Watanzania kama Kingereza kimewashinda, mbona msiwe mnatembea na wakalimani ili kuondoa aibu ndogo ndogo

Kamdanganye Bibi yako mkuu,huku Tzn familia zenye vipato wanapeleka watoto wao shule zinazofundisha kwa kiingereza kuanzia nursury hadi secondary tena usikute na wewe wanao wako huko hakuna asiyependa kiingereza
Kingereza cha kuongea ndio kinasumbua watz wengi kwa vile hakuna mazingira ya kupractise kuongea,na ndio lugha rasmi ya kazi za maofisini
Hata Magu watoto wake wanasoma Feza
 
Hivi mbona waandishi wa kizungu walipokuwa wakimhoji Gaddafi walitumia english lakini Gaddafi ana reply kwa kiarabu na hakukuwa na mkalimani? mbona hii hutokezea sana tu.

Aibu ni hao waandishi wa habari sio Tanzania yetu.

Uko nyuma kweli, siku izi unategemea mkalimani tu
 
Mkuu hakuna mashindano ya essay,Kama kingereza sio dili kwa nini kitumike kama official language? Matokeo ya hii ndo hayo ya akina Magu kuzingua huko kwa watu Namibia,Zimbabwe si akomae na Kiswahili watu watafsiri kuliko kuzingua
We jamaa utakuwa mgumu wa kuelewa! Hivi nimekuambia Kiingereza sio dili au nazungumzia ushamba na ulimbukeni wa kuonea fahari Kiingereza wakati ni lugha ya kuazima tu?! Yaani wewe unaonekana ni miongoni mwa wale watu ambao, mtu ukimwongolesha Kiingereza halafu akawa anakujibu kwa Kiswahili basi unadhani lugha haipandi! Tena nikupe siri moja! Wazungu wana tabia ukikutana nao na kuongea nao utawasikia "wow, you speak a very good English!" Binafsi huwa wananikera kishenzi lakini watu aina yako inaelekea mkiambiwa hivyo, inaonekana ndo mnajiona ndo kama Waingereza kabisa! Na kuhusu viongozi, kuna siku JK aliniboa sana! Ilikuwa ni siku alipokuja Rais wa China! Wakati Rais wa China alikuwa anaongea Kichina, JK akawa anaongea English! Nikajiuliza ina maana hakuna kabisa mtafsiri anayeweza kutafsiri Kiswahili-Kichina-Kiswahili wakati JK alikuwa anajua kabisa kwamba Rais wa China lazima angeongea Kichina tu; na wala sio kwamba anaongea Kichina kwa sababu hakijui Kiingereza!
 
Kama Gadaffi alifanya ujinga kama huo haipaswi kuiga, sasa nini maana ya mawasiliano kama hamuelewani, wewe nikuulize maswali unijibu kwa lugha ambayo sina uelewa nayo na hakuna mkalimani, tutaonekana sote majuha. Labda ingeeleweka kama hao waandishi wangekuja kukuhoji kwenye nchi yako, hapo wao ndio waje na wakalimani maana uko kwako, wewe umekwenda kwenye nchi yao na haujui kutumia ipasavyo lugha wanayotumia, umewafuata wewe na huna mkalimani....

Hili mtajaribu kulikwepa kwa kuweka twist twist za kuponda kingereza eti cha mkoloni lakini mwisho wa siku ukweli uko pale pale, inafahamika mumeogopa kwenda Ulaya kwa kusingizia mnabana matumizi, ila tatizo linajulikana wazi kuwa lugha imewagomea, muajiri mkalimani hapo ikulu, kuna Watanzania japo wachache huwa wanaongea Kingereza kizuri tu, hivyo muwape ajira ili kuondoa aibu ndogo ndogo.
 
Kuzungumza lugha yako kwanini iwe ujinga? wao si ndio wanaotaka kuuliza maswali? kwanini uhangaike wewe kama shida wanayo wao?
 
Umewakuta kwenye nchi yao, na lugha wanayotumia rasmi inakupa chenga, ila kwako kwenye nchi yako unayo watu wachache wanayoifahamu na kuitumia, sasa mbona usiende nao huko wakakusaidie kuwasiliana na hao unaowakuta kwao.
Wakija kwao, wewe ongea hata Kisukuma au Kibena maana wamekukuta.....

Itakua ujuha sana nije nikutembelee kwako kitaani hapo Dar, halafu nianze kutiririka kilugha changu bila ya kuja na mkalimani akusaidie kuelewa ninachokisema, labda hata nakutusi ila umekenua meno maana haujui nini nasema.....hehehe nyie mtihani kweli yaani mnasababisha kicheko.
 
We jamaa utakuwa mgumu wa kuelewa! Hivi nimekuambia Kiingereza sio dili au nazungumzia ushamba na ulimbukeni wa kuonea fahari Kiingereza wakati ni lugha ya kuazima tu?! Yaani wewe unaonekana ni miongoni mwa wale watu ambao, mtu ukimwongolesha Kiingereza halafu akawa anakujibu kwa Kiswahili basi unadhani lugha haipandi! Tena nikupe siri moja! Wazungu wana tabia ukikutana nao na kuongea nao utawasikia "wow, you speak a very good English!" Binafsi huwa wananikera kishenzi lakini watu aina yako inaelekea mkiambiwa hivyo, inaonekana ndo mnajiona ndo kama Waingereza kabisa! Na kuhusu viongozi, kuna siku JK aliniboa sana! Ilikuwa ni siku alipokuja Rais wa China! Wakati Rais wa China alikuwa anaongea Kichina, JK akawa anaongea English! Nikajiuliza ina maana hakuna kabisa mtafsiri anayeweza kutafsiri Kiswahili-Kichina-Kiswahili wakati JK alikuwa anajua kabisa kwamba Rais wa China lazima angeongea Kichina tu; na wala sio kwamba anaongea Kichina kwa sababu hakijui Kiingereza!
Usitafute excuse ya kushindwa,kwani ikiwa lugha ni ya kigeni ndio inakuwa sio dili? Mbona hamsemi iwe lugha rasmi ya kazini na shuleni hadi chuo kikuu?🤓🤓🤓🤓
 
Hahaha! 😀 Utaacha ushoga lini? Naona wamekupumulia kisogoni kweli kweli hadi unapandwa na hisia za kibinti binti ukisikia Jiwe kakashifiwa kwa kujiletea aibu kule Zim.

Hebu ona Wazibambwe wanavyotirirka kejeli

screenshot_20190601-163458_youtube-jpg.1114345
 
Kejeli Africa kawaida sana coz mazingira yetu yanafanana tu.Tunakaa kulumbana wote tupo black.Hao wanaomkashifu nchi yao ina nn cha kujivunia.Africa is the shit continent ever seen.Na hakuna changes zitakazotokea mana ata watoto wetu wana herit huu upuuzi.

Bongo bahati mbaya.......
 
Hehehe!! Mtihani sana, mzee amechoshwa vyote hivyo kusoma hotuba ndefu halafu waandishi wote wanatoka kapa, nafikiri enzi za Mugabe ingelikua nafuu labda yeye anajua maneno machache ya Kiswahili.
Mnangwaga anajua Kiswahili chote na ndio maana alipofika hapa alienda Bagamoyo alipokaa miaka 4
 
Kamdanganye Bibi yako mkuu,huku Tzn familia zenye vipato wanapeleka watoto wao shule zinazofundisha kwa kiingereza kuanzia nursury hadi secondary tena usikute na wewe wanao wako huko hakuna asiyependa kiingereza
Kingereza cha kuongea ndio kinasumbua watz wengi kwa vile hakuna mazingira ya kupractise kuongea,na ndio lugha rasmi ya kazi za maofisini
Lugha rasmi ya kazi za maofisi? Wrong. Labda maofisi ya Kenya
 
Mkuu hakuna mashindano ya essay,Kama kingereza sio dili kwa nini kitumike kama official language? Matokeo ya hii ndo hayo ya akina Magu kuzingua huko kwa watu Namibia,Zimbabwe si akomae na Kiswahili watu watafsiri kuliko kuzingua
Official language ya wapi ww, Tz official language ni swahili.
 
Ona sasa huyu Raisi alivyotuaibisha hadi dunia nzima inatucheka.
2020 tunamwaga pombe trust me.
 
Ila mbona wakenya kwenye kiswahili na kingereza wengi wabovu kuliko mnavyoaminisha?
 
Usitafute excuse ya kushindwa,kwani ikiwa lugha ni ya kigeni ndio inakuwa sio dili? Mbona hamsemi iwe lugha rasmi ya kazini na shuleni hadi chuo kikuu?🤓🤓🤓🤓
Hebu twende taratibu! Kwahiyo na wewe ndo mkali wa kii-English, au?! Ikiwa hata Kiswahili unashindwa kukielewa, hivi hicho ki-English ndo unakielewa kweli wewe?! Au ndo tuseme unakijua sana ki-English kuliko Kiswahili ndo maana nikikuandikia kwa Kiswahili unashindwa kuelewa? Unaweza kunionesha ni wapi nimesema lugha ya kigeni sio deal?! Man, mimi sijui Kiingereza lakini wataalmu wa Kiingereza naomba munisaidie kumwelewesha huyu mtu! Mwambieni kwa kimombo kwamba, mimi sipondi Kiingereza bali nawaponda wanaoonea fahari lugha ya kigeni kana kwamba hiyo ndiyo lugha yao ya asili! Lugha ya kigeni unaongea pale inapobidi; lakini sio unafika mbele ya Waswahili wenzako halafu unaanza "you know, yes yes" tena wakati mwingine unajua kabisa miongoni mwa uliowakuta hawaijui hiyo lugha! Huo ni ushamba na ulimbukeni! Wakenya kujifanya sana wanakijua Kiingereza wakati kwa wastani, wanajua sana lugha za vijijini kwao kuliko Kiingereza; huo ni ushamba na ulimbukeni!
 
Sikia usiandike hadithi ndefu rudi kwenye pointi kuu kwamba kama hamkitaki au hauoni fahari kwacho kwa nini kujilazimisha kuongea alafu watu wanachapia mara watu wanaripoti eti rais kaendesha mkutano kwa kingereza,kama sio fahari futa kwenye mfumo wa kazi,kufundishia nk
 
Unless ww n mwalimu lakini kama ni mfanyakazi ulifanya usaili basi unambie ulisailiwa kwa lugha gani?
Companies kibao zinasaili kwa kiswahili nowdays, and usaili in english doesnt mean it is an official language.
 
Back
Top Bottom