Watanzania huyu Msanii Madebe 'Nabii Mswahili' amewakosea nini? Kwanini mmempuuza sana? Ana kosea wapi? Kwanini asogei?

Watanzania huyu Msanii Madebe 'Nabii Mswahili' amewakosea nini? Kwanini mmempuuza sana? Ana kosea wapi? Kwanini asogei?

Sanaa ya uigizaji inajumuisha vitu viwili.

Kusikia

Kuona.

Katika sekta ya kusikia lazima uhakikishe unaigiza kile ambacho watu wengi wanapenda kusikia au kile ambacho kina trend katika jamii husika.

Movie zenye maudhui kama ya madebe lidai hazipendwi sana na watu wengi,hivyo anatakiwa afanye kile kinachopendwa na wengi.

Kuona lazima ahakikishe anaonesha amba"ho watanzania wanapenda kukiona,sio aache kimoja aboreshe kimoja ,vyote kwa pamoja afanye.

Watanzania hawapendi kuona msanii mchafu mchafu,akiigiza uchafu uchafu,hayo mambo walipita nayo akina mpoki na kanumba zamani.

Aigize smart kabisa avae vizuri alafu aongee vizuri tu.

Sio kila muvi anaigiza shamba,aigize mjini kidogo,wateja wengi wapo mjini bwana,japokuwa ni masikini.

Lakini pia atambue mchango wa watu maarufu,asiwadharau.

Akina patrick wa kanumba walivuma kwa sababu walishikwa mkono na watu maarfu.

Akina hamonaizi walishikwa mkono na watu maarufu.

Akina lavalava walishikwa mikono na watu maarufu.

Ahakikishe anawaheshimu wakubwa wake katika kazi,achanganyike nao wamshike mkono.

Asijiamini sana kwamba anajua,mjini connection hapa,ujuani bila connection is nothing
 
Wasalaam wanajamvi!

Kuna wasanii kwenye sanaa yetu wanayo bahati na wengine hawana bahati kabisa!

Kuna wasanii hawajui kuigiza kabisa lakini wanapendwa sana utafikiri wanajua sana lakini sio kweli!
Mfano wasanii Kama Ray Kigosi na Steve Nyerere huwa sielewi wanaigiza nini lakini kusema ukweli wana mashabiki wengi sana pamoja na utumbo wanao igiza bado wanapata attention ya watu na kupewa nafasi ya kusikilizwa!

Leo nataka niwaulize watanzania kwanini mmempuuza msanii Mabede a.k.a Nabii Mswahili?

-Madebe amewakosea nini?
-Madebe anashida gani na watanzania?
-Madebe anakosea wapi?
-Kwanini mmempuuza?

Msanii huyu ana jitahidi sana ana hangaika sana kutafuta attention ya watanzani lakini kusema kweli watanzania wamekataa kabisa kabisa!

Huyu kijana ana jaribu kila mbinu lakini hasogei kabisa bado najiuliza afanye nini hili asogee? Kwanini mmepokea Ray na Steve Nyerere lakini mnashindwa kumpokea Madebe a.k.a Nabii mswahili?

Wana Jf hebu twambieni huyu kijana ana shida gani? Amewakosea nini watanzania? Kwanini ananyimwa nafasi ya kusikilizwa kuangaliwa? Kwanini asigezwi wala kusogea?

Watanzania huyu kijana amewakosea nini?

View attachment 1572362
View attachment 1572363
View attachment 1572364
View attachment 1572365
View attachment 1572366
Jamaa ni mchafu sana, hajipendi .
 
Yaani huyo jamaa mnampendeaga ninj
Yaani filam anafyatua hovyo hovyo halafu hayaeleweki

Mbona kuna wengi wanafyatua tuu? Sasa huyu ana zidiwa nini na Steve Nyerere?
 
Ukiwa humuelewi madebe basi utakuwa una ugonjwa wa akili sababu wenye akili timamu hufaidika na fasihi zake mie namfatilia sana hasa movie yake inaitwa matusi iko vyema sana

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Misemo mingine inapotosha,inadhalilisha,na inaboa abadilishe character Kama hawezi aandae kipindi kibachohusu misemo sio kila siku kuigiza character moja
 
matukio kama yapi, au unataka tuseme kula rambirambi tuonekane wabaya? sema matukio yapi?
Hata kuratibu shughuli za misiba ya Wasanii wenzake na kutuhumiwa kula rambirambi ni sehemu ya matukio.

Na kwa sasa tunamuona alivyojiwekeza kwenye kuratibu vikundi vya Wasanii wenzake kufanya kampeni za kisiasa....hayo pia ni matukio na sio filamu.
 
Wasalaam wanajamvi!

Kuna wasanii kwenye sanaa yetu wanayo bahati na wengine hawana bahati kabisa!

Kuna wasanii hawajui kuigiza kabisa lakini wanapendwa sana utafikiri wanajua sana lakini sio kweli!
Mfano wasanii Kama Ray Kigosi na Steve Nyerere huwa sielewi wanaigiza nini lakini kusema ukweli wana mashabiki wengi sana pamoja na utumbo wanao igiza bado wanapata attention ya watu na kupewa nafasi ya kusikilizwa!

Leo nataka niwaulize watanzania kwanini mmempuuza msanii Mabede a.k.a Nabii Mswahili?

-Madebe amewakosea nini?
-Madebe anashida gani na watanzania?
-Madebe anakosea wapi?
-Kwanini mmempuuza?

Msanii huyu ana jitahidi sana ana hangaika sana kutafuta attention ya watanzani lakini kusema kweli watanzania wamekataa kabisa kabisa!

Huyu kijana ana jaribu kila mbinu lakini hasogei kabisa bado najiuliza afanye nini hili asogee? Kwanini mmepokea Ray na Steve Nyerere lakini mnashindwa kumpokea Madebe a.k.a Nabii mswahili?

Wana Jf hebu twambieni huyu kijana ana shida gani? Amewakosea nini watanzania? Kwanini ananyimwa nafasi ya kusikilizwa kuangaliwa? Kwanini asigezwi wala kusogea?

Watanzania huyu kijana amewakosea nini?

View attachment 1572362
View attachment 1572363
View attachment 1572364
View attachment 1572365
View attachment 1572366
wewe ni raia wa nchi gani?
 
Naona kama bado anatumia mbinu kama za 'Kaole' hata wakina Bambo na Muhogo mchungu wameshabadilika...Pia udini unagawa mashabiki sana
 
Back
Top Bottom