Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,239
- 29,566
Nimemaliza chuo tayari ni degree holder .Dogo hujalala tu kesho uwahi shule.
Maarassmbusii
TCRA wamemwaga Ugali, tunamwaga mbogaTCRA wanamuandama sana Mange kimambi.
Uchafu wa serikali anaopost badala ya serikali kuufanyia kazi ,TCRA wabapambana account ya Mange kufutwa.
Mange ameamua kumobilize followers wake kushambulia page za white house na za Rais Trump uko Instagram.
Aisee serikali na Samia wanakaangwa kwenye page za Trump na White House kinoma. Leo adimin wa hizo pages watashangaa ilo shambulio
Sijui matokeo ya hiyo movement but this is not good sign for the nation.
Dogo njoo Bagamoyo huku nikuuzie shamba uwekeze.Dogo hujalala tu kesho uwahi shule.
Maarassmbusii
Watakuja wababe wa Dunia wawatie vidoleHiyo ndo kazi mnaweza kuandamana kwa comments mitandaoni ila mtaani hakuna Nyumbu atakaetokea.
Uskute na Imam hussen nae kashambulia hiyo page๐
Hadi wafike wewe utakuwa umeshatiwa mkono mzima siyo vidoleWatakuja wababe wa Dunia wawatie vidole
Wao wanataka Kunduchi za mboga mboga kama weweHadi wafike wewe utakuwa umeshatiwa mkono mzima siyo vidole
Mi nitaanza na yako nikushughulikie hadi wafike jiulize utakua kwenye hali ganiWao wanataka Kunduchi za mboga mboga kama wewe
Wewe inahitaji kushughulikiwaMi nitaanza na yako nikushughulikie hadi wafike jiulize utakua kwenye hali gani
๐huyu jamaa lazima ni muislamu ๐๐Hiyo ndo kazi mnaweza kuandamana kwa comments mitandaoni ila mtaani hakuna Nyumbu atakaetokea.
Aisee,Aisee serikali na Samia wanakaangwa kwenye page za Trump na White House kinoma. Leo adimin wa hizo pages watashangaa ilo shambulio
Trump Mzee wa mipasho akiinyaka hii tumeishaNgoja tuone..
Kuwa muislam siyo ticket ya upumbavu wake๐huyu jamaa lazima ni muislamu ๐๐
Ni njia nzuri.TCRA wanamuandama sana Mange kimambi.