Watanzania kuweni wakubwa akilini

Watanzania kuweni wakubwa akilini

Vip!

Ujue mimi nawashangaa sana watanzania ambao mna kazi ya kucheka watu kuwa wamezeeka mara maji ya jioni ivi kuna mtu ambaye hata zeeka atabaki ivyo ivyo?

Kuna baadhi yaa watu maarufu huwa wanachekekwa kuwa wamezeeka swali mlitaka wasizekee? Mtu unashinda tandika mpaka jua lina zama una kaa una mcheka kajala mara aunt mbona amcheki wakina jb ambao mvi zimeenda kwa namna fulani mnawazalilisha kwa mambo ya kijinga wwe unaye wacheka hawa huko kwenu wote hamna mvi? Hakuna walio zeeka huko?
Mwanaume mwenye 💰 hazeeki ref jk jielewe ww wanawake wengi wakizeeeka ni 🤮🤮
 
Vipi!

Ujue mimi nawashangaa sana watanzania ambao mna kazi ya kucheka watu kuwa wamezeeka mara maji ya jioni hivi kuna mtu ambaye hatazeeka atabaki hivyo hivyo?

Kuna baadhi yaa watu maarufu huwa wanachekekwa kuwa wamezeeka swali mlitaka wasizekee? Mtu unashinda Tandika mpaka jua lina zama unakaa una mcheka kajala mara aunt mbona amcheki wakina JB ambao mvi zimeenda kwa namna fulani mnawazalilisha kwa mambo ya kijinga wwe unaye wacheka hawa huko kwenu wote hamna mvi?

Hakuna walio zeeka huko?
Jamii lazima iwe na vikundi vyote ikiwemo wajinga. Fanya yako, acha nao.
 
Vipi!

Ujue mimi nawashangaa sana watanzania ambao mna kazi ya kucheka watu kuwa wamezeeka mara maji ya jioni hivi kuna mtu ambaye hatazeeka atabaki hivyo hivyo?

Kuna baadhi yaa watu maarufu huwa wanachekekwa kuwa wamezeeka swali mlitaka wasizekee? Mtu unashinda Tandika mpaka jua lina zama unakaa una mcheka kajala mara aunt mbona amcheki wakina JB ambao mvi zimeenda kwa namna fulani mnawazalilisha kwa mambo ya kijinga wwe unaye wacheka hawa huko kwenu wote hamna mvi?

Hakuna walio zeeka huko?
Usijumuishe. Huwezi kusema kuwa watanzania wote ni wadogo kiakili kama wewe. Acha hizo bwana mdogo mwanangu
 
Back
Top Bottom