Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We achana na maneno ya watu hakuna binadamu asiezeeka tunatofautiana tu nyakati za kuwa wazee.Mnataka sijui twende wapi ase
Life start after 40, bwana Mdogo usijipe uzee ambao huna.
Kwahiyo na wewe maji ya jioni?
Sasa nikitinga raba zangu kali za adidas na kofia na jeans kali wanaaza sema ww mzee unapenda ujana et kisa na kitambi haya wanataka nisile niaaze kula nyasi au?Life start after 40, bwana Mdogo usijipe uzee ambao huna.
Kwa standard za UN Youth anaishia miaka 35, Sasa Mzee wa miaka 39 uliwahi kumuona wapi?
Umezeeka 😁
Punguza hasira mkuu!😅Usitiee hasira nisije kukutushia ngumi ya uso 😂
We nae umekosa cha kukukera.....Sema kuna mambo yanakela
Taa nyekundu zishawaka hapo, tuandikie mirathi kabisa 😁Shezi kabisa nimezeeka kuliko watu wa kwenu huko 😂 mbona uko kwenu kuna watu wamenizid umri
Ndio unaelekea uzee!Asa mimi kijana mdogo af mnaniitaje mzee ase nikifika 42 mtaanitaje kibabu au? Kikongwe
Towa pesa watakuita baby, sweet heart, honey yani mpaka raha.Sasa nikitinga raba zangu kali za adidas na kofia na jeans kali wanaaza sema ww mzee unapenda ujana et kisa na kitambi haya wanataka nisile niaaze kula nyasi au?