Watanzania kwa umoja wetu tuhamie huduma za kibenki

Ni mwendo wa kibubu tu.
Kama kawaida ila usisahau kuwa ujambazi utarudi kwa Kasi ya kimbunga jobu ndugai
IMG-20210715-WA0001.jpg

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Kama kawaida ila usisahau kuwa ujambazi utarudi kwa Kasi ya kimbunga jobu ndugaiView attachment 1854658

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Tayari nina ndumba toka kwa mlozi mshana.. Sio kisu wala panga linalonikata, nikisema maji risadi haiingii mwilini... Mtu anaekuja kwa ubaya kwangu anakuta ni bahari tu.. Anaetaka kunifanyia ubaya matembezini anaona niko na simba wawili..

Shukrani kwa mlozi Mshana Jr
 
Afu na benki uzuri mawakala wamejaa kila Kona. So weka hela kwa wakala afu akachukue kwa Atm wale wa vijijini ndani kabisa wachukue kwa mtu wa duka la hapo kijijini afu muwekee hela yake benki ndo ampatie mzazi wako.
Kama demu wako anaifuata geto na unakula mbususu ndo arudi.

Eti watu wanaweka miito ya simu wanalipia.
Mbona wao hawasemi ya kwao.
Ila Hawa jamaa kweli sio kabisa Bora mkoloni mzungu.
Bora Mara Mia turudi misri kwa pharaoh kuliko haya mateso ya mwana wa ahadi
Bajeti ijayo tunahamia kwenye mabenki,kuweka Kodi,kutoa kwenye ATM Kodi,kuweka kwa wakala Kodi na kutoa kwa wakala Kodi.Lazima mjifunze uzalendo tutajenga vipi nchi?
 
Eti solidarity fund! Vichekesho vya kuvunja mbavu!

Anyway kwa umoja wetu watanzania tuhamie kwa nguvu mpya, kasi mpya, ari mpya katika huduma za mabenki yetu pendwa yanayotujali.

Pia hapo hapo hua wana huduma za simu za kibenki ambazo mnaweza kutumiana pesa benki kwenda benki zote na ukaenda ukatoa ATM kwa makato madogo sana ambayo sio ya kukomoa.

Hala hala watanzania, ni wakati wa mabenki sasa, tuyatumie mabenki sasa kwa nguvu zote.

Asanteni.
Na huo ndo mtego serikali waliutega makusudi ili watu warudi kwenye mabenki
 
Eti solidarity fund! Vichekesho vya kuvunja mbavu!

Anyway kwa umoja wetu watanzania tuhamie kwa nguvu mpya, kasi mpya, ari mpya katika huduma za mabenki yetu pendwa yanayotujali.

Pia hapo hapo hua wana huduma za simu za kibenki ambazo mnaweza kutumiana pesa benki kwenda benki zote na ukaenda ukatoa ATM kwa makato madogo sana ambayo sio ya kukomoa.

Hala hala watanzania, ni wakati wa mabenki sasa, tuyatumie mabenki sasa kwa nguvu zote.

Asanteni.
Mnapenda sana vitu rahis rahisi, hamuoni wanayoyafanya wenzenu wa South Africa.
 
Tayari nina ndumba toka kwa mlozi mshana.. Sio kisu wala panga linalonikata, nikisema maji risadi haiingii mwilini... Mtu anaekuja kwa ubaya kwangu anakuta ni bahari tu.. Anaetaka kunifanyia ubaya matembezini anaona niko na simba wawili..

Shukrani kwa mlozi Mshana Jr
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Eti solidarity fund! Vichekesho vya kuvunja mbavu!

Anyway kwa umoja wetu watanzania tuhamie kwa nguvu mpya, kasi mpya, ari mpya katika huduma za mabenki yetu pendwa yanayotujali.

Pia hapo hapo hua wana huduma za simu za kibenki ambazo mnaweza kutumiana pesa benki kwenda benki zote na ukaenda ukatoa ATM kwa makato madogo sana ambayo sio ya kukomoa.

Hala hala watanzania, ni wakati wa mabenki sasa, tuyatumie mabenki sasa kwa nguvu zote.

Asanteni.

Ile mijamaa inayoshabikia ikisikika hakutakiwi chokochoko itakuelewa kweli?
 
Nina balance kwenye simu shs. 63,127 nimejaribu kumtumia mtu shs. 60,000... Eti Salio langu halitoshi kufanya muamala... Imenibidi nimwite bodaboda apeleka pesa kwa mlengwa kwa nauli ya shs. 1,000... Hii kwenye simu nitanunulia Umeme halafu niachane na miamala ya simu
Umetisha sana mkuu
 
Bajeti ijayo tunahamia kwenye mabenki,kuweka Kodi,kutoa kwenye ATM Kodi,kuweka kwa wakala Kodi na kutoa kwa wakala Kodi.Lazima mjifunze uzalendo tutajenga vipi nchi?
Hatutumi hela, mpaka mtu asafiri nazo.
Ama jamaa wa dukani anampa mtu hela afu yeye tunamuwekea kwa akaunti so tunapunguza Ile frequency
 
Mnapenda sana vitu rahis rahisi, hamuoni wanayoyafanya wenzenu wa South Africa.
Kwamba zamani miamala ya simu ilikua bure, pumbavu! Akili za kimaskini, unapandisha kodi kwa mtanzania maskini na waliojiajiri kwenye biashara za uwakala za pesa unasema watanzania wanapenda urahisi..mambo yanayotokea SA connection yake ipo wapi kwenye hili pumbavu.
 
Wale wanaotumiwa pesa za vikoba Kila wiki ni bora ukafungue chap chap ac...

Pesa zote zitumwe huko zitolewe kwa pamoja...

Tuwaache na mitandao yao shuwain
 
Nendeni tu, kabla hamjafika na huko tutawaongezea uzalendo🤣🤸🐒
 
Afu na benki uzuri mawakala wamejaa kila Kona. So weka hela kwa wakala afu akachukue kwa Atm wale wa vijijini ndani kabisa wachukue kwa mtu wa duka la hapo kijijini afu muwekee hela yake benki ndo ampatie mzazi wako. Kama demu wako anaifuata geto na unakula mbususu ndo arudi.

Eti watu wanaweka miito ya simu wanalipia.

Mbona wao hawasemi ya kwao.

Ila Hawa jamaa kweli sio kabisa Bora mkoloni mzungu.

Bora Mara Mia turudi misri kwa pharaoh kuliko haya mateso ya mwana wa ahadi
Tukisharundikana benki lazima nako watakuja,hao ni kama nyuki akikufukuza hata ujizamishe kwenye maji anabaki juu anakusubiri uishiwe pumzi uibuke akupe unachostahili kupewa.
 
Back
Top Bottom