Watanzania kushambulia page za white house na Trump sio jambo zuri

Nitumie link ya hiyo page na mimi nikatoe dukuduku langu hapa kwetu hayuko wa kusikiliza tena.
 
Mfumo wako wa ufahamu, hasa ule wa kupeleka hewa kwenye ubongo...umepita kwenye makalio!

Haya ndio matokeo yake!
 
TCRA kuna kikaragosi cha Samia kilichovimba mashavu kama kimejaza maputo mdomoni.
Alikiweka hapo kwa maksudi hayo hayo ya kuvuruga wakala hiyo. Ni utawala wa wazanzibari huo kulinda maslahi yao dhidi ya koloni wanalolitawala sasa.
 
Yani nchi imekuwa na viongozi wa hovyo sana. Inakuwaje ufisadi unalindwa kiasi hiki?
 
What do you gain?
 
Wako na mfugo wao huko huko,safari imekaribia hao jamaa kikosi maalum ICE wako kazini huko kwa trump na hawana story nyingi.
Hata mahakamani wanakubeba tu.
Lilivyo jinga wahamiaji wanaderpotiwa kila siku huko yupo kimyaa km hayamuhusu.
Kakazana watu waandamane huku wavunjwevunjwe.
Hajui safari yake ipo kwa ICE.
 
Na hatuachi chawa mkubwa fisadi kiwembe, tumechoka na kupotezwa kwa ndugu zetu, ufisadi uroho wa madaraka, no freedom of speech mxiuuuu,. Ndugu zangu msiache kumtag Elon Musk tweeter.
 
God bless Tanganyika
 
Uyu dada anajitambua sana na anamtandao sio wa kitoto, hivi serikali haijiulizi mtu yupo nje ya nchi , ila anayatupia tu madudu ya nchi yake?

Hayajawahi kanushwa na serikali

Pesa anayo so anao uwezo wa kupata taarifa yoyote anataka achana na za wazalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…