Uchaguzi 2020 Watanzania lazima tuhoji kuhusu michango hii inayochangishwa na CHADEMA

Mleta mada wewe ni wa jinsia gani? inaonekana ni 'ke'
Nijibu haya maswahi;

ccm inapata wapi hela? je ni vyanzo vyake kweli? je unawajua wanaochangia ccm tena kwa kutishiwa?
Chadema wakichangiwa au kuchangisha wewe inakuuma nini? unakerwa?
Punguza mihemko ya jinsia yako!
 
Nipe no ya hao chadema tuwatumie mchango
 
Aliyekutuma mwambie akutume tena.
 
Sisi tunachanga tu mkuu ili kufanikisha tukio hili la kikatiba......

Tulichangia matibabu yake....
Tulichanga kuwatoa segerea viongozi na wabunge wetu.....

Tutaendeleza kuchangia kwa ajiri ya mabadiriko....

Huu uchafu unaoleta hatuwezi kubadili chochote..
 
Nimehoji kuhusu njia inayotumika. Imekaa kijanjajanja
 
Sawa. Chama kielekeze pia nguvu kwa wenye shida
 
Lengo la hiyo michango ni kuwafuta machozi watumishi wa umma waliotelekezwa na Meko kwa miaka mitano bila nyongeza ya mishahara wala kupandishwa vyeo.
Sio kosa lako, ingefaa umsikilize Polepole leo
 
JINYONGE USIYAONE HAYO: Mimi nitachangia
 
Tumechelewa sana haya mambo tumeshindwa hata kuhoji matumizi ya Kodi zetu, na hata Mkaguzi Mkuu aliyediriki kuhoji kama kazi yake inavyomtaka kilichompata na mashambulizi aliyopata wote tunajua...., na hizo kumbuka ni kodi zetu..., achana na hizo sadaka watu wanazotoa kwa hiari yao....
 
Kumb....fu ni sawa na mtu anachangisha kwenye harusi ukamuulize matumizi kama huna kaa kando wenye kujua watachanga
 
Michango ya mwanzo waliyowahi changisha kupitia line za simu mbowe hakuwahi sema kiasi cha pesa. Ivi tena anataka kuzipiga. Mchaga na hela acha kabisa
 
Maccm yenyewe yanatumia
. Magari na ndege za serikali
. Pesa mabilioni ya Corona waliyochanga wafanyabiashara kwa kulazimishwa
. Pesa walizonyang'anya wafanyabiashara kwa kesi za kutunga eti wakubali makosa
. Pesa zilizopotea kimazingara 1.5tn zilizopelekea hata CAG mzalendo kufukuzwa kazi
. Ufisadi wa manunuzi ya siri ya ndege na ujenzi wa chato zote zimepelekwa kampeni ccm....

Ccm ni chama cha kigaidi na hii ni serikali ya kishetani
 
karibu wachangiaji wote wameleta mipasho so nachojiuliza wapinzani hawajui kujenga hoja? au mipasho ndo hoja zao? hebu tujitaidini kujadili mambo kwa kujenga hoja.
 
Hayakuhusu, hujalazimishwa kuchangia....Hivi kwanza unajua gharama za kuendesha kampeni za urais kwa Tanzania nzima wewe kapuku......Uliza kwanza kwanini CCM wantumia Mali na pesa za walipa kodi kufanyia kampeni mgombea wao...Kapuku wewe

Ruzuku wanapewa kiasia gani? Au hamna ruzuku
 
karibu wachangiaji wote wameleta mipasho so nachojiuliza wapinzani hawajui kujenga hoja? au mipasho ndo hoja zao? hebu tujitaidini kujadili mambo kwa kujenga hoja.
Dah afadhali kama umetokea wewe wa kuona hilo. Vijana wa upinzani hawawezi kujenga hoja, wamekalis ushabiki. Napata tabu sana humu.

Kuna yule Mshana na wengine nimewasikia angalau hao. Labda pengine kwasababu Ni verified members au nini Ila Kuna watu "dhaifu Sana" huko
 
Sawa. Chama kielekeze pia nguvu kwa wenye shida
Maccm yenyewe yanatumia
. Magari na ndege za serikali
. Pesa mabilioni ya Corona waliyochanga wafanyabiashara kwa kulazimishwa
. Pesa walizonyang'anya wafanyabiashara kwa kesi za kutunga eti wakubali makosa
. Pesa zilizopotea kimazingara 1.5tn zilizopelekea hata CAG mzalendo kufukuzwa kazi
. Ufisadi wa manunuzi ya siri ya ndege na ujenzi wa chato zote zimepelekwa kampeni ccm....

Ccm ni chama cha kigaidi na hii ni serikali ya kishetani

Hizi pesa zingepelekwa kwa wenye shida si ingekua poa sn mkuu......
Wamgeacha angalau kujenga chato international Airport fedha zingesaidia sn wenye shida.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…