha baron kohet ameigiza movie inaitwa Dictator ya mwaka 2011 yule msela kabla ya hapo alijulikana kwa character ya kuitwa borat na he made millions miaka ya 90 lakini mwanzoni mwa miaka ya 2000 akabuni character anaitwa bruno akatengeneza pesa pia ila akapiga chini hizo character mwaka huu anataka kurudi tena kama bruno yani anabadili character kila mwaka na anaitolea series hata mr bean alianzaga kuigiza kipindi kinaitwa not 9'ocklock news miaka ya 70 mpk 80 kabla hajawa mr bean
 
Huwa naziona video zake YouTube nazipita tu, ngoja nianze kuziangalia nitajua anapokwama
 
Back
Top Bottom