Mungu akasema Hakika HutakufaTunataka tu kumuona huyo mtu ambaye vijana wa Makonda walitaka kumtanguliza peponi ila Mwenye enzi yake akasema MWANANGU LISSU NILIYEKUUMBA UTAENDELEA KUISHI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akasema Hakika HutakufaTunataka tu kumuona huyo mtu ambaye vijana wa Makonda walitaka kumtanguliza peponi ila Mwenye enzi yake akasema MWANANGU LISSU NILIYEKUUMBA UTAENDELEA KUISHI.
Walikuwa wanapenda Sana kukaa nyuma ya mikamera kunavitu vingine ambavyo vilikuwa vinaongeleka wengine tulibaki kutikisa vichwaWalidhani Miaka mitano mingi haitaisha.? Nikikumbuka Mbwembwe za Akina Ali hapi, mnyeti, Gambo, makonda, Muro, ngachoka kabisa.
Na sisi wanyonge tumesema kwa Kauli moja kwamba kura zetu zote tutampa TUNDU LISSUMungu akasema Hakika Hutakufa
Tundu lissu ni mgombea hajawa Rais bado,Lakini watu wanakaa barabarani na kumsubiri huku wakiimba Rais Rais Raisi
Haya yamejitokeza sana kanda ya ziwa mikoa ya Geita na Mwanza ,Vunja kazi ni Musoma watu wamejipanga mistari huku wakiimba na kusifu
Mwanza walimsindikiza mpaka hotelini?
Nimetafakari sana na kufikiria sana ,Hii imepelekea kuamini duniani kuna sumaku ya asili ukiachana ile ya kawaida tuliyozoea ya North pole and South pole
Achana na hii sumaku ya sciance inayosema like poles repel ,and Different poles attract
Sumaku ya asili ya Tundu lissu ni kamzizi fulani ambako watu wanaoteshwa na kupumbazwa usiku hivyo asubuhi maelfu hujikuta barabarani kumsubiri na kujaa uwanjani
Hii sumaku ya asili ya Tundu lissu sasa imewavuta hata waliojificha kuanza kujibu hoja ,
Tulitoa tahadhari hapa kama wana ccm kuwa mtu huyo Tundu lissu asijibiwe ,kumjibu kunazidi kuharibu mambo
Tulionya hapa ni bora kuonyesha habari za huyu mtu Tbc lakini zikapuuzwa mwanzoni na kuanza kutekelezwa mwishoni,Kuficha habari zake watu wanazitafuta zaidi ili kujua kaongea kitu gani
Napendekeza yafuatayo kwa chama changu cha mapinduzi
Propaganda za kuwatumia akina Musiba na Polepole kujibu hoja kutatoa siri zaidi ambazo watu hawazijui na kumfanya lissu atoe yale ya sirini,Akianza huyu mtu kutoa ya chumbani ccm tutaabika,Tujikite kwenye sera zetu,Lissu ameongea machache mengine wananchi hawajamkumbusha
Pili,Serikali ipunguze kodi ya mishahara Pay as you earn hii itasaidia sekta zote hata mapolisi anaowaongelea Tundu lissu watafurahi kuwa mishahara yao imepunguzwa kodi
Tatu,Ni muda wa ccm kuanza kuhubiri maendeleo ya watu na si maendeleo ya vitu,ccm iongelee maisha ya mfukoni mwa watu na kutoa ahadi za 2021 kuwa maisha na mzunguko wa pesa utakaa sawa
Haya mambo ya reli,barabara na ndege watu hawayapendi kwa sasa na hii ni hulka ya mwanadamu akishiba hataki tena kusikia au kula
Tutaendelea kutoa maoni na mwaelekeo wa siasa ya chama chetu cha mapinduzi
Muhimu,Ni muda wa chama kuhubiri maendeleo ya watu yaani maisha na uchumi wao wa mifukoni (Micro economics)
Hayo mambo ya uchumi mkubwa (Micro economics) na Multiplier effect ya miradi naona kama tumefeli sehemu haijawalizisha watu na kuwapatia pesa toka kwenye hii miradi
Kipenzi chetuTundu lissu ni mgombea hajawa Rais bado,Lakini watu wanakaa barabarani na kumsubiri huku wakiimba Rais Rais Raisi

Siyo MATAGA sema MATANGA🤣🤣🤣🤣Mataga sijui kama wamekusikia,engeza sauti
...alisikika mlevi mmoja wa chimpumu akibwata bandani kwake....Tundu lissu ni mgombea hajawa Rais bado,Lakini watu wanakaa barabarani na kumsubiri huku wakiimba Rais Rais Raisi
Haya yamejitokeza sana kanda ya ziwa mikoa ya Geita na Mwanza ,Vunja kazi ni Musoma watu wamejipanga mistari huku wakiimba na kusifu
Mwanza walimsindikiza mpaka hotelini?
Nimetafakari sana na kufikiria sana ,Hii imepelekea kuamini duniani kuna sumaku ya asili ukiachana ile ya kawaida tuliyozoea ya North pole and South pole
Achana na hii sumaku ya sciance inayosema like poles repel ,and Different poles attract
Sumaku ya asili ya Tundu lissu ni kamzizi fulani ambako watu wanaoteshwa na kupumbazwa usiku hivyo asubuhi maelfu hujikuta barabarani kumsubiri na kujaa uwanjani
Hii sumaku ya asili ya Tundu lissu sasa imewavuta hata waliojificha kuanza kujibu hoja ,
Tulitoa tahadhari hapa kama wana ccm kuwa mtu huyo Tundu lissu asijibiwe ,kumjibu kunazidi kuharibu mambo
Tulionya hapa ni bora kuonyesha habari za huyu mtu Tbc lakini zikapuuzwa mwanzoni na kuanza kutekelezwa mwishoni,Kuficha habari zake watu wanazitafuta zaidi ili kujua kaongea kitu gani
Napendekeza yafuatayo kwa chama changu cha mapinduzi
Propaganda za kuwatumia akina Musiba na Polepole kujibu hoja kutatoa siri zaidi ambazo watu hawazijui na kumfanya lissu atoe yale ya sirini,Akianza huyu mtu kutoa ya chumbani ccm tutaabika,Tujikite kwenye sera zetu,Lissu ameongea machache mengine wananchi hawajamkumbusha
Pili,Serikali ipunguze kodi ya mishahara Pay as you earn hii itasaidia sekta zote hata mapolisi anaowaongelea Tundu lissu watafurahi kuwa mishahara yao imepunguzwa kodi
Tatu,Ni muda wa ccm kuanza kuhubiri maendeleo ya watu na si maendeleo ya vitu,ccm iongelee maisha ya mfukoni mwa watu na kutoa ahadi za 2021 kuwa maisha na mzunguko wa pesa utakaa sawa
Haya mambo ya reli,barabara na ndege watu hawayapendi kwa sasa na hii ni hulka ya mwanadamu akishiba hataki tena kusikia au kula
Tutaendelea kutoa maoni na mwaelekeo wa siasa ya chama chetu cha mapinduzi
Muhimu,Ni muda wa chama kuhubiri maendeleo ya watu yaani maisha na uchumi wao wa mifukoni (Micro economics)
Hayo mambo ya uchumi mkubwa (Micro economics) na Multiplier effect ya miradi naona kama tumefeli sehemu haijawalizisha watu na kuwapatia pesa toka kwenye hii miradi
Nimeishia kusoma paragraph ya pili baada ya kugundua pumba ni nyingi.Tundu lissu ni mgombea hajawa Rais bado,Lakini watu wanakaa barabarani na kumsubiri huku wakiimba Rais Rais Raisi

Anaufikiria uchumi wa Kati
Lissu hana mzizi wala nini ni Mungu tu
Nimefurahia sana jinsi alivojibu maswali ya waandishi leo.Tundu ni kiongozi halisi wa nchi
Too late Oct 28 anaagaMimi nashauri hivi:
1:JPM kiuhalisia amefanya mengi mazuri ila anatakiwa kubalance maendeleo ya kitaifa kama miundo mbinu na maendeleo ya watu kama mishahara,pembejeo za Kuliko,nk.
2:Aache kutaka kumaliza kero au matatizo ya nchi kwa siku moja.mfano,ukisema habari za flyover kwa mwananchi wa kule chunya au ulanga,au newala haelewi chochote flyover ni kitu gani.Huyu anaelewa zaidi daraja au mbolea za shambani kwake
3.Siyo Jambo jema kutumia lugha za kejeli pale raia wa kawaida wanapopata majanga.mfano Mimi sikuleta tetemeko.nikweli hakuleta lakini watu wako katika makundi
4:Watu yaani wapinzani waruhusiwe kufanya siasa muda wote ili kujua maono na Mtazamo wa watu juu ya see yao.
5:Kuwe nauvumilivu wa kusiasa badala ya kuona kama audio
6:Majadiliano na vyama upinzani ni muhimu