Rogart Ngaillo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 908
- 1,911
Shabiki yake nambari moja ni mzee Muhogo Mchungu...huwa anampigia sana "promo" huyu nabii..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni mchafu sana, hajipendi .Wasalaam wanajamvi!
Kuna wasanii kwenye sanaa yetu wanayo bahati na wengine hawana bahati kabisa!
Kuna wasanii hawajui kuigiza kabisa lakini wanapendwa sana utafikiri wanajua sana lakini sio kweli!
Mfano wasanii Kama Ray Kigosi na Steve Nyerere huwa sielewi wanaigiza nini lakini kusema ukweli wana mashabiki wengi sana pamoja na utumbo wanao igiza bado wanapata attention ya watu na kupewa nafasi ya kusikilizwa!
Leo nataka niwaulize watanzania kwanini mmempuuza msanii Mabede a.k.a Nabii Mswahili?
-Madebe amewakosea nini?
-Madebe anashida gani na watanzania?
-Madebe anakosea wapi?
-Kwanini mmempuuza?
Msanii huyu ana jitahidi sana ana hangaika sana kutafuta attention ya watanzani lakini kusema kweli watanzania wamekataa kabisa kabisa!
Huyu kijana ana jaribu kila mbinu lakini hasogei kabisa bado najiuliza afanye nini hili asogee? Kwanini mmepokea Ray na Steve Nyerere lakini mnashindwa kumpokea Madebe a.k.a Nabii mswahili?
Wana Jf hebu twambieni huyu kijana ana shida gani? Amewakosea nini watanzania? Kwanini ananyimwa nafasi ya kusikilizwa kuangaliwa? Kwanini asigezwi wala kusogea?
Watanzania huyu kijana amewakosea nini?
View attachment 1572362
View attachment 1572363
View attachment 1572364
View attachment 1572365
View attachment 1572366
Jamaa sometimes anapotosha sanaHana anachojua huyu bwayeye zaidi ya kuleta misemo ya kijinga isiyokuwa na maana na yenye udhalilishaji.Mfano anasema walimu ni wale waliofeli mitihani.
Misemo mingine inapotosha,inadhalilisha,na inaboa abadilishe character Kama hawezi aandae kipindi kibachohusu misemo sio kila siku kuigiza character mojaUkiwa humuelewi madebe basi utakuwa una ugonjwa wa akili sababu wenye akili timamu hufaidika na fasihi zake mie namfatilia sana hasa movie yake inaitwa matusi iko vyema sana
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Hata kuratibu shughuli za misiba ya Wasanii wenzake na kutuhumiwa kula rambirambi ni sehemu ya matukio.matukio kama yapi, au unataka tuseme kula rambirambi tuonekane wabaya? sema matukio yapi?
wewe ni raia wa nchi gani?Wasalaam wanajamvi!
Kuna wasanii kwenye sanaa yetu wanayo bahati na wengine hawana bahati kabisa!
Kuna wasanii hawajui kuigiza kabisa lakini wanapendwa sana utafikiri wanajua sana lakini sio kweli!
Mfano wasanii Kama Ray Kigosi na Steve Nyerere huwa sielewi wanaigiza nini lakini kusema ukweli wana mashabiki wengi sana pamoja na utumbo wanao igiza bado wanapata attention ya watu na kupewa nafasi ya kusikilizwa!
Leo nataka niwaulize watanzania kwanini mmempuuza msanii Mabede a.k.a Nabii Mswahili?
-Madebe amewakosea nini?
-Madebe anashida gani na watanzania?
-Madebe anakosea wapi?
-Kwanini mmempuuza?
Msanii huyu ana jitahidi sana ana hangaika sana kutafuta attention ya watanzani lakini kusema kweli watanzania wamekataa kabisa kabisa!
Huyu kijana ana jaribu kila mbinu lakini hasogei kabisa bado najiuliza afanye nini hili asogee? Kwanini mmepokea Ray na Steve Nyerere lakini mnashindwa kumpokea Madebe a.k.a Nabii mswahili?
Wana Jf hebu twambieni huyu kijana ana shida gani? Amewakosea nini watanzania? Kwanini ananyimwa nafasi ya kusikilizwa kuangaliwa? Kwanini asigezwi wala kusogea?
Watanzania huyu kijana amewakosea nini?
View attachment 1572362
View attachment 1572363
View attachment 1572364
View attachment 1572365
View attachment 1572366
Mpuuzi sana huyu....Mbona naona ameshasogea tofauti na alivyoanza mwanzo.
Ila jamaa ana maneno huyu khaa!!..eti hata uzurure vipi huwezi kukutana na Mungu..😂
KabisaAnajitahidi lakini hataki kuendana na usasa na kwa style iyo atachelewa sana
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Misemo yenyewe Haina ukweli hataKweli maana jamaa Kila movie ni misemo tu abadilike
Anjitungia tu nahau za uongo hahahaha anafikiru watu wote wajinga wajingaTabu ni kwamba amekaa kidwanzi dwanzi angejibrand kidogo.Make style yake ya kuwa mchafu mchafu sio mzuri ila anajua.