Watanzania kama Kingereza kimewashinda, mbona msiwe mnatembea na wakalimani ili kuondoa aibu ndogo ndogo

Watanzania kama Kingereza kimewashinda, mbona msiwe mnatembea na wakalimani ili kuondoa aibu ndogo ndogo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kawaida huwa mnajiliwaza kwamba sio lazima mkijue kingereza maana hata rais wa China akija Afrika, yeye huongea Kichina, lakini mnasahau kwamba yeye huambatana na wakalimani, kuna hizi habari za rais wenu akiwa Zimbabwe, ambapo alihutubia waandishi wa habari kwa Kiswahili ila watu wakaambulia patupu maana hapakua na mkalimani, ikambidi rais wa Zimbabwe atafsiri kidogo alichokua anapatia patia.

Waandishi pia wakashindwa kuuliza maswali maana wao walitegemea waulize kwa kingereza na maswali yajibiwe kwenye hiyo hiyo lugha. Sasa bila mkalimani watu wakabaki bubu wote na kutazamana.

Hehehe ila kwa kweli kingereza huwa kinawatesa, lakini mikijipanga itaondoa aibu ndogo ndogo kama hizi, aajiriwe mkalimani ikulu ambaye atakua anatiririka ung'eng'e kila mnapowatembelea hao majirani zenu na kukumbana na waandishi wa habari, maana kusoma hotuba iliyoandikwa kwa kingereza ni jambo moja na rahisi (maana unaweza ukakesha chumbani ukirudiarudia kuisoma hadi uwe bora), ila kupambana na maswali ya waandishi wa habari, ni mziki unaotaka uwe umejiamini na umejiandaa kutema yai tena kwa miaka kadhaa.

--------------------------------------

By Idah Mhetu

SWAHILI speaking Tanzanian leader John Pombe Magufuli, on Wednesday turned President Emmerson Mnangagwa into a translator, after it emerged none among the aides at the State House function in Harare could do it except for the Zanu PF leader.

Magufuli was in Zimbabwe on a two-day State visit and in his final address to the media, spoke mainly in Swahili, the biggest language in East Africa forcing his host to help bemused local journalists with translation.

He was set to depart for home but was reportedly said to have extended his stay.

The Tanzanian leader was announcing his government had a maize surplus and was ready to help hunger stricken Zimbabwe.

After speaking exclusively in his native Swahili, Magufuli turned to the journalists present and said: “I know you will cut some of the words.”

Mnangagwa’s spokesperson George Charamba tried to translate but could only manage one word.

“I just heard ‘mwaka’ meaning season,” Charamba said before Mnangagwa, noticing the handicap among his countrymen, turned translator.

Earlier on Tuesday, at a banquet held at State house, Magufuli told the media that he could not find a translator for his speech hence would read his written speech which was in English.

Introducing him to the media, Mnangagwa jokingly said President Magufuli was ready for questions but only spoke Swahili.

“With me here is President Magufuli of the Republic of Tanzania, who came here by invitation reciprocating my visit to Tanzania. We have had discussions to promote, deepen and to consolidate relations, he is at your disposal if you want to ask questions but he speaks only Swahili,” Mnangagwa said.

Mnangagwa had asked Magufuli if he had a translator among his staffers to which the Tanzanian responded in the negative before carrying on.

Translating his first brief, Magufuli further said he came to Zimbabwe to cement bilateral relations between the two nations. He said the two leaders had agreed on several issues which included trade, tourism and infrastructure.

“I came here to cement bilateral relations between Zimbabwe and Tanzania. I am only a catalyst and I am confident that the talks between the two nations will continue,” he said resorting to Swahili before breaking into laughter.

During the liberation struggle Mnangagwa operated as a guerrilla in Tanzania were Zanu had several bases from which he probably learnt Swahili.


 
Sasa wewe inakuhusu nini? Hivi Kenya matatizo yameisha hadi uwekeze muda wako wote kuwaza Nani anaongea Kiinfereza Tanzania?
 
Eti rais Mnangagwa aliweza kutafsiri neno moja tu kwenye hotuba yote ya Jiwe. Mwaka(year), alafu aliitafsiri kwa kiingereza kama season(msimu). [emoji38][emoji38][emoji38] Sasa hotuba yote ndefu hivyo ilikuwa ya nini kama mzee alikuwa haeleweki na yeyote? Wabongo buana!
 
Eti rais Mnangagwa aliweza kutafsiri neno moja tu kwenye hotuba yote ya Jiwe. Mwaka(year), alafu aliitafsiri kwa kiingereza kama season(msimu). [emoji38][emoji38][emoji38] Sasa kulikuwa na haja gani yakusoma hotuba ndefu hivyo kama mzee alikuwa haeleweki na yeyote? Wabongo buana!

Hehehe!! Mtihani sana, mzee amechoshwa vyote hivyo kusoma hotuba ndefu halafu waandishi wote wanatoka kapa, nafikiri enzi za Mugabe ingelikua nafuu labda yeye anajua maneno machache ya Kiswahili.
 
alafu eti jamaa kaandika thesis yake ya phd kwa hicho kingereza aischoweza kukizungumza, jamani eeh waswahili...how can you write in a language you cannot speak? ama alishushiwa hiyo thesis apo uni of dar kama mtume s.a.w (pbuh) akitoka mecca to madina kwenye hijra!
 
Ahaaa haaa haaa
Is that also an issue of forming a thread!!?
Huko ni kuishiwa sera. Badala ya kufikiria namna ya kujinasua kutoka kwenye SGR kimini au kikaptula mliyopigwa na MChina ambaye hajui kiingereza, unaleta story za kinyonge hapa.
 
alafu eti jamaa kaandika thesis yake ya phd kwa hicho kingereza aischoweza kukizungumza, jamani eeh waswahili...how can you write in a language you cannot speak? ama alishushiwa hiyo thesis apo uni of dar kama mtume s.a.w (pbuh) akitoka mecca to madina kwenye hijra!
PHD Thesis ya chemistry sio kama ya Literature..Maadishi ni less than 10 paragraphs the rest ni maformular tu za hesabu na chemical equations
 
alafu eti jamaa kaandika thesis yake ya phd kwa hicho kingereza aischoweza kukizungumza, jamani eeh waswahili...how can you write in a language you cannot speak? ama alishushiwa hiyo thesis apo uni of dar kama mtume s.a.w (pbuh) akitoka mecca to madina kwenye hijra!

Ahaaa haaa haaa
Wewe the guy is a scientist specialising in chemistry. In chemistry the language is only numbers and symbols. Do you know the periodic table?
Kwi kwi i
 
Ahaaa haaa haaa
Is that also an issue of forming a thread!!?
Huko ni kuishiwa sera. Badala ya kujinatusua kutoka SGR kimini au kikaptula mliyopigwa na MChina ambaye hajui kiingereza, unaleta story za kinyonge hapa.


kwani unaumia mkuu?
26167309_1868889449810799_51389005665955221_n.jpg
 
Taratibu mzee baba [emoji23][emoji23][emoji23]
alafu eti jamaa kaandika thesis yake ya phd kwa hicho kingereza aischoweza kukizungumza, jamani eeh waswahili...how can you write in a language you cannot speak? ama alishushiwa hiyo thesis apo uni of dar kama mtume s.a.w (pbuh) akitoka mecca to madina kwenye hijra!
 
Nimekuelewa boss, formular na chemical equations za phd thesis ya mzee alizisomea na kuziandika kwa kisukuma.
Hapana Mzee aling'ang'ana na hesabu na chemical equations..Iyo ingine 2% composition aliwachia research assistant wake amwage ung'eng'e hapo.
Kudefend Phd ndiyo alidefend na kisukuma, hatawao exeminers wakaona haka kamzee sio mchezo
 
Back
Top Bottom