Umesahau ya Lowasa huko mwanza watu walilala na kusubili hata asubuhi wapo hotelini wamsindikize viwanjani?
Msoma wakadeki na barabara?
Hizi kanda mara nyingine ni wapuuzi kweli ingawa ndo huwa zinaonekana na watu jasiri na wasiopenda dharau lakini kwenye hili huwa wanatepeta kama uji.