Hold on
JF-Expert Member
- Feb 7, 2023
- 482
- 1,126
Vipi!
Ujue mimi nawashangaa sana watanzania ambao mna kazi ya kucheka watu kuwa wamezeeka mara maji ya jioni hivi kuna mtu ambaye hatazeeka atabaki hivyo hivyo?
Kuna baadhi yaa watu maarufu huwa wanachekekwa kuwa wamezeeka swali mlitaka wasizekee? Mtu unashinda Tandika mpaka jua lina zama unakaa una mcheka kajala mara aunt mbona amcheki wakina JB ambao mvi zimeenda kwa namna fulani mnawazalilisha kwa mambo ya kijinga wwe unaye wacheka hawa huko kwenu wote hamna mvi?
Hakuna walio zeeka huko?