Watanzania kwa umoja wetu tuhamie huduma za kibenki

Kama kawaida ila usisahau kuwa ujambazi utarudi kwa Kasi ya kimbunga jobu ndugaiView attachment 1854658

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Tayari nina ndumba toka kwa mlozi mshana.. Sio kisu wala panga linalonikata, nikisema maji risadi haiingii mwilini... Mtu anaekuja kwa ubaya kwangu anakuta ni bahari tu.. Anaetaka kunifanyia ubaya matembezini anaona niko na simba wawili..

Shukrani kwa mlozi Mshana Jr
 
Bajeti ijayo tunahamia kwenye mabenki,kuweka Kodi,kutoa kwenye ATM Kodi,kuweka kwa wakala Kodi na kutoa kwa wakala Kodi.Lazima mjifunze uzalendo tutajenga vipi nchi?
 
Na huo ndo mtego serikali waliutega makusudi ili watu warudi kwenye mabenki
 
Mnapenda sana vitu rahis rahisi, hamuoni wanayoyafanya wenzenu wa South Africa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 

Ile mijamaa inayoshabikia ikisikika hakutakiwi chokochoko itakuelewa kweli?
 
Umetisha sana mkuu
 
Bajeti ijayo tunahamia kwenye mabenki,kuweka Kodi,kutoa kwenye ATM Kodi,kuweka kwa wakala Kodi na kutoa kwa wakala Kodi.Lazima mjifunze uzalendo tutajenga vipi nchi?
Hatutumi hela, mpaka mtu asafiri nazo.
Ama jamaa wa dukani anampa mtu hela afu yeye tunamuwekea kwa akaunti so tunapunguza Ile frequency
 
Mnapenda sana vitu rahis rahisi, hamuoni wanayoyafanya wenzenu wa South Africa.
Kwamba zamani miamala ya simu ilikua bure, pumbavu! Akili za kimaskini, unapandisha kodi kwa mtanzania maskini na waliojiajiri kwenye biashara za uwakala za pesa unasema watanzania wanapenda urahisi..mambo yanayotokea SA connection yake ipo wapi kwenye hili pumbavu.
 
Wale wanaotumiwa pesa za vikoba Kila wiki ni bora ukafungue chap chap ac...

Pesa zote zitumwe huko zitolewe kwa pamoja...

Tuwaache na mitandao yao shuwain
 
Nendeni tu, kabla hamjafika na huko tutawaongezea uzalendo🤣🤸🐒
 
Tukisharundikana benki lazima nako watakuja,hao ni kama nyuki akikufukuza hata ujizamishe kwenye maji anabaki juu anakusubiri uishiwe pumzi uibuke akupe unachostahili kupewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…