Msela Baharia
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 766
- 1,104
Alafu tunasikia master's mzee baba alipigia kwa malkia, sasa mtaani alikua anaishi vp?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinambie hata wewe una matatizo ya kutoelewa kiingereza.Eti rais Mnangagwa aliweza kutafsiri neno moja tu kwenye hotuba yote ya Jiwe. Mwaka(year), alafu aliitafsiri kwa kiingereza kama season(msimu). [emoji38][emoji38][emoji38] Sasa hotuba yote ndefu hivyo ilikuwa ya nini kama mzee alikuwa haeleweki na yeyote? Wabongo buana!
Kizungu kinatumika kwenda ombea msaada kwa donor countriesKwa nini aongee hiyo lugha ina umuhimu gani?
We real do have chemical John in the state house.
Wakenya washamba sana! Wakati sie wengine tunaona aibu kuongea Kiingereza mbele za watu pasi na sababu za msingi, hawa jamaa wanaona ndo ufahari wakati Kiingereza chao chenyewe ukiwasikia, accent mzito utadhani wanaongea Kijaluo!Kwa nini aongee hiyo lugha ina umuhimu gani?
HahahahaSijawahi kuona watu washamba na limbukeni duniani kama Wakenya! Yaani ni Wakenya pekee duniani ndio ambao wanaonea fahari "kuifahamu" lugha ya mkoloni wao aliyewatandika bakora na kuua mababu zao kwa miaka kadhaa!! Ajabu, hata Uganda ambao wapo vizuri in English far better than Kenyans; huwezi kuwakuta wakionea fahari kukifahamu Kiingereza zaidi ya lugha zao za asili kama vile Kiganda! Na ukweli ni kwamba, Wakenya mpo vizuri kwenye lugha zenu za asili kuliko Kiingerza, na ndio maana ukitoka nje ya miji mikubwa, utaeleweka zaidi kama unajua lugha za asili, au angalau Kiswahili kuliko Kiingereza! Lakini ushamba na ulimbukeni unaotokana na kuaminishwa kwamba Mzungu ndo kila kitu ndo maana haishangazi kuwaona kila wakati mkionea fahari lugha ambayo hata hivyo, hamjai-master!
Huku Tanzania, watu aina yenu walikuwepo ambao ukikutana nao, watakuambia "nimesoma la nane la Mwingereza" na wakati wote, ili kujaribu kuonesha ni namna gani waliosoma "la nane la Mwingereza" walikuwa bora, basi atataka muongee Kiingereza! Kwa bahati mbaya, majority ama wameshakufa au kwa sasa ni wazee sana kuweka kukutana nao mitaani!! So, sad kuona kuna new Africans generation lakini bado wanawaza mababu zetu zetu waliozaliwa enzi ya Mjerumani!!!
Kwa Sasa hatuhitaji msaada wao kwa hiyo hakuna umuhimu wa hiyo lugha iliyo Kuja kwa jahazi 😀😀Kizungu kinatumika kwenda ombea msaada kwa donor countries
Hahahaha toka lini watafuna mirungi wakaongea Kiingereza kilicho nyooka.Wakenya washamba sana! Wakati sie wengine tunaona aibu kuongea Kiingereza mbele za watu pasi na sababu za msingi, hawa jamaa wanaona ndo ufahari wakati Kiingereza chao chenyewe ukiwasikia, strong accent utadhani wanaongea Kijaluo!
Hata na wewe pia tafuta mkalimani, acha kubana matumizi kama rais wako Jiwe, kwenye masuala simpo kama haya.Usinambie hata wewe una matatizo ya kutoelewa kiingereza.
Hivi kwa jinsi ulivyosoma hiyo habari, kuna sehemu pameandikwa kuwa rais Mnangagwa aliweza kutafsiri neno moja tu la kiswahili?
Hata na wewe pia tafuta mkalimani, acha kubana matumizi kama rais wako Jiwe, kwenye masuala simpo kama haya.
Kweli kabisa, naikumbuka hiyo siku kama jana, 'exeminers' walimmaindi sana. Ndio maana alipotoka kuwasilisha thesis ya phd yake alikuwa anachapa smile ya kando kando kama ya Kiraitu Murungi.Hapana Mzee aling'ang'ana na hesabu na chemical equations..Iyo ingine 2% composition aliwachia research assistant wake amwage ung'eng'e hapo.
Kudefend Phd ndiyo alidefend na kisukuma, hatawao exeminers wakaona haka kamzee sio mchezo
Hili nalo neno, Mirungi na Kizungu wapi na wapi!!! Mirungi chake ni Kikalenjii, Kisamburu, Kijaluo, Kipokoti na ndugu zao!!Hahahaha toka lini watafuna mirungi wakaongea Kiingereza kilicho nyooka.
Hojakosea, kama hujasoma taarifa unataka tukusaidiaje sasa?Acha kujitutumua, vitu vingine viko kichele havihitaji mjadala, ni vya kukubali tu na kuacha mjadala uendelee kwa hoja nyingine
"Ze exeminers" naona umekosea matamshi. Hako kamzee sio mchezo bwana, wewe hata composition ya class 8 unaweza defend na kimaasai?Kweli kabisa, naikumbuka hiyo siku kama jana, 'exeminers' walimmaindi sana. Ndio maana alipotoka kuwasilisha thesis ya phd yake alikuwa anachapa smile ya kando kando kama ya Kiraitu Murungi.![]()
Hapo kwenye lugha ya malkia tunawaachia nyie jirani zetu.
Tunafagilia Kiswahili tu🙂
Hapa nikijibu nitaonekana mbaya.PHD Thesis ya chemistry sio kama ya Literature..Maadishi ni less than 10 paragraphs the rest ni maformular tu za hesabu na chemical equations
Kawaida huwa mnajiliwaza kwamba sio lazima mkijue kingereza maana hata rais wa China akija Afrika, yeye huongea Kichina, lakini mnasahau kwamba yeye huambatana na wakalimani, kuna hizi habari za rais wenu akiwa Zimbabwe, ambapo alihutubia waandishi wa habari kwa Kiswahili ila watu wakaambulia patupu maana hapakua na mkalimani, ikambidi rais wa Zimbabwe atafsiri kidogo alichokua anapatia patia.
--------------------------------------
By Idah Mhetu
SWAHILI speaking Tanzanian leader John Pombe Magufuli, on Wednesday turned President Emmerson Mnangagwa into a translator, after it emerged none among the aides at the State House function in Harare could do it except for the Zanu PF leader.
During the liberation struggle Mnangagwa operated as a guerrilla in Tanzania were Zanu had several bases from which he probably learnt Swahili.
![]()
Magufuli turns Mnangagwa into a translator - NewZimbabwe.com
Spread This NewsBy Idah Mhetu SWAHILI speaking Tanzanian leader John Pombe Magufuli, on Wednesday turned President Emmerson Mnangagwa into a translator, after it emerged none among the aides at the State House function in Harare could do it except for the Zanu PF leader. Magufuli was in Zimbabwe...www.newzimbabwe.com