Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Mkuu nitamwambia mtu ampatie afu mtu akienda anaenda nayo.tutarudi huko hakuna shida.Tukisharundikana benki lazima nako watakuja,hao ni kama nyuki akikufukuza hata ujizamishe kwenye maji anabaki juu anakusubiri uishiwe pumzi uibuke akupe unachostahili kupewa.