Wanazuia post za Mange zisionekane Tanzania na kutuma takedown notice kwa posts zake, hasa zile post zinazofichua ufisadi, utekaji na mambo ya hovyo yanayofanywa na serikali, kwa sababu Instagram ni mtandao unaotumika na chawa wao na wasanii wao hivyo inakuwa ngumu kuifungia kama twitter, TCRA wanakuwa wanatuma request kwenda meta kwamba hizo posts za Mange zifutwe ama zisionekane Tanzania.
Hapo hakuna namna inabidi Watanzania waingie kati kuanzia kule truth social ya Trump, twitter, facebook n.k ili wamiliki wajue nini kinaendelea na hatimaye waanze ku ignore hizo requests za TCRA, yaani huko ni vurugu.
Nchi ilipofika inasikitisha sana, kama mtu anafichua uovu, inakuwaje mnawaomba meta wafute hizo post. Nchi imefika mahala pa hovyo sana aisee.
Watanzania wafanye huko vurugu hadi kieleweke, hawa washenzi imetosha sasa kuwafanya Watanzania ni wajinga.