Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,239
- 29,566
Serikali badala ya kuwawajibisha mafisadi wanaoripotiwa,badala yake wanadeal na anayereport/anayesanua ili asisanue. Wanamziba mdomo!!
Maana yake uchafu uendelee na anayereport awekwe korokoroni.
Tanzania.
Maana yake uchafu uendelee na anayereport awekwe korokoroni.
Tanzania.