Uchaguzi 2020 Watanzania, kwanini mnajipanga barabarani kumsubiri Tundu Lissu?

Uchaguzi 2020 Watanzania, kwanini mnajipanga barabarani kumsubiri Tundu Lissu?

Mpaka sasa sijajua Kura yangu nipeleke wapi kwa kweli......ni suala la muda tu kuhamua.
Ukatafakari haya utajua uipeleke wapi. ?
Wamefukuzwa wenye vyeti feki hawajalipwa Ela na ajira hazijatoka kureplace , je fedha zote zimeenda wapi ? na mafao hawajalipwa.
Nyongeza ya mishahara hola.
......
Twende na Ni yeye Lissu 2020
 
Umesahau ya Lowasa huko mwanza watu walilala na kusubili hata asubuhi wapo hotelini wamsindikize viwanjani?
Msoma wakadeki na barabara?
Hizi kanda mara nyingine ni wapuuzi kweli ingawa ndo huwa zinaonekana na watu jasiri na wasiopenda dharau lakini kwenye hili huwa wanatepeta kama uji.
Mmezoea eeh?
Tutawashangaza
 
Back
Top Bottom