Watanzania kama Kingereza kimewashinda, mbona msiwe mnatembea na wakalimani ili kuondoa aibu ndogo ndogo

Watanzania kama Kingereza kimewashinda, mbona msiwe mnatembea na wakalimani ili kuondoa aibu ndogo ndogo

Kawaida huwa mnajiliwaza kwamba sio lazima mkijue kingereza maana hata rais wa China akija Afrika, yeye huongea Kichina, lakini mnasahau kwamba yeye huambatana na wakalimani, kuna hizi habari za rais wenu akiwa Zimbabwe, ambapo alihutubia waandishi wa habari kwa Kiswahili ila watu wakaambulia patupu maana hapakua na mkalimani, ikambidi rais wa Zimbabwe atafsiri kidogo alichokua anapatia patia.

Waandishi pia wakashindwa kuuliza maswali maana wao walitegemea waulize kwa kingereza na maswali yajibiwe kwenye hiyo hiyo lugha. Sasa bila mkalimani watu wakabaki bubu wote na kutazamana.

Hehehe ila kwa kweli kingereza huwa kinawatesa, lakini mikijipanga itaondoa aibu ndogo ndogo kama hizi, aajiriwe mkalimani ikulu ambaye atakua anatiririka ung'eng'e kila mnapowatembelea hao majirani zenu na kukumbana na waandishi wa habari, maana kusoma hotuba iliyoandikwa kwa kingereza ni jambo moja na rahisi (maana unaweza ukakesha chumbani ukirudiarudia kuisoma hadi uwe bora), ila kupambana na maswali ya waandishi wa habari, ni mziki unaotaka uwe umejiamini na umejiandaa kutema yai tena kwa miaka kadhaa.

--------------------------------------

By Idah Mhetu

SWAHILI speaking Tanzanian leader John Pombe Magufuli, on Wednesday turned President Emmerson Mnangagwa into a translator, after it emerged none among the aides at the State House function in Harare could do it except for the Zanu PF leader.

Magufuli was in Zimbabwe on a two-day State visit and in his final address to the media, spoke mainly in Swahili, the biggest language in East Africa forcing his host to help bemused local journalists with translation.

He was set to depart for home but was reportedly said to have extended his stay.

The Tanzanian leader was announcing his government had a maize surplus and was ready to help hunger stricken Zimbabwe.

After speaking exclusively in his native Swahili, Magufuli turned to the journalists present and said: “I know you will cut some of the words.”

Mnangagwa’s spokesperson George Charamba tried to translate but could only manage one word.

“I just heard ‘mwaka’ meaning season,” Charamba said before Mnangagwa, noticing the handicap among his countrymen, turned translator.

Earlier on Tuesday, at a banquet held at State house, Magufuli told the media that he could not find a translator for his speech hence would read his written speech which was in English.

Introducing him to the media, Mnangagwa jokingly said President Magufuli was ready for questions but only spoke Swahili.

“With me here is President Magufuli of the Republic of Tanzania, who came here by invitation reciprocating my visit to Tanzania. We have had discussions to promote, deepen and to consolidate relations, he is at your disposal if you want to ask questions but he speaks only Swahili,” Mnangagwa said.

Mnangagwa had asked Magufuli if he had a translator among his staffers to which the Tanzanian responded in the negative before carrying on.

Translating his first brief, Magufuli further said he came to Zimbabwe to cement bilateral relations between the two nations. He said the two leaders had agreed on several issues which included trade, tourism and infrastructure.

“I came here to cement bilateral relations between Zimbabwe and Tanzania. I am only a catalyst and I am confident that the talks between the two nations will continue,” he said resorting to Swahili before breaking into laughter.

During the liberation struggle Mnangagwa operated as a guerrilla in Tanzania were Zanu had several bases from which he probably learnt Swahili.

Nchi ya watu milioni hamsini hakuna mtu anayekifahamu kiingereza, Mungu saidia watu wako.
 
Sikia usiandike hadithi ndefu rudi kwenye pointi kuu kwamba kama hamkitaki au hauoni fahari kwacho kwa nini kujilazimisha kuongea alafu watu wanachapia mara watu wanaripoti eti rais kaendesha mkutano kwa kingereza,kama sio fahari futa kwenye mfumo wa kazi,kufundishia nk
Huwezi kunipangia niandike nini kwa kiwango gani; we jamaa wa wapi wewe?! Hata hapa ni wewe umeanza kuni-quote, na hata post ambayo ulini-quote ni ndefu vile vile! Kama huwezi kusoma posts ndefu, acha kuni-quote kwa sababu sijakjuita wala kuku-mention popote! Laptop ya kwangu, vidole vya kwangu kwahiyo usinipangie!

Hilo moja lakini pili, unaboa! Unaboa kwa sababu huelewi! Lakini nasisitiza, ACHA USHAMBA! Watu wanachapia hata lugha yao ya asili, seuze lugha ya kigeni! Non-Swahili Speakers wakiongea Kiswahili wanakivurunda kweli kweli lakini inaonekana poa tu, tena wengine wanafurahi! Kwanini? Kwa sababu wengi wa hawa wanaoongea Kiswahili kibovu wana ngozi nyeupe!! Lakini Mswahili akishindwa kuongea Kiingereza kizuri, kwenu inakuwa nongwa! Acheni ushamba!

Halafu hivi unafahamu tafsiri ya maneno "kuonea fahari?"
 
Nasisitiza kumiliki bando sijui computer sijui nini hakuhalalishi kukukosoa kama ulichoandik ni pumba na hili ni jukwaa huru umechangia ikitegemea like na dislikes,Sasa ukipata changamoto ya kukosolewa vumilia na sitoacha ukiandika pumba
Mshamba ni wewe unaelazimisha lugha usiyoielewa huku unataka uonekane unaijua,huwezi komaa na lugha unayoimudu badala ya kutia aibu kama fulani unayemtetea hapa,umeanza kupotea kwenye reli,rudi kwenye hoja acha kupanic
 
Hapa kiswahili tu ukitaka kiingereza mtafute muingereza muongee naye
Lugha yetu nzuri sana
Sana mzee magu kiswahili hadi kifo
 
Umewakuta kwenye nchi yao, na lugha wanayotumia rasmi inakupa chenga, ila kwako kwenye nchi yako unayo watu wachache wanayoifahamu na kuitumia, sasa mbona usiende nao huko wakakusaidie kuwasiliana na hao unaowakuta kwao.
Wakija kwao, wewe ongea hata Kisukuma au Kibena maana wamekukuta.....

Itakua ujuha sana nije nikutembelee kwako kitaani hapo Dar, halafu nianze kutiririka kilugha changu bila ya kuja na mkalimani akusaidie kuelewa ninachokisema, labda hata nakutusi ila umekenua meno maana haujui nini nasema.....hehehe nyie mtihani kweli yaani mnasababisha kicheko.
Umesema kitaani. Sasa hujui tofauti ya kitaa na kiofisi? Wao walishindwa nini kumuuliza kwa kiingereza? wamejaribu wakaona hawajajibiwa?

Yaani nyie ni vituko, mnajifanya wajuaji lakini hamnaga.... sijaona pahala ambapo mwandishi anazuia asiulize swali kwa lugha ya kwao. Ushamba umewajaa tu. Kuna app siku izi zina translate kwa njia ya voice. Mpo nyuma kimaendeleo na kimatumizi ya brain. Poleni Mkuu
 
Ongeza uwezo wako kifikira, hapo nimekupa mfano wa kitaani ili kuileta kwenye level yako ya uelewa.
Ulitegemea waulize maswali kwa kingereza ilhali hotuba yenyewe hawajaielewa maana imesomwa kwa kilugha cha mgeni aliyekuja. Kawaida mtu huandaa maswali kwa kuhoji alichokielewa kwenye hotuba.

Masuala ya app usilete humu, huwa bora kwa lugha zilizokamilika na kueleweka, utafsiri wa kiswahili kwa kutumia automated process huwa majanga, maneno hayaendani kabisa, usiongee vitu kisa umeviskia kijiweni, jaribu kujiongeza kifikira.
 
Umeonesha uwezo wako wa kufikiria sio kwamba umeonesha uwezo wangu. Umetoa mfano ambao hauendani kabisa. Unafananisha maskani na ofisi? kisha unajiona unafikra pana, wacha utani.

Inabidi Waandishi wa habari huwa hawana maswali mpaka rais asome hutuba tu? Hao sio waandishi wa habari na hawajui wakifanyacho.
 
Back
Top Bottom