Watanzania kama hatuwezi kuendesha Bandari ni kipi tunaweza? Huko CCM kuna shida gani?

Mnaumiza vichwa wkt wenzenu wanatafuta hela za uchaguzi 2024/2025 pigeni kelele lkn sioni wakuzuia hii..huko bungeni nikufanya kiini macho tu ilimwisho waseme tumefuata taratibu,muarabu anachukua bandari tutate tusitake next ni airport
 
Walokole wanataka Bandari auziwe Mwizrael ili kelele zao ziishe.
Israel wanajulikana Kwa akili kubwa tofauti nahawa nduguzo wavaa vilemba wanaotegemea mafuta tuu!! Wamewahi gundua Nini na vilemba vyao zaidi ya elimu ya kuwafundisha kuwa kuna majini mema na mabaya? Jini liwe jema kweliiii??? Sasa hatuyataki hayo bandarini kwetu Bora tuitengeneze taratibu!!!
 
Reactions: RNA
Kawapime DNA wote ni ndugu moja. ni kama sisi Wabantu wa Mashariki na Wabantu wa Kusini.
 
Hakika
 
Pengine tunaweza fitna, umbea na majungu. Pengine tunaweza kula kulala tu.
Pengine tunaweza uongo uliopitiliza. Ila cha kushangaza ni pale tunapodanganya nafsi zetu wenyewe. It is a sin and crime
 
Mtanzania hawezi kuendesha chochote,anachojuwa ni kuiba tu
Mwendokasi tu wana mbwelembwela

Ova
 
Pengine tunaweza fitna, umbea na majungu. Pengine tunaweza kula kulala tu.
Pengine tunaweza uongo uliopitiliza. Ila cha kushangaza ni pale tunapodanganya nafsi zetu wenyewe. It is a sin and crime
Ni bora titawaliwe ijulikane
 
Pengine tunaweza fitna, umbea na majungu. Pengine tunaweza kula kulala tu.
Pengine tunaweza uongo uliopitiliza. Ila cha kushangaza ni pale tunapodanganya nafsi zetu wenyewe. It is a sin and crime
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…