Uchaguzi 2020 Watanzania, kwanini mnajipanga barabarani kumsubiri Tundu Lissu?

Mtu akishakuwa na upako wa Mungu aliye Hai, achana naye ni kiumbe tofauti.
 
Eti watu wakishiba, ni akina nani hao wameshiba? Hebu nitaje miradi wowote mkubwa uliofika hata robo ili tujiridhishe na hiyo miradi mikubwa.
Chato International Airport
 
Mpaka sasa sijajua Kura yangu nipeleke wapi kwa kweli......ni suala la muda tu kuhamua.
 
Kwanza atoe ile 50 million kila kijiji maana aliahidi. Matokeo imepigwa changa la macho. Je hayo unayosema atatekeleza baada ya kuyatamka?[emoji41]
 
Pole kwa kujitoa ufahamu, Mungu husimama na Magufuli . SAA hii Mungu wetu anasema nasi , anatuonyesha wasaliti wa nchi mchana kweupe wakijadiliana na wazungu wauaji na wezi.
Asante Mungu kwa kutufunulia , jina lako litukuzwe.
Walioko na wanaogombea CCM ni wasaka tonge tu wala hawana uchungu na WANANCHI na ndio maana wametuletea Sheria za ajabu sana za MAFAO wakati wenyewe washachukua chao ni UBINAFSI WA HALI YA JUU SANA. WOTE MBWA TUU.
 
Amechelewa..
 
Watu wamekuwa waoga sana kisa utawala huu, saizi kila mtu anasema ni Siri ya moyo , wote Hawa wanao sema Siri ya moyo Wanaenda na Lissu hapo tarehe 28/10/2020.
Hawa wakurugenzi pamoja na wao kuwa wachumia tumbo lakini Kuna watu au ndugu zao wameumizwa na utawala huu na kuzalilishwa Hawa wote Wanaenda na Ni yeye, Lissu 2020. Ila Ni silent.
 
Pole kwa kujitoa ufahamu, Mungu husimama na Magufuli . SAA hii Mungu wetu anasema nasi , anatuonyesha wasaliti wa nchi mchana kweupe wakijadiliana na wazungu wauaji na wezi.
Asante Mungu kwa kutufunulia , jina lako litukuzwe.
kijani na Mungu wapi na wapi? Wakati mambo mabaya mengi yametokea kipindi hiki.
 
Umesahau ya Lowasa huko mwanza watu walilala na kusubili hata asubuhi wapo hotelini wamsindikize viwanjani?
Msoma wakadeki na barabara?
Hizi kanda mara nyingine ni wapuuzi kweli ingawa ndo huwa zinaonekana na watu jasiri na wasiopenda dharau lakini kwenye hili huwa wanatepeta kama uji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…