Uchaguzi 2020 Watanzania, kwanini mnajipanga barabarani kumsubiri Tundu Lissu?


Eti watu wakishiba, ni akina nani hao wameshiba? Hebu nitaje miradi wowote mkubwa uliofika hata robo ili tujiridhishe na hiyo miradi mikubwa.
 
Hata kuongea kwako yaonyesha kuwa u mfuasi wa Lissu
 
Kipenzi chetu
 
Siyo kila sehem anazopita anajaza, kunasehemu wanajitokeza wachache vipi kuhusu hawa! Ambao hawakujitokeza yan wako team Ccm wao Dawa haziwavuti!!?
 
Tundu Antipas Lissu huyu mtu ana kipaji, kibali, bahati, na amehurumiwa na Mungu.

Ni ngumu kushindana na mtu mwenye nguvu za asili, haihitaji kupiga jaramba au msuli wa hatari ili kushinda, wewe utapiga sana tu ila akiibuka anakupiga chali mapema sana
 
...alisikika mlevi mmoja wa chimpumu akibwata bandani kwake....
 
Nimeishia kusoma paragraph ya pili baada ya kugundua pumba ni nyingi.
Aliyemaliza kusoma na kupata kitu anisaidie tafadhali summary yake
 
Tundu ni kiongozi halisi wa nchi
Nimefurahia sana jinsi alivojibu maswali ya waandishi leo.
Akiomba mdahalo ccm wanakejeli eti "Lissu sio saizi ya Magufuli" kinyume kabisa na wananchi wanavowajua wote wawili. Bora tu wangejibu sio lazima, sasa wanapata majibu kwa wananchi. Jeuri hulipwa jeuri! Unaendeleaje kumbeza mtu ambae wapiga kura wako hawambezi!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Too late Oct 28 anaaga
 
kipindi chote toka 2015 yalikua malalamiko ya mmoja mmoja sasa nimalalamiko ya wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…