Watanzania kushambulia page za white house na Trump sio jambo zuri

Watanzania kushambulia page za white house na Trump sio jambo zuri

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
TCRA wanamuandama sana Mange kimambi.
Uchafu wa serikali anaopost badala ya serikali kuufanyia kazi ,TCRA wabapambana account ya Mange kufutwa.

Mange ameamua kumobilize followers wake kushambulia page za white house na za Rais Trump uko Instagram.

Aisee serikali na Samia wanakaangwa kwenye page za Trump na White House kinoma. Leo adimin wa hizo pages watashangaa ilo shambulio

Sijui matokeo ya hiyo movement but this is not good sign for the nation.
 
Acha chawa wajichanganye na wanufaika wa hizo viza zilizopigwa bond,sisi wazalendo hata ikitokewa fursa za kwenda wanajipeleka wao.
 
Wanazuia post za Mange zisionekane Tanzania na kutuma takedown notice kwa posts zake, hasa zile post zinazofichua ufisadi, utekaji na mambo ya hovyo yanayofanywa na serikali, kwa sababu Instagram ni mtandao unaotumika na chawa wao na wasanii wao hivyo inakuwa ngumu kuifungia kama twitter, TCRA wanakuwa wanatuma request kwenda meta kwamba hizo posts za Mange zifutwe ama zisionekane Tanzania.

Hapo hakuna namna inabidi Watanzania waingie kati kuanzia kule truth social ya Trump, twitter, facebook n.k ili wamiliki wajue nini kinaendelea na hatimaye waanze ku ignore hizo requests za TCRA, yaani huko ni vurugu.

Nchi ilipofika inasikitisha sana, kama mtu anafichua uovu, inakuwaje mnawaomba meta wafute hizo post. Nchi imefika mahala pa hovyo sana aisee.

Watanzania wafanye huko vurugu hadi kieleweke, hawa washenzi imetosha sasa kuwafanya Watanzania ni wajinga.
 
Back
Top Bottom